Rafki
Kwa Wewe Ambaye unataka Kuanzisha Biashara Yako Ndani ya Mwaka 2026 ili Uanze Kutengeneza Pesa ya Uwakika Kuna Kitu Cha Msingi sana ambacho Unatakiwa Kukifahamu
Na, Kitu Hicho Ni Soko La Bidhaa au Huduma ambayo unaenda Kutoa
au Kuuza Na je Soko Ni Nini?
Kwa Mujibu wa Stefan Georgi...
Heri ya mwaka mpya wakuu... kwani mwaka huu (2026) hasa miezi mitatu ya mwanzo wa huu mwaka una Heri nyingi kwa wenye haki.
a). Ufunuo Huu ni mbaya kwa makundi yote yenye nguvu duniani aidha yawe ni Taasisi Vitengo, Kampuni ama serikali yeyote inayojihusisha na vitendo hivi au kati ya hivi;
1...
UOGA ndo kitu kinachoweza kuelezewa kwanini mpaka sasa hutaki kuacha kazi, lakini hio kazi utaiacha mwishowe kwa lazima ukifika umri flan. Kama ipo siku lazima utafukuzwa kwa lazima ama kustaafu kwanini usianze maandalizi mapema! Tushachoka kuskia taarifa za watu kujiua bila kua na sababu hivo...
NAPENDA KUMSHUKURU MAMA WA AFRICA AU DR SAMIA SULUHU HASSAN KWA KULIVUSHA TAIFA LETU LA TANZANIA SALAMA.
Yakiwa yamebaki masaa machache kuufunga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, haitokuwa busara na hekima kukaa kimya bila kutoa pongezi zetu za dhati kwa Mama wa AFRICA kama anavyotambulika...
Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako.
Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.