Mwakinyo ikiwezekana badilisha uraia

Mwakinyo ikiwezekana badilisha uraia

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,201
Reaction score
8,144
Niko nimekaa naangalia eti mnaita boxing ..huu uchafu ndio boxing ? Hata anayeshinda anashangaa ameshindaje, anatangazwaje mshindi.

Wakati natafakari hayo yaliyonishangaza, picha ya Hassan Mwakinyo inanijia, kijana mtanzania alieamini katika kuipambania ndoto yake ya kua boxer wa kimataifa tena kutoka ardhi ya Tanzania, ila ni kama kila kitu kimefifia sijui, mwakinyo alipambana na amepambana kuondoa huu uchafu naoangalia hapa ili kuippeleka boxing ya Tanzania katika levels za kimataifa ila WAHUNI na WACHUMIA TUMBO walioko kwenye boxing industry waliona Kuna kidudu mtu anataka kuingilia ugali wao WA dhulma ..

Ndio mana sikushangaa kua boxer analipwa elfu 30 na hata hio elfu 30 hakuweza hata kuila akafariki. Ni mambo haya Mwakinyo alikua anapambana ayaondoe katika boxing yetu, ila alikosa watu wenye maono kama yake, nawaza kungekua na akina mwakinyo 100 hapa nchini ..huu uchafu usingekuepo..wengine tunapenda boxing ila kwa huu ujinga unaona hata aibu kuangalia ...mwakinyo ulipambana ila ni kama ulizuiwa kimakusudi..bora ubadilishe uraia ukapambanie ndoto zako nchi nyingine ambazo zitakuthamini, sio ajabu, wanamichezo wengine wanafanya wengi tu na wanafanikiwa. Angalia maisha yako, uzalendo wakati mwingine unaweza kufanya ukawa maskin zaidi badala ya kua tajiri.
 
Mwakinyo gani yule aliyeuza pambano watu tumekaa usiku kusubiria pambano lake alichokuja kukifanya nae kama hao tu
 
Mwakinyo yule aliyetaka kuua kwa kuibiwa nazi mbili?
 
Bondia Mwakinyo yupi unayemzungumzia? Yule aliyetwambia alisahau begi lake eapoti kwenye like "Pambano la Mchongo"? Hivi unajua yule bondia wa "Pambano la Mchongo" na Mwakinyo alifungiwa kucheza baada ya lile Pambano? Na unajua baada ya pale ndio Mwakinyo wako akapotea?
 
Lile pambano na Mmalawi nia Aibu KUBWA kuwahi kutokea duniani. Jamaa alishindwa kwa mbali sana sana tu wale wataamuzi sijui nisemeje. Kwa kweli ule ni wizi wa mchana kweupe KABISA. Upande wa pamba la mwisho walisema ni SARE na ni vichekesho kwani kwa raoundi zote kuna mtu alipgwa hata chini alidondoka. Najua watu watakuja na povu lkn hakuna namna lazima tuseme kama tunataka kusonga mbele. Najua hakuna marefu yasiyo na ncha lazima siku moja kuna BONDIA atawawasha makofi hao majaji labda ndipo wataogopa

Lakini pia nakumbuka kuna siku Mwakinyo huyo huyo alipigwa wazi wazi na bondia mgeni lkn ushindi akapewa yeye.
 
Mfaume kapigwa na mmalawi round zote ushindi kapewa yeye.
Ibra kapigwa na Nassib round zote kapewa sare.

Kuangalia huu upuuzi ni ufala mwingine.
Ni kweli kabisa upande wa MFAUME ni aibu kubwa sana. Ibra alipigwa hasa angalau SARE lkn yule Mmalawi wamemkosea sana
 
Niko nimekaa naangalia eti mnaita boxing ..huu uchafu ndio boxing ? Hata anayeshinda anashangaa ameshindaje, anatangazwaje mshindi.

Wakati natafakari hayo yaliyonishangaza, picha ya Hassan Mwakinyo inanijia, kijana mtanzania alieamini katika kuipambania ndoto yake ya kua boxer wa kimataifa tena kutoka ardhi ya Tanzania, ila ni kama kila kitu kimefifia sijui, mwakinyo alipambana na amepambana kuondoa huu uchafu naoangalia hapa ili kuippeleka boxing ya Tanzania katika levels za kimataifa ila WAHUNI na WACHUMIA TUMBO walioko kwenye boxing industry waliona Kuna kidudu mtu anataka kuingilia ugali wao WA dhulma ..

Ndio mana sikushangaa kua boxer analipwa elfu 30 na hata hio elfu 30 hakuweza hata kuila akafariki. Ni mambo haya Mwakinyo alikua anapambana ayaondoe katika boxing yetu, ila alikosa watu wenye maono kama yake, nawaza kungekua na akina mwakinyo 100 hapa nchini ..huu uchafu usingekuepo..wengine tunapenda boxing ila kwa huu ujinga unaona hata aibu kuangalia ...mwakinyo ulipambana ila ni kama ulizuiwa kimakusudi..bora ubadilishe uraia ukapambanie ndoto zako nchi nyingine ambazo zitakuthamini, sio ajabu, wanamichezo wengine wanafanya wengi tu na wanafanikiwa. Angalia maisha yako, uzalendo wakati mwingine unaweza kufanya ukawa maskin zaidi badala ya kua tajiri.
Promo kubwa kwenye ring hamna kitu! Ngumi kama za walevi wa gongo 🚮 🚮 🚮
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom