mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  2. CCM ilshindwa mwaka 1995 , ikashindwa 2010 na ikashindwa 2015 , ila ubovu mkubwa wa mifumo ya uchaguzi ndo unaibeba CCM

    Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
  3. Nimewahi kuishi mwaka mmoja bila kufanya kazi yoyote ila nilikuwa nakula vizuri , nalipa kodi , nasaidia ndugu na wazazi

    Katika MAISHA kuna mambo mengi Nilikaa mwaka mmoja bila Kazi ya kuamka Ahsubui Ila mishe mishe za udalali Mara yes Mara no Ila nilikuwa nakula Navaa Nalipa kodi Nasaidia ndugu na wazazi Pasipokufanya Kazi yoyote ya mshahara Kipindi hiki nilijifunza kuwa haitaji kufanya Kazi kwa bidii ili...
  4. Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  5. Alipata kuandika Thadei Ole Mushi, mwaka 2018. Makala ya kusisimua, inayoishi

    TAALUMA HII YA KIJASUSI IMEKWENDA WAPI? Na Thadei Ole Mushi. #Spin Doctor ni taaluma ya kijasusi ya kubadili hali ya mambo. Taaluma hii hutumiwa sana sana na wanasisa katika kuondoa mijadala na kashfa kubwa zinazowakumba. #Hizi picha zilipigwa mwaka 2008 ni miaka 10 sasa toka kundi la...
  6. Nilimuoa mwaka 2003 ndoa hii ina mambo mengi sana

    Habari za usiku. nina mke yapata miaka mingi imepota. Ana 40 na mimi nina 55 Sijawahi kumfumania Sijawahi kumuona kero Ushauri wenu
  7. Tafiti Zinaonesha,Nzi Watakuwa Wanatengeneza Asali Kama Nyuki Ifikapo Mwaka 2400

    Kutoka kwa nzi ambao wamejulikana kwa kusambaza magonjwa na kuwa kero kubwa kwa jamii, hadi kuwa viumbe wanaozalisha asali,hili linaweza kuwa mabadiliko yasiyoweza kuaminiwa, lakini tafiti za kisasa zinatoa dalili za mabadiliko makubwa ya kijenetiki. Ikiwa mabadiliko haya yataendelea, je, dunia...
  8. Yanga haitacheza tena robo fainali ya CAFCL hadi itakapofika mwaka 2076

    Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu ambayo kila siku wanafukuza makocha, na wachezaji, viongozi na mashabiki wao wameamua kucheza Sinema...
  9. C

    Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  10. Mfumo wa ajira za polisi mwaka huu una shida gan?

    Shalom Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma. Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
  11. CAG alidhishwa ufanisi wa fedha TPA Mwaka wa Fedha 2023/24

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kubwa kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa utendaji wake bora katika mwaka wa fedha 2023-2024. Ripoti ya CAG, iliyowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, ilionesha kuwa TPA ni miongoni mwa mashirika ya umma...
  12. Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025

    Website 10 Bora za Kujifunza Digital Skills Mwaka 2025 Katika dunia ya leo, kujifunza ujuzi wa kidigitali si chaguo tena; ni hitaji. Kama unataka kujiendeleza kitaaluma au kuanza safari ya kujitegemea kifedha mtandaoni, kuwa na ujuzi wa kidigitali ni muhimu. Hapa kuna website 10 bora...
  13. Nitajie mada yako bora kabisa hapa Jf katika Robo ya kwanza ya mwaka 2025

    Me yangu hii nimei understand sana chuma ni kutoka kwa mtibeli Robertinho.. Thread 'Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa' Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa Kwanini NIMEIPENDA?? Kwa sasa nimerudi kwenye kiini changu...
  14. R

    Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Majaribu ndio hayo wakuu, Dogo ana miaka 23, mwaka 2020 matokeo ya form 4 yalitoka akiwa na division 1, wengi walidhani ataenda advance ila haikuwa kwenye mipango yake, alienda chuo. alipoingia degree alibahatika kupata mkopo (anakula boom) Kimasihara aliomba ajira kwa cheti chake cha...
  15. Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  16. “The Year 2000” .Kitabu kilichotoka mwaka 1967.

    Kitabu “The Year 2000” (1967) cha Herman Kahn na Anthony J. Wiener ni jaribio la kutabiri hali ya dunia ifikapo mwaka 2000 kwa kutumia mbinu za kisayansi na mifano ya uchambuzi wa siku za usoni. Katika kitabu hiki, waandishi walitoa makadirio kuhusu maendeleo ya teknolojia, uchumi, na...
  17. Kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa ya serengeti open yatakayofanyika Arusha kila mwaka

    Kama kisemavyo kichwa cha habari kuanzishwe mashindano ya tennis ya kimataifa yatakayofanyika arusha mjini na yatakua na faida lukuki kwa nchi kama ifuatayo Kutangaza vivutio vya utalii kama serengeti na mlima kilimanjaro na vitaondoa ule uvumi kwamba mlima kilimanjaro na serengeti vipo Kenya...
  18. T

    Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  19. MUWSA kinara wa tuzo za EWURA kwa mwaka 2023/2024

    Ninayo furaha kubwa kuwataarifu kwamba, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi imefanikiwa kushinda Tuzo Mbili zinazotolewa na EWURA kwa mwaka 2023/24 1. Tumeshinda tuzo ya Mamlaka bora nayotoa huduma Bora za majisafi na Usafi wa Mazingira kati ya nyingine 19 zenye wateja zaidi ya...
  20. M

    Mke anaweza kuchepuka hali yakuwa ananyonyesha mtoto wa mwaka?

    Habar wakuu Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe, Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku tofauti ndani ya wiki moja ametoka na mtoto akirud ikifika usiku ukimuhitaji anapotezea au akwambie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…