mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi- Haya ndiyo maeneo yaliyorekebishwa kwenye katiba ya CCM ya mwaka 1977

    UCHAMBUZI- HAYA NDIYO MAENEO YALIYOREKEBISHWA KWENYE KATIBA YA CCM YA MWAKA 1977. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatano Aprili 06, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 9 nimechambua maeneo yote 12 yaliyofanyiwa Marekebisho kwenye Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, Toleo la 2020. Kama...
  2. JamiiForums Tanzania Orodha ya World Bank 2022 ya low income countries, Tanzania imesahaulika? Kwenye middle income countries haipo

    Katika pekua pekua zangu, inaelekea kuwa Benki ya Dunia imesahau kuiweka Tanzania kwenye orodha ya low income countries. Yaani kwenye low income countries duniani hatuonekani na huko kwenye middle income countries nako hatuko. Sasa tutakuwa tuko wapi duniani? Mwenye kulijua hili atujuze. ---...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali: Kuna matukio 19,726 ya Ubakaji Tanzania tangu Mwaka 2019-2022

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema takwimu za matukio ya vitendo vya ukatili Nchini vilivyoripotiwa kwenye vituo vya Polisi kuanzia mwaka 2019 hadi Machi, 2022 ni 27,838. Masauni amesema hayo leo Aprili 6, 2022 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge la Viti Maalum...
  4. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ExxonMobil imesema faida ya robo mwaka itaongezeka kutoka na kuongezeka kwa bei ya oil na gas

    ExxonMobil kampuni ya kuzalisha oil and gas imesema leo kwamba faida yao ya robo mwaka itaongezeka kwa zaidi ya dola bilioni 2 kutoka na kupanda kwa bei za oil and gas. ExxonMobil ni kampuni ya Marekani na ya pili kwa ukubwa duniani. Inatazamia kupata faida ya jumla ya dola bilioni 11 kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi za EAC kuwa nchi moja na kutumia fedha moja ifikapo mwaka 2023

    Nchi mpya inaweza kuundwa ndani ya shirikisho la nchi za Afrika mashariki. Shirikisho la Afrika Mashariki, ni muungano unaopendekezwa wa nchi sita wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa nchi moja ya shirikisho ifikapo 2023. Mataifa haya saba yatakuwa Burundi, Kenya, Rwanda, Sudan...
  6. JamiiForums Tanzania Ajali Dodoma: Basi la Geita Express limegongana uso kwa uso na Fuso, watu wanne wathibitka kufariki

    Watu kadhaa wanahofiwa wamefariki dunia baada ya kutokea ajali iliyohusisha basi lijulikanalo kwa Jina la Geita Express kugongana uso kwa uso na lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 134 DXR katika eneo la Chinangali II Mkoani Dodoma. Habari zaidi zinafuata. AJALI YA BASI LA GEITA...
  7. JamiiForums Tanzania Kura za kanda ya ziwa huwa zinatoa maamuzi makubwa kwenye uchaguzi mkuu hapa nchini. Mwaka 2010 watu wa kanda ya ziwa waliikataa CCM dhidi ya upinzani

    Nani anajifanya kusahau juu ya uchaguzi wa 2010? Wananchi wa kanda ya ziwa waliikataa CCM ya kifisadi na matokeo ya uchaguzi yalikuwa juu kwa upinzani hasa Chadema. Upinzani ulipata madiwani, wabunge na kura nyingi za urais toka kanda ya ziwa. Mwaka 2025 utathibitisha hili bila chenga...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni Halmashauri zote huhitaji fedha kutoka Serikali Kuu? Kuzipatia fedha nyingi mabilioni kila mwaka ni kuzidekeza na kuzifumba akili

