mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020-2023 kulikuwa vuguvugu la Mapinduzi Afrika Magharibi. Mwaka 2025-2029 ni Vuguvugu la Mabadiliko Afrika Mashariki

    Kwanza ilianza Arab Spring mwaka 2009/10 - 2012 ambapo nchi za Uarabuni zilishuhudia vuguvugu la Mabadiliko ya Tawala zake. Nchi za Tunisia, Libya, Misri zilipata Viongozi wapya. Miaka ya 2020-2023 likaja vuguvugu la mabadiliko ya Utawala Afrika Magharibi. Nchi za Guinea, Mali, Niger, Gabon...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  4. JamiiForums Tanzania Picha BORA kabisa ya Mwaka

    A picture that speak louder than words Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake NO REFORM...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 1994

    JE WAJUA?. Pichani ni Aliyekuwa Makamwa Rais wa Serikali ya Awamu ya Tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Omar Ali Juma (Wa kwanza Kulia) akiteta Jambo na Rais wa Zamani wa Afrika ya Kusini, Ndugu Nelson Rohlanla Mandela "Madiba" pamoja na Mkewe, Mama wINNIE mANDELA. Picha hii ilipigwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup) tangu Mwaka 2000

    Mabingwa wa Kombe la Shirikisho Tangu Mwaka 2000 2025: Simba / Berkane ? 2024: Zamalek SC (Misri) 2023: USM Alger (Algeria) 2022: Berkane (Morocco) 2021: Raja Club Athletic (Morocco) 2020: Berkane (Morocco) 2019: Zamalek SC (Misri) 2018: Raja Club Athletic (Morocco) 2017: TP...
  8. JamiiForums Tanzania BOT iondoe sifuri moja kwenye noti za Tanzania kama walivyfanya Zambia mwaka 2012

    Punguza sifuri moja kwenye noti za Tanzanian kuna athari kadhaa za kifedha na kiuchumi, ambazo ni pamoja na: 1. Kuhifadhi Thamani na Usahihi wa Bei: Kupunguza sifuri moja kwenye noti kunaweza kusaidia kuboresha usahihi wa bei na kupunguza mkanganyiko wakati wa kujumuisha au kuhesabu bei kubwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

    Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments. Maneno...
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Mbezi: Shinda Mnada Wa Hii Nyumba, Vuna Mil 9 Kila Mwaka - Dar

    • Direction: • Condition • Features: • Facilities: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Bid Start Price: • Agent Fee: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwaka huu utapiga kura?

    Kwa hali halisi iliyopo kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 vipi mdau utapiga kura? Ni ikitokea kama hutopiga kura tuambie tatizo ni nini?
  12. JamiiForums Tanzania Mafua na kifua ya mwaka iko tough ni kupambana

    Hii kitu Kila mwaka inanipa shida mno sema Cha mwaka huu kimekutana na changamoto ya stress za maisha basi ni kupambana hadi sio poa Tuombeane sana
  13. JamiiForums Tanzania Movie itayokutoa machozi mwaka 2025

    MOVIE ITAKAYO KUTOA MACHOZI MWAKA 2025 Movie Kali yenye historia ya kweli ndani yake baharini Kuna Tisha sana kijana aliyekufa na kukufuka baada ya kushindwa kujiokoa kazini 👇🏾 https://youtu.be/CnjOMxEUDjo #bongo #bongomovie #movieclips #movies #movienight #LastBreath #Movies2025 #netflixmovies
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyonikuta mwaka 2008 nilipopanda basi moja na mama mkwe wangu niliyekuwa namuheshimu

    Mwaka 2008 nilipanda basi moja na mama mkwe wangu ambaye nilikuwa ninamuheshimu kuliko hata mama yangu kutokana na umri wake wa makamo (alikuwa mwalimu wa shule ya msingi aliyekaribia kustaafu na mtu wa dini sana). Kwenye basi nilikaa naye pamoja na safari ilikuwa ya masaa sita (6) na kwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Hatimae Sherehe za maazimisho ya ushindi wa WWII kwa mwaka 2025 yapita salama huko Urusi

    Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria. Naandika yamepita salama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  17. JamiiForums Tanzania Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hapa duniani hakuna mtu mwenye akili na utajiri kunizid kwenye hii karne kuanzia mwaka 2000 mpaka 2100

    Jambo la kufahamu sijisifu wala sina nia ya kudharau watu wengine hapana bali naongea ukweli Wako walionizidi kwenye historia na wako watakaonizidi baada ya miaka 100 kupita
  19. JamiiForums Tanzania Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM Makandarasi wazawa kicheko Miji 200 kumulikwa taa Usumbufu kwenye mizani wapata dawa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…