Siku moja nilikuwa Dodoma, jioni nikafika kwenye hotel moja inaitwa Morena kwaajili ya chakula cha jioni. Huwa napenda kwenda maeneo ya vile hususani nyakati za jioni maana kuna mengi waweza kujifunza japo vyakula vyao ni bei ghali.
Katika meza nyingine walikuwepo wabunge wawili wa chama tawala...