mwamba

Musonda Trevor Selwyn Mwamba (born 1958), known as Trevor Mwamba, is an Anglican bishop. He was consecrated Bishop of Botswana on 6 February 2005. He tendered his resignation as Bishop of Botswana on 30 September 2012 – the day on which Botswana marks the anniversary of its independence from Britain. His successor was consecrated on 14 July 2013. On April 4th 2021, he was elected President of the United National Independence Party.
A true ‘citizen of the world’, at home in many cultures. Passionate about justice, equality and the empowerment of all God’s children. Outgoing, well-read, approachable, with a sense of humour and strong diplomatic skills.
He took up the post of Team Rector of Barking in the Church of England on 1 January 2014, a post he resigned in December 2019. On 9 November 2013 he was made an honorary assistant bishop in the Diocese of Chelmsford.He made a cameo appearance on the third episode of the HBO and BBC co-produced miniseries The No. 1 Ladies' Detective Agency. He appears in the episode entitled "Poison" as himself thanking members of the business community of Gaborone for their donations to the fictional orphanage portrayed in the series. He is married to Mmasekgoa Masire-Mwamba, a Commonwealth Deputy Secretary-General from 2008 to 2014.He was made a deacon at Petertide 1984 (1 July) by Mark Santer, Bishop of Kensington (by letters dimissory from Leonard Mwenda, Bishop of Lusaka), at St Luke's, Chelsea, Greater London and served briefly as curate of All Saints, Notting Hill. He left the UK in 1985 to become Rector of Luanshya and Vocations Director for Central Zambia, and was ordained a priest that year.On April 4th 2021, he won the presidency of the United National Independence Party. He managed to wrestle power away from long time incumbent Tilyenji Kaunda who held on to power for 20 years after succeeding his father Dr. Kenneth Kaunda. This marks the first time (UNIP) has not been lead by a Kaunda since the 1960s.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini pamoja na Mimi kuwa ni mwana Simba SC, ila namtakia Kila la Kheri Mwamba Fiston Mayele huko alikoenda Pyramid FC?

    1. Alizaliwa kuwa ni Mfungaji mahiri na siyo Mshambuliaji kama wengi walioko. 2. Amekuwa ni Alama tukuka ya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania hasa kwa Ushangiliaji wake wenye Mvuto na wa Kibabe ( Kishujaa ) kabisa. 3. Amesaidia kwa 85% kuifanya Ligi Kuu ya NBC ya Tanzania kuwa na Mvuto na...
  2. Huyu mwamba napenda anavyoflow kwenye ngoma zake, msikilize!!

    Leo jumapili safi nikiwa natafakari wiki inayofuata nikaingia mtandaoni kuokota mambo mbalimbali kushibisha ubongo nikakutana na hii ngoma ya mwamba anaitwa KING KAKA ngoma inaitwa BESTE YANGU ukisikiliza kwa makini hii ngoma jamaa ana zaidi ya uwezo wa kurap yaani ana uwezo wa kufanya nafsi...
  3. Alex Massawe abadili dini na kusilimu

    Alex Massawe, mtu maarufu sana Tanzania, ameamua kusilimu baada ya kuyafahamu mema ya Uislam kupitia kwa mwanawe ambae alikuwa Amesilim kabla yake huko nchini Afrika Kusini. Allahu Akbar.
  4. Huyo mwamba alishawahi kuwa mnunua karanga Kahama leo ni Ltn Col wa RDF

    Kwa wafanyabiashara wa karanga kutoka Kahama kwenda Rwanda, hakika watakuwa wanamfahamu mwamba huyo. Nimeshangaa kumuona ndani ya vazi la kazi la jeshi la nchi fulani tena kama Lt Col! Tunaposema miji kama Ngara, Nyakahura, Nyakanazi, Runzewe, Ushirombo, Kahama, Kagongwa, Isaka, Shinyanga...
  5. Mambo usiyoyajua kuhusu 2Pac

    Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac: Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika Kusini, Tupac Amaru II. Ujumbe wa kisiasa: 2Pac alikuwa msanii mwenye sauti yenye nguvu katika muziki...
  6. D

    Ni muda Sasa sijamtia machoni wala kumsikia huyu Mwamba, kulikoni?

