mwakinyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Hassan Mwakinyo amchana Haji Manara vibaya sana

    Dah huyu Mwakinyo. ==== "Kuna mtu ninayemuheshimu aliongea maneno mabaya sana kwangu, nilisema Mwenyezi Mungu anipe ujasiri ili nisiseme maneno mabaya kwasababu yeye ni mtu anayesifika kwa maneno mabaya, lakini hawezi kuwa na maneno mabaya kuliko sisi watu wa uswahilini na wa pwani, kuna...
  2. Mwande na Mndewa

    Mabondia wa Zanzibar wakataa pambano la kimataifa la Mwakinyo kufanyika Zanzibar, watia msisitizo mapambano ya Zanzibar yawe fursa kwa wazanzibari tu

    Yaani kwenda kucheza pambano moja kisha kurudi zake Tanga Wazanzibar wamejaa choyo husuda nongwa hadi kuandika barua kupinga mtanganyika kucheza pambano lake Huko Zanzibar Wanasema hiyo ni fursa ya Wazanzibar pekee sio watanganyika!!! Tukiwaambia Zanzibar hakuna MUUNGANO muwe mnaelewa. Kwa...
  3. Kipenzi Changu

    Mandonga: Namtaka Mwakinyo bondia wa mchongo

    Mandonga Mtu Kazi baada ya kumfumua ndoige Saidi Mbelwa ametangaza kumtaka Hassan Mwakinyo. Akihojiwa baada ya pambano amesema anaenda Qatar kupimzika, akirudi anamtaka Mwakinyo huku akimuita bondia wa mchongo.
  4. Analogia Malenga

    New York yamfungia aliyepambana na Mwakinyo

    Mtandao wa Ndoni wa Boxrec umebainisha kuwa mpiganaji kutoka Uingereza Liam Smith ambaye pambano lake la mwisho alipamabana na Bondia wa Tanzania, mwenye maskani yake nchini Marekani Hassan Mwakinyo, amefungiwa na Tume ya Michezo ya Jimbo la New York. Sababu ya kuwekewa zuio hilo haijabainisha...
  5. D

    Sababu kuu za Mwakinyo kufungiwa kupigana tena Uingereza

    Habari za ndani kabisa nimepenyezewa kutoka kwa mdau wa masumbwi huko Uingereza! Uchunguzi uliofanywa na bodi ya ngumi kutoka Uingereza umebaini kwamba; 1. Mwakinyo Alidanganya "cheat" . uchunguzi umebaini kwamba kiatu alichopewa hakikuwa na madhara yoyote, hata hivyo alipatiwa kabla ya siku...
  6. Analogia Malenga

    Uingereza yamfungia Mwakinyo, hatotakiwa tena kupigana nchini humo

    Bondia Hassan Mwakinyo amefungiwa kucheza nchini Uingereza, ikiwa ni siku kadhaa tangu alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO, raundi ya nne. Kwa mujibu wa Mtandao wa ngumi za Kulipwa wa dunia (Boxrec), bondia huyo amefungiwa na Bodi ya Ngumi za Kulipwa Uingereza (BBBC)...
  7. Mganguzi

    Mwakinyo kubali kupigana na Twaha, anaongea sana. Sasa imetosha, mpige huyu mtoto hata bure jeuri imezidi

    Huyu mtoto anajeuri sana, mimi nimeshindwa kuvumilia. Namuomba mwakinyo kubali kupigana na twaha Ili ujiweke fiti zaidi pambano lako na twaha litakupa nguvu zaidi Kwa mapambano yajayo njoo umpasue huyo tumechoka na madharau yake.
  8. Samia atosha tukutane2030

    Swali kwa Mwakinyo: Je, ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza?

    Maandiko matakatifu yanasema "Mpumbavu huamini kila neno bali mwenye hekima huchunguza sana". Haya Mwakinyo nijibu haya maswali; 1. Ulizuiliwa kununua viatu huko Uingereza? 2. Promoter wako hakuweza kufanya mchakato wa kukutafutia vifaa kazi baada ya kupoteza vifaa vyako? 3. Hivyo viatu...
  9. MakinikiA

    Mwakinyo uje tanzania na viatu unavyolalamikia

    Tupo wataalamu wa uchunguzi tutavichunguza tutabaini na hata aliyekuibia tutamtambua .keep it up ngumi unaweza ila gangamala.
  10. N

    Aliyempiga mwakinyo ashangazwa na usanii wake: anthony crolla asema wiki yote ali behave kiajabu ajabu

    Kumbuka ukiwa una insult inteligence ya watu kwa kujiona we mjanja kuna wajanja zaidi yako , utaooongea yooote lakini hii issue wazee wa kazi waseme waingilie kati wafatilie hata bettings za nchi mbalimbali kuna aibu nyuma yake sasa hata bondia aliyekupiga kabaki na butwaa..he Liam Smith left...
  11. Determinantor

    Mwakinyo akiri kufanyiwa hujuma kubwa sana, inaumiza sana!

