mwakinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwakinyo; nikiacha ngumi, mchezo wa ngumi utakufa kabisa Tanzania

    Media nyingi Kwa maono yangu ya karibu na ya mbali zinajitenga na bwanah Mwakinyo sijui ila nahisi ni Kwa ajili ya mikataba au wadhamini wake na mashabiki pia wanajigawa Siku za hivi karibuni katika mahojiano na B12/DAZEN Kuna maelezo amekaliliwa akisema kuwa ikitokea akaacha mchezo wa ngumi...
  2. JamiiForums Tanzania Jana kidogo wamuue Mwakinyo Jr ulingoni!

    Jana Hassan Mwakinyo Ilibaki kidogo wamuue ulingoni. Akakimbia round ya tisa. Kuna mwamba anaitwa Michel Soro uko kamdunda hatari . Next time wawe wanafungana miguu kama hivi mtu asikimbie kimbir uwanjani.
  3. JamiiForums Tanzania Pambano la Mwakinyo na Pambano la Chumbani 😅

    Leo bhana mjini Dar es Salaam kuna pambano la ndondi 💪 (vitasa) Mwakinyo anazichapa leo, kitawaka Sijui itakuwa TKO au sare au atapigwa Basi bhana mapambano yapo mengi si unajua mwanetu🤪 Pambano sio lile la ulingoni tu, mapambano yapo mengi na moja wapo ya pambano au mchezo ni ule wa kwa bed...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Mwakinyo kuzichapa na Ibrahimu Class kukatana ngebe

    Floyd Mayweather mwaka huu mwezi wa nne anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na hasimu wake wa muda mrefu former heavyweight champion of the world Iron man Mike Tyson kwenye pambano la maonesho (exhibition fight). Ikumbukwe Floyd anacheza uzito wa light middleweight wakati mpinzani wake...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Utakavyomuingia Mwakinyo ndivyo atakavyokupokea 😃

    Nafurahi kuwa shabiki wa Hassan Mwakinyo akiwa ulingoni. Huwa hakubali kushindwa kirahisi rahisi iwe ulingoni ama nje ya ulingo. Mungu aniepushe nisije kuingia kwenye 18 za mdigo yeyote nikasutwa🤣🤣
  6. JamiiForums Tanzania Video: huyu hapa bondia mzee aliyepigwa na mwakinyo

    Ila waTanzania hua tunapenda kudanganywa na kusifia ujinga ujinga. Nikweli mchezo wa ndondi ni taaluma kama ilivyo taaluma zingine na ninaheshimu mabondia na taaluma Yao ya ndondi. Lakini ukweli lazima usemwe. Hivi inawezekanaje kijana wa miaka 27 mwenye mazoezi kede, kupigana na mzee ?, af...
  7. JamiiForums Tanzania La Hassan Mwakinyo ni Unadhiri wa Amani wa Kuitoa Nchi kwenye Tanzi!

    Nimeipenda sana picha ya bondia Hassan Mwakinyo, ikimuonesha Simba wa vita vya haki nchini, Tundu Antiphas Lissu, na Simba mwingine wa vita vyake, Samia Suluhu Hassan. Kwa maono ya kinabii, naweza kusema kwamba, kitendo cha bondia Mwakinyo, kina kauli ya Mwenyezi Mungu - ambaye kwa mujibu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  9. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia Mwakinyo hushinda kwa mchongo/Maelekezo machawa wake mnatupopoa

    Nimesema nisilale niangalie Afcon na Ngumi. Kumbe mavi ya nyoka tu. Ngumi gani za hivi? Ushindi gani round ya2 mdebwedo. Nikanywe Bia.
  10. JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya T-shirt ya Mwakinyo..??