    Wana wema, Ni muda sasa sijamtia machoni wala kumsikia hata kumsoma magazetini isiyo kawaida yake. Namzungumzia Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Komredi Abdulhaman Kinana. Hata sakata la DP World hajasikika na ziara za mikoani hayupo. Si kawaida kukaa kimya kwenye mambo haya japo naye anamiliki...
  7. Huyu si alishamtema Mwamba? Mbona anajipigisha U-Turn?

    Kwamba alikua anatingisha kiberiti au?
  8. Wanaume tuwe makini na tusikurupuke kufanya mambo yatakayowaumiza wenza wetu

    Asubuhi mapema saa 1 ulizuka ugomvi mkubwa kati ya mume wa mtu na Malaya wake aliye mkodi kwa huduma ya ngono, ugomvi huu ulihusu malipo ya pesa baada ya huduma kutolewa vyema ipasavyo usiku mzima. Ugomvi huo ulipamba Moto mpaka kufikia hatua ya kuleta mkusanyiko wa majirani na wananchi kwa...
  9. Mikutano 100 huku "Mwamba" akiruka na chopa kama mtalii. Hakuna positivu impact kwenye chama chetu

    Kipindi hiki ilikuwa ndio wasaa wa kuonekana kama watetezi wa raia wa Tanzania kwa kuwa na hoja na kukubalika kwa wananchi. Mwamba ameruka na chopa kama mtalii toka Hai akizurula na chopa la kukodi. Hatujasikia kukubalika kwa hiyo operation +255 zaidi ya mwamba kuruka na chopa na kupiga...
  10. Kuna mwamba alirudia Form II mara 8 katika shule nne tofauti na zote akafeli

    Huyu mwamba alikuwa anafahamika sana kwa kupata mitihani ya form two iliyovuja na alikuwa anaipata ile yenyewe, alikuwa na moyo wa kuwapiga pindi wenzake na kuwakaririsha majibu, akiingia kwenye chumba cha mtihani anafeli kwa kishindo, yaani F zote, wenzake wanafaulu. Alikuwa ni mtoto wa...
  11. CHADEMA: Kutumia V8 ni gharama ila kwetu Helikopta na usafiri wa kawaida

    Tujikumbushe "Matumizi ya Helikopta kwetu ni usafiri wa Kawaida." Mwenyekiti
  12. Mwamba Mpina abishana na Bunge zima, wamzomea. Asimamisha Bunge kwa dakika 20

    Mwamba huyu hapaa
  13. Mr Blue ndie alieweza kumfanya Ali Kiba aache mpira aingie kwenye sanaa ya Muziki

    Hawa watu mbali na mziki pia ni marafiki wa kitambo sana, sema wabongo tumekalili kua ili watu wawe mabest lazma wafanye ngoma nyingi za pamoja Kama ilivo kwa mwana fa na ay STORY INAANZIA HAPA...... Kimzik Mr blue ni mkongwe Zaid kuliko alikiba na blue ndie msanii alianza mziki ktk umri mdogo...
  14. Kama unamuona Hakimi ni hatari, Basi wacha nikujuze kuhusu huyu mwamba

    Dunia haitomsahau Gabriel Villa, mwanasheria kwa taaluma aliyefanya pia kazi ya uwakala wa usafirishaji. Bwana huyu mwaka 1994 alikutana na mwanadada mrembo Christina Carta kwenye sherehe Wawili hawa wakapendana na hatimaye kufunga ndoa licha ya kuwa Gabriel alimzidi mrembo huyo miaka 30...
  15. T

    Mtaandika vitabu na vitabu, ila hamtaweza kubadili chochote juu ya Hayati Magufuli

    Nimeamini! Mtandao wa mafisadi nchini, mwenye kuuvinja sio mfano wa Magufuli tena, anapaswa awe ni mtu katili kuliko Hitila, mwenye sura mbaya kuliko Idd amini dadaa Kila Mtanzania kwa sasa, hahitaji kuuliza kwa mwenzake kuhusu ufisadi ulivyokithili sasa, watu wako bize kuiba kiasi hata Mh Rais...
  16. Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  17. Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  18. Mwamba anasikilizia mchongo

  19. S

    Ukisikia legacy ndiyo hii sasa

    Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!! Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa. Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi...
  20. Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…