    Juzi Rais Samia ametangaza tozo ya shilingi 100 kwa kila lita moja irejeshwe katika kodi ya mafuta. Hapohapo wafanyabiashara wa mafuta hayo hawajalalamika bali wamefurahi maana wao wapata faida zaidi. Licha ya kodi hiyo ya mafuta, gharama za maisha kwa ujumla zimepanda na mfumuko wa bei uko...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2015 ilikuwa UKAWA vs MAGUFULI, mwaka 2025 itakuwa CCM vs Wananchi na kivuli cha Magufuli

    Amani iwe kwenu, Mimi kama mwananchi na mwanaCCM nakumbuka ilivyokuwa ngumu kuiuza CCM mwaka 2015 kiasi ambacho hata wafanyakazi wa CCM waliogopa kuvaa sare za chama hata walipokuwa ofisi za Lumumba kwa kuhofia kipigo na fedheha toka kwa wananchi. Naam, kazi kubwa ilifanyika hadi kutafuta...
  10. JamiiForums Tanzania Zoezi la sensa lisitishwe kwa mwaka 2022, hadi uchumi utakapokaa sawa

    Ni karibia mwezi sasa tangu Urusi apewe vikwazo ambavyo vilitarajiwa kumuumiza ila kwa kuwa anajitosheleza amekuwa akiendelea kuweka hadidu zake na wanaposhindwa kuzifuata anaendelea kupiga. Hali imekuwa tete kwa nchi nyingi huku Afrika ikiumia zaidi kutokana na kuwa tegemezi kwa kiasi kikubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kusherehekea sikukuu ndani ya nchi yako kuna raha yake

    Ni raha sana kusafiri kwenda likizo nchi za nje na kutalii. Lakini kuna raha pia kama utaweza kwenda maeneo ambayo hujawahi kufika hapa hapa bongo. Kwa mfano, Tanzania siku hizi imebadilika sana. Kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kwa bajeti ndogo na ukafurahia sana moments ukiwa mwenyewe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenyekiti wa Uvccm Dar anajitambua kweli? Yaani hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 ndio imemuachia huru Mbowe?

    Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kero ya Muungano iliyotatuliwa ndani ya mwaka mmoja

    Nikiwa natazama TBC kipindi mwaka mmoja wa awamu ya sita. Moja kati ya mafanikio ni kupatiwa suluhisho kwa kero za Muungano na kero hiyo ni " Ajira za Zanzibar kwenye taasisi na wizara za muungano" Hii kero ndani ya mwaka mmoja imeshapatiwa suluhisho. Hii kero imepatiwa suluhisho ndani ya muda...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nuru ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani yaelezwa Mwanza

    Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja. Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukipata Sup diploma ya afya unarudia mwaka, hii sio fair hata kidogo

    Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe...
  16. JamiiForums Tanzania Watu milioni 1.7 kila mwaka hufa kutokana na matumizi ya bidhaa za tumbaku

    Matumizi ya tumbaku na bidhaa za tumbaku unazidi kuwa mwiba wa Dunia. Tafiti zinaonesha magonjwa mengi yasiyo ya kuambukiza yanasababishwa na matumizi ya bidha za tumbaku.
  17. JamiiForums Tanzania Ukijipanga vizuri, mwaka huu unaweza kwenda Ulaya kufurahia maisha

    Tusijifungie sana ndani. Tuwe na kawaida ya kudunduliza pesa kwa ajili ya kusafiri nchi za mbali huko na kutazama maisha kwa upande mwingine. Kusema ukweli, ukiwa sio mtu wa kupangilia mambo yako hutafurahia maisha wala hutaifaidi dunia ipasavyo. Pesa tu ndio ikufanye usiende mataifa mengine...
  18. JamiiForums Tanzania Azam kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 1 Aprili, 2022

    Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000. Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  20. JamiiForums Tanzania Je, inakubalika kuomba kazi tena utumishi wakati nipo kweme tasisi ya serikali kwa mwaka mmoja wa matazamio (probation)?

    Inawezekana ku apply kazi tena utumishi na huku nipo kwene tasisi ya serikali ndani ya mwaka wa kwanza wa matazamio (probation)?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…