mwaka 2026

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru azindua huduma za afya zahanati ya kijiji Ndulungu

    KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA HUDUMA ZA AFYA ZAHANATI YA KIJIJI NDULUNGU Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, tarehe 24 Julai, 2026, amekagua na kuridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Ndulungu...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Gari za umeme mtupu ni nzuri ila kwa africa zitusubiri kwanza mpaka tutakapo zikifikia gari za mafuta za mwaka 2026 zikawa kitonga.

    Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu. Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari . Hizi barabara zetu nikama unachezea pesa.
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamishwa kuhusu umiliki halali wa silaha za moto kwa mujibu wa sheria za Tanzania

    Angalizo muhimu: Huu uzi ni kwa ajili ya kupata taarifa na hauhusiani na uvunjifu wowote wa sheria za nchi. Kama hii topic inakuzidi uelewa au huna jibu la swali lolote nililouliza hapo chini, si lazima uchangie (nipo serious kidogo, mazoea tuyaweke pembeni). Maswali: Naomba kujua, ni zipi...
  4. Vulmeko

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwanaume bora wa mwaka 2026

    Nimeipenda sana kauli yake. Wakati anatangaza kujiuzulu Uwaziri Mkuu, amesema anaenda kufanya kazi muhimu zaidi: "Kuwa mume bora kwa mke wangu mzuri... na kuwa baba bora zaidi kwa watoto wangu wazuri...," Wewe vipi, una mawazo au nia kama hiyo kwa mke wako na watoto wako?. Kama unawaza kumwacha...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Mjadala na upigaji kura wa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa ushirikiano kati ya ταnzania na UN Mwaka 2026

    MJADALA NA UPIGAJI KURA WA BUNGE LA ULAYA KUHUSU MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA ΤΑΝΖΑΝΙΑ NA UMOJA WA ULAYA KWA MWAKA 2026 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefuatilia mjadala na upigaji kura uliofanyika katika Bunge la Ulaya tarehe 18 Juni 2026 kuhusu Programu ya Ubia kati ya Tanzania...
  6. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Je, uhakika ya Ibrah ndio ni wimbo bora wa 2026 AU unabebwa na upepo tu?

    Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026. Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi. Lakini nina swali moja: Je, umaarufu wa...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Hatimaye David Kafulila aalikwa UDOM kutoa Public Lecture. Huenda huu ukawa ndio mjadala bora zaidi wa mwaka 2026

    MHADHARA MAALUM WA UMMA (PUBLIC LECTURE) Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia College of Business and Economics (CoBE), kwa kushirikiana na Public Private Partnership Centre (PPP Centre), kinakukaribisha kwenye Mhadhara Maalum wa Umma utakaowasilishwa na Mhe. David Kafulila Mkurugenzi...
  8. C-C Daily Stories

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Africa kusini "TYLA" atoa kalenda ya mwaka 2026

  9. M

    JamiiForums Tanzania Simu Bora za Kununua nchini Tanzania kwa Mwaka 2026

    Ili kupata uzoefu wa simu za kiwango cha juu (flagship) nchini Tanzania kwa mwaka 2026, Samsung Galaxy S26 Ultra ndiyo chaguo namba moja. Inapatikana madukani kwa makadirio ya TZS 3,500,000 (GB 256) hadi TZS 3,900,000 (GB 512). Kwa wanunuzi wanaozingatia bajeti, mnaweza kuangalia Nothing Phone...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Masoko makubwa barani afrika mwanzoni mwa mwaka 2026

    Masoko Makubwa ya Afrika Februari 2026. Mwezi Februari umeonyesha mwanzo mzuri kwa chumi kuu za Afrika mwaka 2026, imechangiwa na kupungua kwa mfumuko wa bei, kuimarika kwa sarafu za ndani na kuongezeka kwa hamu ya wawekezaji. 🎯Misri Yakumbwa na Hali Ngumu ya Biashara Sekta binafsi ya Misri...
  11. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kikitokea mwaka 2026 kitakufurahisha sana?

    Mimi nitafurahi sana timu yangu pendwa Arsenal ikichukua ubingwa wa ligi kuu ya England (EPL). Naamini hili litatokea na wale wanaosema Arsenal ni tembo juu ya mti wanakwenda kuaibika Wewe kitu gani kikitokea mwaka huu kitakufanya upate raha mithili ya mtu aliyeufikia mshindo mkuu? Mzee wa...
  12. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026

    UNCTAD Yatabiri Ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) la Tanzania Kufikia 5.8% Mwaka 2026 Huku Mfumuko wa Bei Ukishuka Hadi 2.8% Licha ya Kudorora kwa Uchumi wa Dunia. Umoja wa Mataifa ya Hali ya Uchumi Duniani na Matarajio ya Mwaka 2026 (UNCTAD’s World Economic Situation and Prospects 2026) inatabiri...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Namna mwaka 2026 utakavyoimarisha uhusiano wa kielimu kati ya China na Afrika

    Mwezi Julai 2025, wanafunzi na walimu 20 wa Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang waliwasili Port Elizabeth nchini Afrika Kusini, na kuwa wimbi jingine lisiloyumba la mawasiliano ya kielimu baina ya China na Afrika yaliyoanzishwa katika miaka ya hivi karibuni. Wakati mwaka 2026 ni wa mawasiliano...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Soma Hii Kama Unataka Kuanzisha Biashara Ya Kukutengezea Pesa Ndani Ya Mwaka 2026

    Rafki Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu Na, Kitu Hicho Ni Soko La Bidhaa au Huduma ambayo unaenda Kutoa au Kuuza Na je Soko Ni Nini? Kwa Mujibu wa Stefan Georgi...
  15. youngkato

    JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  16. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kitakachokwenda kutokea mwaka 2026 Huu ni Ufunuo kwa Ulimwengu

    Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki. a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi; 1...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2026, hakikisha unaombea kuachishwa kazi. Kuna mengi katika maisha zaidi ya kuingia ofisini kila siku

    UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tunapoelekea kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, napenda kumshukuru Rais Samia

    NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA. Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
Back
Top Bottom