mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  3. JamiiForums Tanzania MUWSA kinara wa tuzo za EWURA kwa mwaka 2023/2024

    Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanikiwa kushinda Tuzo Mbili zinazotolewa na EWURA kwa mwaka 2023/24 1. Tumeshinda tuzo ya Mamlaka bora nayotoa huduma Bora za majisafi na Usafi wa Mazingira kati ya nyingine 19 zenye wateja zaidi ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie...
  5. JamiiForums Tanzania Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara...
  6. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuliwekewa nguzo huu Mwaka wa tatu sasa hatuna umeme na hatujui kinachoendelea

    Sisi Wakazi wa CHANIKA ZINGIZIWA tuna kero ambayo imekuwa ikitusumbua huu mwaka wa pili sasa, tangu Mwaka 2023 tuliambiwa tutaletewa mradi wa umeme lakini hii sasa ni 2025 mpaka leo hatuna umeme. Inashangaza sana, Chanika ni Wilaya ya Ilala, Wilaya ambayo imekuwa ikisemwa inaingiza mapato zaidi...
  7. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Faida na Hasara ambazo ni nyingi za Kuanzishwa kwa Chama cha Mapinduzi Tangu Mwaka 1977 hadi sasa

    Utangulizi Chama cha Mapinduzi (CCM) kilianzishwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama mbalimbali vya kisiasa, ikiwa ni pamoja na Chama cha Umma (ASP) na Chama cha Mapinduzi (SMT) cha Zanzibar. Kuanzishwa kwa chama hiki kumekuwa na athari nyingi katika nyanja tofauti za maisha ya wananchi...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 siku ya kwanza kuonavideo ya wimbo Thriller wa Michael Jackson pale Drive inn sikulala usiku

    Sitaisahau hii siku ni miaka mingi 1988 , pale Drive inn Cinema zilipo ofisi za Zantel,Msasani. Tumetoka mtoko wa jioni na mzee wetu kuangalia filamu ambayo siikumbuki ila ninachoku.buka kabla ya filamu ulipigwa wimbo wa Thriller wa Michael Jackson Kwa umri wangu mdogo chini ya miaka 10 yale...
  9. JamiiForums Tanzania Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation

    Confession: True story: mwaka 2024 Nimeshuhudia vijana (watu wa karibu) wakitengeneza zaidi ya 15M+ kila mmoja kwa mwaka kupitia content creation. Siwezi kuwataja (wanaona hii tweet) Leo nitakupa sori na njia wanazotumia kupata hizo pesa Wengine wapo chuo, dropout Nimewashuhudia wakiwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kabendera: Komando mstaafu na aliyeshriki Jaribio la Mapinduzi dhidi ya Nyerere mwaka 1982, Christopher Kadego alitekwa na kuuawa kwa amri ya Magufuli

    Naendelea kusoma kitabu cha mwandishi Erik Kabendera, In the name of the President. Kabendera anafichua juu ya tukio la mauaji ya Komando mstaafu wa JWTZ na ambaye alishiriki katika Jaribio la Mapinduzi la Mwaka 1982 dhidi ya Serikali ya Nyerere. Kabendera anasema hayo wakati alipokuwa Gereza...
  11. JamiiForums Tanzania Nakumbuka Ilikuwa Tarehe 8 March Mwaka 2021 Ilikuwa Hivi Hivi Na Yanga Hakufungiwa

  12. JamiiForums Tanzania Matukio makubwa muhimu angani mwaka huu 2025

    Yafuatayo yatakuwa matukio ya kiastronomia mwaka huu 2025
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  14. JamiiForums Tanzania Harmonize kumalizia ujenzi wa Msikiti ulioanzishwa na Diamond mtwara mwaka 2018 na kuuita 'Masjid Naseeb'

    Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize, ametangaza kuwa atamalizia ujenzi wa msikiti ambao Diamond Platnumz aliuanzisha kijijini kwao Mtwara mwaka 2018. Kupitia Insta Story yake, Harmonize amesema kuwa msikiti huo ulianzishwa baada ya wao wawili kujadili umuhimu wa kusaidia jamii na kuwekeza mbele za...
  15. JamiiForums Tanzania Anza mwaka kwa kufanya makadirio ya kodi kwa wakati: Fanya makadirio ya kodi ya mapato mapema na epuka adhabu

    Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama ilivyorekebishwa mwaka 2023), mlipa kodi (binafsi au kampuni) anahitajika kufanya na kuwasilisha makadirio ya kodi ya mapato kwa wakati. Sheria hii inaweka miongozo ifuatayo: 1. Muda wa Kuwasilisha Makadirio ya Kodi...
  16. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kulishakuwapo mwaka wowote na kusitokee vitu ya aina yoyote ile. Hii ina prove hapa duniani bila ya kuwa mbabe utanyongeka hadi mwisho

    Hio ndio asili ya mwanadamu. Mipaka imeundwa kwa mapigano. Mamlaka zimeundwa kwa nguvu. Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita. Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge. Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
  17. JamiiForums Tanzania Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, wajua mwaka huku hapatakua na kumbukumbu ya kifo cha ally Hassan Mwinyi Rais wa awamu ya pili?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, Rais mwinyi alifariki tar 29-02-2024 na kalenda ya mwaka huu hamna hio tarehe. Je, kutakuwa na kumbukumbu ya kifo chake kama ilivo kawaida ya kukumbuka siku za maraisi wengne walio fariki? Je, waliotangaza kifo hiki siku ya tarehe 29 hawakujua kama tar 29...
  19. JamiiForums Tanzania Ndio tunaingia mwezi wa tatu wa mwaka huu mpya, vipi unaonaje mwelekeo wa mipango (resolutions) yako ya mwaka huu? Apeche alala au Apeche alolo?

    All in All ukata ni wa moto sanaa tena ukiongezea na hili jua kali hivi unachomeka kisawa sawa hadi unaanza kunukia kama ndafu. Ila tushazoea Uafrika wetu huu, mapambano yanaendelea hadi hio 31st of december.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki Anaependa Tour Tuwe tunasafiri kila mwaka kwenda nchi mbali mbali!

    Wakuu niko na obsession ya kusafiri kama wale youtuber shida sijapata company . Au mtu mwenye hoby kama yangu. So naishia kugairi kila mara Imagine sijafika hata BURUNDI tu. Kusafiri mwenyewe naona ni Risk sana hasa nchi za ugenini. Tuanze na nchi za Africa kwanza Mawazo tafadhari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…