mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Isaka alitajirika ndani ya mwaka mmoja jifunze nini alifanya

    Habari zenu wapendwa Tukisoma kitabu Cha mwanzo biblia inatuambia Isaka akiwa katika nchi ya wafilisti gerari huko alipanda mbegu kila kilo moja ya mbegu aliyoipanda alipata kilo mia za mavuno Biblia inamzungumzia Isaka ndiye Aliyestawi zaidi katika nchi Ile kuliko wote Mwanzo 26:12 Isaka...
  3. Rule L

    JamiiForums Tanzania Top 6 yangu ya marais duniani. Kuanzia mwaka 2015

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. 1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani. 2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥 3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥 4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥 5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 6 Robert Mugabe R.I.P giant NB. Zingatia namba tano
  4. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Tafakuri kuhusu matokeo ya kidato cha 4 mwaka huu

    Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.? Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la? Au zamani elimu ilikuwa ngumu? Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie? Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka mpya ni mwaka wako wa kufanikiwa.. Jiandae usibweteke

    Ni makosa kufikiria muda unakwenda. Muda hauendi. Muda upo mpaka utimilifu wa dahari Wewe ndiye unayeenda. Huupotezi muda. Muda hauna mwisho. Unajipoteza mwenyewe.maana una mwisho wako Ni wewe unazeeka na kufa. Muda haufi. Kwa hivyo jitumie vyema kabla ya muda wako kuisha. Na mojawapo ya...
  6. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa China wakua kwa asilimia 5 mwaka 2024 ukikabiliwa na changamoto mbalimbali

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Takwimu ya China zinaonesha kuwa, mwaka 2024 pato la Taifa la China lilikua kwa asilimia 5, na kufikia yuan trilioni 134.9, sawa na dola trilioni 18.94 za Marekani. Katika mwaka uliopita, licha ya changamoto za nje na ndani, China ilifanikiwa...
  7. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  8. Magical power

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Mwaka 2012

    Nakumbuka Mwaka 2012 Kipindi Ujana Maji Ya Moto 😂, Nilianzaga Mazoezi Ya Ngumi Kwa Ajili Ya Self Defense (Deep Down Ni Ukorofi Tu Ndo Ulikuwa Unanisumbua) Basi Bana Nikapiga Tizi Usiku Na Mchana Kwa Kipindi Cha Miezi 3. Kidume Nikajiona Nimekwiva Teyari Kwa Mapambano - Kukabiliana Na Yeyote...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Idadi ya safari wakati wa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yaashiria uhai na ufunguaji mlango

    Msimu wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China umeanza hivi karibuni. Msimu huu ni wa kwanza wa safari za Mwaka Mpya wa Jadi wa China tangu kutangazwa kwa mapumziko ya siku nane ya sikukuu hii, kupanuliwa kwa sera za kutohitaji visa, na kuongezwa rasmi kwa Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China...
  10. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mkuu mwaka huu, tutegemee tena ya Magufuli na uuaji wa demokrasia?

    Japo alipitishwa na chama kugombea nafasi ya urais baada ya marehemu Edward Lowassa na Bernard Membe kuvurugana, angalau alipitishwa kiushindani na demokrasia ndani ya chama. Kwa namna CCM ilivyotengeneza mzengwe na kumpitisha Samia Suluhu Hassan na Emanuel Nchimbi, kuna uwezekano uchaguzi ujao...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafta malkia wa ngome yangu

    mambo vipi waungwana, jamani mimi ni mwamba hapa 32 toka niwepo hapa duniani, napatikana pande za dar, mwajiriwa kwenye kampuni kubwa tu si haba kubadili mboga na hta kwenda kibaha kuulizia kiwanja sio issue kabisa, mimi mwaka huu nataka nivute jiko maisha ya usela yanachosha ila sasa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  13. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

    Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year. Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26 [22]Usiache kutoa zaka ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2030 Dkt. Nchimbi ataishi maisha ya kipweke angali kijana kama ilivyo kwa Obama, Sumaye na Vuai Nahodha

    Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea. Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya birthday yake alikejeli: Vitoto vinakufa angali vidogo. Miwili baadae akafa. Huyu nae hata mwaka anaweza asimalize baada ya kukejeli marehemu

    Nakumbuka kwenye birthday yake ya kutimia miaka 75 kama sikusoe, namba moja mstaafu kutoka Butiama, alikejeli watoto wadogo wanaokufa wakiwa bado wadogo. Kama namnukuu sawa sawa, alisema, "vitoto vyetu vinakufa angali bado vidogo....." Kauli hii binafsi iliniumiza na kunishangaza sana ingawa...
  17. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kijana hivi viwe vipaumbele vyako kwa mwaka 2025

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:- 1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia. 2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua visivyohamishika mfano (Kiwanja, nyumba, mashamba Bali 3. Uwe mwaka wa kununua vyenye kukufanya mwenye...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 polepole alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli huku anacheka kwa dharau na kebehi na samia anafanya kilekile kwa utofauti

    Mkutano wa ccm umempitisha Rais samia kama mgombea wa nafasi ya urais lakin unamlaumuje Samia ilihali mwanzilishi wa haya yote ni magufuli na wapambe wake Mwaka 2020 polepole huku anacheka kwa kebehi na dharau alisema anayetaka fomu ya urais amfuate magufuli lilikua ni tukio lililochukuliwa kwa...
  19. Imchomvu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahhitaji mchumba mwanamke alie tayari anicheki tuyajenge huu mwaka nataka kuoa

  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kwa Wapenzi wa Teknolojia: Mwaka 2025 utakua mwaka wa AR na Smart-glasses.

    Smart-glasses na Argumented Reality glasses zimeanza kitambo ila bado hazijafika "peak" ambayo mtu atatamani kununua. Tokea enzi Google alileta Smart-glasses zake 2013 akawa anawauzia developers tu kwa $1,300 ila hazikufika sokoni nadhani project ikifeli. (Google Smart-glasses ya 2013)...
Back
Top Bottom