Bondia Twaha Kiduku ni miongoni mwa watu waliohudhuria katika shughuli ya utoaji wa Tuzo za Tanzania Music Awards, zilizofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam, Aprili 2, 2022.
Mbali na mambo mengine, Kiduku alipoulizwa na mtangazaji akiwa...
Bondia Hassan Mwakinyo ametoa kauli ambayo ni wazi inaonyesha anarusha ‘dongo’ sehemu.
Wale mnaojua someni hapa kisha muone kijembe hiki kinamuhusu nani?
“Bongo bwana Boxer unajulikana mikoa 5 tu Tanzania umeshaanza kuvimba mabega!! Eti unajiona kila mtu Una muweza ikipigwa hesabu yako tangu...
Kabangu ameendelea na dharau kwamba Mwakinyo ndiyo bondia bora kwa Tanzania. Hata baada ya jana kumpa kichapo bado ameendelea na msimamo wake uleule.
Sasa tunatoa tamko kama kweli Mwakinyo kidume atoe tamko yupo tayari. Sisi tupo tayari popote hata kama ni Mkwakwani tunakuja kumchakaza
MABONDIA wawili wa Tanzania, HASSAN MWAKINYO na IBRAH CLASS, wamevuliwa mikanda ya ubingwa WBF Intercontinental na Shirikisho la ngumi za kulipwa la dunia la WBF. Taarifa iliyotolewa na WBF imeeleza kuwa, mabondia hao si mabingwa tena wa mikanda ya WBF.
Hassan Mwakinyo
---
The World Boxing...
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda rank na kuwa nafasi ya 13 katika Ubora wa Mabondia duniani katika uzito wake wa super welterweight.
Mwakinyo amepanda kutoka nafasi ya 24 aliyokuwa awali kabla ya kumpiga Bondia Julius Indongo wa Namibia kwa TKO round ya nne kwenye pambano la round 12...
Ili kuondoa kisingizio kisichokuwa na sababu ya msingi ya kumkwepa Twaha Kiduku.
Ninashauri liandaliwe Exhibition Fight kati ya Hassan Mwakinyo vs Twaha Kiduku.
Exhibition fight hakuna bondia atakayepungukiwa chochote akipigwa na hakuna atakayetangazwa mshindi kama raundi za mchezo zote...
Ni kweli kwamba kama pambano lile lingemalizika kwenye round ile , bila shaka Mwakinyo angeshinda kwa points , maana alipeleka ngumi nyingi za maana kwa mpinzani wake.
Lakini kilichonishangaza ni kitendo cha mwamuzi kumaliza pambano wakati bado Indongo yuko imara, hii kwa mnaojua ngumi...
Hassan Mwakinyo Vs Julius Indongo
Rounds: 12
Winner: Mwakinyo kwa KO
Title: African Boxing Union Super Welter
Stay there! Matokeo yatawekwa yote ya mapambano ya utangulizi hadi main card
Pambano la kwanza la utangulizi
Fighters: Kazumba Vs Ayoub Athuman
Rounds: 6
Winner: Ayoub Athuman kwa KO...
Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana!
Mojawapo ya swali aliulizwa,
Mwandishi: watu na mashabiki wa ngumu wanataka pambano lako na Twaha Kiduku vipi linaweza kufanyika?
Mwakinyo: Mimi siwezi...
Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku
Maneno hayo ameyasema baada ya Twaha kumtwanga Dulla Mbabe kwa mara nyingine, huku lengo likiwa ni kupambana na Mwakinyo
Mwakinyo...
Bondia Hassan Mwakinyo anatarajiwa kupigana na Bondia wa Zimbabwe Brendon Denes, kuwania Mkanda wa WBC Afican Boxing Union (ABU) uzito wa Super welterweight May 28 mwaka huu, katika ukumbi wa Next Door Alena.
Brendon Denes ana rekodi ya kupigana ngumi za Professional mapambano 8 kati ya hayo...
Habar Wana Jamii Forums
Leo nimeona nijaribu kutoa wazo langu juu ya Mambo yanayoendelea Nchini kwetu juu ya bondia wetu Mzalendo Alie kataa kupeperusha bendera ya nchi nyingine ambazo ni nzuri na hakika mpaka Sasa angekua bilionea na yeye ila akaamua kuwa mzalendo kwenye nchi Ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.