mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je unajua mtaji wa Milioni 10 utatosha kufanya biashara gani mwaka 2025? Nimekuelezea

    Mtaji wa milioni 10 ni mzuri sana kuanzisha biashara kadhaa zenye faida mwaka 2025. Chaguo bora litategemea sana maslahi yako, ujuzi wako, na soko linalokuzunguka. Hapa kuna baadhi ya mawazo ya biashara unaweza kuzingatia kwa mtaji huo: ### Sekta ya Uchakataji Chakula Utengenezaji wa vyakula...
  2. JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Elimu ya Lazima Miaka 10 kuanza Mwaka 2027/28

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la Mwaka 2023 kuhusu elimu ya lazima kuwa ya miaka 10 utaanza Mwaka 2027/28 ambapo wahitimu wa elimu ya msingi ya miaka 6 watakutana na wahitimu wa mwisho wa elimu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mtoto ana mwaka na miezi 7 na mama yake ana ujauzito ila afya ya mtoto kama inazorota

    Wazazi wenzangu naombeni msaada hapo niweze kuvuka kama Kuna sayansi yoyote nisaidieni nitumie Mtoto anaharisha, nimeenda hospital wamempa oral lakini naona hali yake kiafya inaporomoka, kula amepoteza hamu ya kula hali, muda mwingine unakuwa unashindwa ununue nini Ili ale Nitumie mbinu gani...
  4. JamiiForums Tanzania Hizbullah waingiza uwanjani kombora la FAD-3.Wapiga milima ya Golan,jimbo la Syria lililotekwa na Israel mwaka 1967

    Hapo juzi wapiganaji wa Hizbullah walitumia makombora ya FAD 1 na FAD 3 kupiga mji wa Haifa na makambi ya jeshi ya jirani na mji huo, Leo wapiganaji hao wamethibitisha kuwa mapigo yote ya Israel hayajaweza kufikia ndani ya milima wanakochimbia silaha zao nzito.Wamerusha mvua (salvo) ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

    Wakuu za muda huu; Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini. Picha hapo chini zinajieleza. NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
  6. JamiiForums Tanzania kila kona manyanyaso, hata haki ya watumishi kupata nyongeza ya mwaka ishakuwa manyanyaso.

    Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo; 1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao. 2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
  7. N

    JamiiForums Tanzania "Ngama,kupachuka,mongwe,vilei,kiberiti" Uliwahi kukutana na maneno hayo wapi na mwaka gani?

    Amani ya bwana iwe juu yenu ndugu watanzania. Maneno tajwa hapo juu yalikuwa maarufu sehemu flani ya Tanzania ambapo vijana kutoka mikoa mbalimbali ya nchi hukusunywa hapo na huishi kwa miaka miwili,minne au sita. Mimi binafsi nilikutana nayo mwaka 1998.
  8. JamiiForums Tanzania Tuwatambue watayarishaji muziki wa mwaka 2000 mpaka 2010

    Wakati muziki ndio unajitafuta kuna ma producer wengi walipambana sana kwa uchache P funk Master jay amit mental Said komorien Roi KGT Mika mwamba Jonnas Complex Mr ebo Lamar Dunga Baucha Bonny luv Akili the brain Shakii Enrico Kidboy
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii naita 'upende utanunua usipende utanunua'. Mwaka wa kufosi watu hawana mchezo

    😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time. Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu wamebeba mafurushi. Nikamuliza nikaambiwa ni wafanyabiashara na siku ile ilikuwa siku ya gulio au mnada...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi kabla ya Mwaka 2025

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta...
  11. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
  13. JamiiForums Tanzania Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii kufanyika Septemba 18-20, 2024

    Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii Septemba 18-20, 2024
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya Dola Bilioni 8.65 ndani ya mwaka mmoja

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa amesema ndani ya mwaka mmoja, Serikali imefanikiwa kusajili miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 hali ambayo inaonesha matokeo chanya ya uwekezaji nchini. “Miradi 9,678 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 8,658 ilisajiliwa mwaka 2023...
  16. JamiiForums Tanzania VC UDSM na DVC(PFA) mnajua kuwa Watumishi wenu hawajawalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara karibia mwaka sasa.

    VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa. Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana? Hamlipi Watumishi waliochini...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi nilifanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2013, wewe je?

    Ikiwa siku ya leo wadogo zetu wapo katika mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi, nawaombea wamalize salama na wafanikiwe kuwapa faraja wazazi wao kwa matokeo mazuri. Binafsi nilifanya mtihani huu mwaka 2013, share nasi ni mwaka gani ulimaliza elimu ya msingi...
  18. JamiiForums Tanzania Vitu hatarishi vya kuepukana na kuachana navyo kabisa kabla hata mwaka 2024 haujaisha

    [.MUHIMU.]...Vitu HATARISHI Vyakuepukana Navyo na Kuachana Navyo Kabisa Kabla Hata MWAKA 2024 Haujaisha.... 1.Kutumia Muda mwingi Sana Kwenye Social Media . Kwenye mitandao, wewe ni mwandaa maudhui au mlaji? . Zaidi ya 90% ni walaji. . Unapoteza muda wako kuangalia maisha ya wengine. ...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Balaa la walimu waliozaliwa mwaka ya 1980

    Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu. Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa ikikabiliwa na changamoto mbalimball, Ikiwamo utovu wa maadili na ukengeukaji wa miiko miongoni mwa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa tano sijaenda kanisani ila nasali na kusaidia watu naowambea Mungu awasaidie, Kanisani nitarudi iwe kama sehemu ya kusocialize zaidi

    Utaratibu wangu mara mbili au tatu kwa wiki nikitoka kazini mida ya jioni huwa napaki gari maeneo kadhaa kwa dakika 10 hadi nusu saa naanza kuzunguka nikiona bibi anauza karanga nampa elf 5 ntachukua karanga za mia sichukui chenji, mtoto anaeuza ndizi ntampa elf 2 naweza nisichukue ndizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…