"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
TAMISEMI imekua na mtindo wa fake promise kuhusu ajira kila uchwao na hakuna kutekeleza yani hakuna ajira.
au wakiajiri basi wataajiri idadi ndogo kuliko waliosema.
mwaka huu walisema wataajiri lakini hola wanacheza na akili za wasomi kirahisi tu haLafu watu wasomi wamelala.
kwa sababu ya...
Ninapenda kufahamu kwa mwaka nchi ya Tanzania inatumia tani ngapi?. Je viwanda vya ndani vinazalisha tani ngapi kwa mwaka?. Je gap sugar kwa mwaka ni tani ngapi?. Kuna mantinki gani gani Mhe. Waziri wa Kilimo kuipa Kampuni binafsi kibali cha kuleta tani 410,000?. Je sukari itakayozalishwa na...
Mwaka 2027 kutakuwa na michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON)ambayo yatafanyika katika mataifa 3,miongoni mwa mataifa hayo na Tanzania ikiwemo.
Kila nikijaribu kuangalia na kutazama namna mambo yanavyoendeshwa kwenye hii nchi na watu ambao tuliwaamini kiukweli nakosa majibu na napata...
Hawa wabunge na Mawaziri kiuhalisia hawakupaswa kuendelea kuishi hivi kisiasa. walipaswa kabisa wawe ni marehemu kwa huu uhuni wanaotufanyia. walipaswa kisiasa wawe maiti wao na kiongozi wao. wakutwe na political death. yes. nipo serious. wafe kisiasa.
mwaka 2025 tusipepese macho. ni kuwa nyoa...
Haya Ndugu zangu wa Kizanaki ninaomba kuanzia sasa anzeni kuniandalia Kichuri, Pombe Jani na Totooz za maana.
ONYO
Ukijijua fika Wewe ni Mhaya kutoka Mkoa wa Kagera, Mrangi kutoka Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma, Mnyaturu na Mnyiramba kutoka Mkoani Singida, Muha kutoka Mkoani Kigoma, Mkara...
China na Tanzania mwaka huu wa 2024 zinaadhimisha miaka 60 tangu zianzishe uhusiano wa kidiplomasia. Kupitia maadhimisho haya nchi hizi mbili sasa zinatarajia kupanua uhusiano wao wa kiutamaduni na kiutalii na kuimarisha mawasiliano kati ya watu wa pande mbili katika sekta mbalimbali.
Hivi...
Hapo vip!
Ukubwa wa club yeyote Dunia sio kuwa ya kwanza kuanzisha bali ni ukubwa na ubora wake katika bara lake na nchi yake...tukiangalia kigezo cha uwazishwaji hata huku mtaani kuna timu nyingi za shuleni na vijijini vilianzishwa kabla ya yanga basi tungesema hizo ndio timu kubwa,mfano...
Marekani, China, Ujerumani, Japan na India ndizo nchi zenye uchumi mkubwa zaidi duniani kwa mwaka wa 2024, kulingana na data zao za Pato la Taifa.
Pato la Taifa hutumika kama kipimo muhimu cha kutathmini ukubwa wa uchumi wa taifa. Mbinu ya kawaida ya kupima Pato la Taifa la nchi inahusisha...
Huko Geita halmashauri Leo wanatarajia kuzika diwani wa tatu tangu waliopitishwa na JPM 2020.
Walipitishwa,bila demokrasia,kujali umri,afyana matokeo yake wengi wamefariki bila kufikisha udiwani wao mwisho.
Wengine ni wagonjwa, wengine ni wazee.
Hili tatizo limeenea nchi nzima kuzika madiwani...
Leo ni siku ya tatu na ya mwisho ya mkutano wa mataifa yanayounda G7; ambao umewakilishwa na maraisi wa USA, U.K, France, Germany, Italy, Japan na Canada na mawaziri wa fedha kutoka nchi hizo.
Ajenda kuu ilikuwa China.
Maeneo ambayo yamejadiliwa kuhusu China:
1. CHINA INAHATARISHA VIWANDA NA...
Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ya Utekelezaji kwa Mwaka 2023, inayoonesha mafanikio ya Mpango Mkakati wa Miaka Sita (2019-2024), imeeleza kupitia Mfumo wa Haki Kiganjani, LHRC ilifanyia kazi asilimia 50 ya matukio ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu ulioripotiwa kati ya jumla ya...
Simba haijafanya audited financial statements Toka uanze mchakato wa mabadiliko 2018. Ndo maana tunasema mchakato haujakamilika unakuaje na Bodi? Yani unajenga nyumba lakini mpangaji yuko ndani na pesa kalipa, unajenga kwa maekezo yake sio kwa matakwa yako kama mwenye nyumba
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme
Benaco - Kyaka
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Shirika...
Mara nyingi hili tukio huwa linanijia kichwani. Sidhani kama nitaisahau Ile siku. Mgonjwa alikuwa baba yangu mzazi. Ni mtu mzima sana Kwa mwaka huo alikuwa na miaka 90+. Alikuwa na hali mbaya sana kiasi kwamba hata kuongea alikuwa hawezi. Hata kuinua tu mkono hakuwa na nguvu hiyo.
Hospitali...
Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale.
Baadae...
Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti)
Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi
swali la kujiuliza
a) Tuna sufficient za hao watu katika hizo sehemu nyeti kabisa katika maendeleo ya...
Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki.
Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam
NB
Nje ni gari tupu
=============
Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume
Esther Chabruma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.