    Niliona Tangu round ya Kwanza, Mwakinyo aliteleza, nikajiuliza inawekanaje avae viatu vinavyoteleza Tena Kwa big match kama hii? Same thing happened kwa round ya pili na ya tatu. Kumbe walijenga mazingira ya kumpotezea bag lake la vifaa vya mchezo na Hivyo last minute kupewa viatu vingine, pili...
  12. F

    Bondia Mwakinyo ni Mfano halisi wa Watanzania walio wengi katika nyanja mbalimbali!

    Muda mfupi uliopita nimetoka kuangalia pambano la ngumi kati ya Bondia Mwakinyo na Smith,pambano ambalo limeniudhi na hata kunitoa machozi! Kama kawaida Mwakinyo ameonyesha tabia halisi ya Watanzania walio wengi! Watu wasiokuwa na confidence,malengo wala ndoto kubwa (big dreams)! Watu...
  13. T

    Mwakinyo aliuza mechi kwa kambi ya Liam Smith

    Bila ya salamu Habari za chinichini ni kuwa bondia Hassan Mwakinyo ,alivua mkwanja mrefu kutoka kwa kambi ya Liam Smith ili auze pambano lake ktk hali ya kushangaza na kustaajabisha kabisa kwa ku-fake majeraha ya kifundo cha mguu Mwakinyo amelipa fadhila kwa Liam kwa kitendo chake cha...
  14. Merci

    Boxing: Liam Smith vs Hassan Mwakinyo

    Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini. https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  15. Greatest Of All Time

    Hassan Mwakinyo apoteza kwa T.K.O dhidi ya Liam Smith | M&S Bank Arena | Liverpool

    Mabibi na mabwana, usiku wa leo kwa masaa ya Afrika Mashariki, Bondia mtanzania, Hassan Mwakinyo atakuwa anapambana na bondia Liam Smith katika dimba la M&S Bank Arena huko jijini Liverpool. Liam Smith ana umri wa miaka 33 huku Mwakinyo akiwa na miaka 27. Pambano hilo limekuja muda muafaka...
  16. Mtoto wa nzi

    Liam Smith Vs Mwakinyo

    Mwenye link arushe tuone au mechi ishapiggwa !!??
  17. BigTall

    Bondia Hassan Mwakinyo azidi kushuka viwango vya ubora wa ndondi

    Mambo yanazidi kumuendea kombo bondia Hassan Mwakinyo baada ya kuporomka kwa mara nyingine kwenye ubora. Wiki iliyopita bondia huyo namba moja nchini aliporomoka kwa nafasi 16, kutoka ya 17 hadi 33 duniani kwenye uzani wake wa super welter. Jana ameporomoka tena kwa nafasi mbili hadi nafasi ya...
  18. JanguKamaJangu

    Mwakinyo Asaini Mkataba wa Tsh. 232m Marekani, mwenyewe afungua

    Taarifa ni kuwa bondia namba moja Tanzania, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kusaini mkataba wa kucheza ngumi nchini Marekani wenye thamani ya Sh milioni 232 chini ya bondia wa zamani na promota Dmitriy Salita wa Kampuni ya Salita Promotion. Mtanzania huyo ambaye kwa sasa anaishi na kufanya mazoezi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Bondia Mwakinyo hajui anachosimamia! Amegeuka Tena.

    Habari Wakuu! Mwakinyoni mpiganaji mzuri lakini moja ya udhaifu wake ni majivuno ambayo hayana manaa yoyote kwenye kazi yake. Kwenye masumbwi yapo majivuno yenye maana katika ubondia lakini Kwa mwakinyo majivuno yake nayaona Kama hayana maana kwani hayamsaidii lolote. Siku za nyuma Mwakinyo...
  20. JanguKamaJangu

    Bondia Mwakinyo avuliwa mataji yote ya ubingwa, mwenyewe asema 'fresh tu'

    Baada ya kuvuliwa ubingwa wa mabara wa WBF miezi kadhaa iliyopita, bondia namba moja nchini, Hassan Mwakinyo amevuliwa ubingwa wa Afika (ABU). Wikiendi iliyopita bondia huyo amevuliwa ubingwa wa African Boxing Union (ABU) alioutwaa Mei mwaka 2021 kwa kumchapa kwa Technical Knock Out (TKO)...
Back
Top Bottom