    Wana jamii wenzangu naombeni tafsiri ya ile T-shirt ya mwakinyo. Kwanini upande wa mbele na upande wa nyuma aweke picha tofauti.!?
  11. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  12. JamiiForums Tanzania Mabondia wa TZ ,ukimtoa Mwakinyo 96% ni machawa hatuna budi nao kuwafungia vioo. Wana hiyo wanaita Knockout ya mama wanajimaliza sana

    Mabondia wa Tanzania wengi ni machawa wa CCM , tangu waletewe hiyo knockout ya mama wanazidi kujimaliza kumsifia mama abduli na chama chao cha ccm. Mwakinyo kwenye mkumbo huu kaukataa na mara kadhaa amekuwa akilaani matukio yote ya kihalifu yanayotokea hapa nchini haswa matukio ya kitekaji...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakinyo: Hakuna maneno yanayo tosha kuelezea familia zilizo poteza wapendwa wao

    'Hakuna maneno yanayo tosha sawa sawa kuelezea family zilizo poteza wapendwa wao ambao ni ndugu zetu pia. Kifo ndio ahadi pekee ya kweli inayopaswa kuheshimiwa MAISHANI huja mara moja tu. Ingawa zipo sababu nyingi zinazo weza kupelekea kifo cha mtu Lakini mara nyingi mtu anapo kufa hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mwakinyo ikiwezekana badilisha uraia

    Niko nimekaa naangalia eti mnaita boxing ..huu uchafu ndio boxing ? Hata anayeshinda anashangaa ameshindaje, anatangazwaje mshindi. Wakati natafakari hayo yaliyonishangaza, picha ya Hassan Mwakinyo inanijia, kijana mtanzania alieamini katika kuipambania ndoto yake ya kua boxer wa kimataifa tena...
  15. JamiiForums Tanzania Mwakinyo anasulubiwa na watesi wake

    Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi wakubwa wa serikali walimfata akagoma Mwakinyo alikataa kupigana Kwa ajiro ya gari CROWN akidai ina...
  16. JamiiForums Tanzania Mussa: Mwakinyo alifungulia Mbwa wakanishambulia kwa zaidi ya Saa 1, nilikataa tamaa nikisubiri kufa

    Kijana Mussa Ally (21), Mvuvi na Mkazi wa Sahare Jijini Tanga anaendelea na matibabu Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kwa sasa amepata nafuu baada ya kushambuliwa nyumbani kwa Bondia Hassan Mwakinyo alfajiri March 04,2025 na kufikishwa Hospitali akiwa mahututi na majeraha mwilini. Akiongea...
  17. JamiiForums Tanzania Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana

    Mwakinyo na Alikiba ni watu wa maana sana kiufup mimi kama Mimi nawapongeza sana wanajitoa sana kwenye matukio kuna wale wavaa Heren na wanabana pua wakat wa kuongea wanaogopa vumbi. jamaa mwakinyo katoa ushilikiano sana mpka akatoboa ukuta na kuzama ndani ya shimo na Alikiba alivunja ukuta...
  18. JamiiForums Tanzania Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

    Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna mkubwa anambania Mwakinyo?

    Suala la kusema kuwa Rais wa WBO hajalipwa haiingii akilini maana mtu hawezi kutoka alipotoka hadi Tanzania kwa ajili ya mechi halafu awe hajalipwa. Baadhi ya wadau walisema Hassan Mwakinyo ana-ugomvi na watu wengi kwa hiyo wanambania kwa kumfanyia figisu figisu kama hizi. Je, unadhani ni nani...
  20. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania mtatuambia nini kuhusu pambano la Mwakinyo?

    Pambano la Mwakinyo na bondia kutoka Ghana limeshindwa kufanyika kwa kuwa Rais wa WBO, Samir Captan hakuwepo uwanjani kuleta mkanda. Maelezo ya Hassan Mwakinyo ni kuwa jamaa hajalipwa hela za mchezo huo. Kwa kushindwa kuwepo kwa mkanda uliokuwa unashindaniwa pambano limeshindwa kuchezwa. Fedha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…