mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania (5) JF VOTES : MTAALAM WA CHIT CHATS WA MWAKA

    ..
  2. JamiiForums Tanzania (4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)

    ..
  3. JamiiForums Tanzania (3) JF VOTES : MASTER WA COMMENT KUNTU NA FIKIRISHI WA MWAKA

    ..
  4. JamiiForums Tanzania (2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa.
  5. JamiiForums Tanzania (1) JF VOTES: MTENGENEZA MAUDHUI BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURA👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/2-jf-votes-mchangamsha-kijiwe-bora-wa-mwaka.2480948/ https://www.jamiiforums.com/threads/3-jf-votes-master-wa-comment-kuntu-na-fikirishi-wa-mwaka.2480952/...
  6. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mtu aliniambia kuwa hizi dola trillion 2.6 ambazo Afrika ilipokea kama msaada tokea mwaka 1960 ndizo zilizo changia Afrika kuwa ya kiduanzi zaidi

    Picha imejitosheleza maelezo
  9. JamiiForums Tanzania Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa katika Mfumo wa NACTVET

    Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET. Miaka yote hiyo walikuwa wanafanya nini? Sasa mtu hawezi kuendelea na Degree mpaka matokeo yawepo...
  11. JamiiForums Tanzania Inakaribia mwaka tokea ndugu zetu wauliwe na miili yao kupotezwa, haki ya Mungu watu waliofanya haya hawatoacha

    Watu wengine waliuliwa mabarabarani. Wengine nyumbani. Wengine walibebwa mahospitalini. Wengine walifia jela baada ya kutupwa wakisubiria kesi za uhaini. Asikudanganye mtu watu waliohusika na haya wataacha. Au watakutengenezea mazingira mazuri ya kupata haki yako popote.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wanaopewa vibali vya kumiliki silaha wapimwe akili kila mwaka pls..else tutazika wengi kwa hali hii..pls n pls

    KUTOKANA NA MAMBO YANAYOENDELEA KILA SIKU MARA MUME.KAMUUA.MKE NA SILAHA MARA MKE KAMUUA MWENZIE NA SILAHA TUNASHAURI HAWA WATU MNAOWAPA SILAHA WAMILIKI WAPEWE MITIHANI YA KUANGALIAA AKILI ZAO KILA MWAKA TAFADHALI MKUMBUKE MNAVYOWAPA WENGINE WANAKUWA NA FURAHA KWENYE NDOA ZAO LAKIJI...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Humphrey Polepole: Sauti yake ilikuwa ya kinabii

    Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni magumu sana kisaikolojia kwani wanaishi kwa hofu sana na wengi wao mambo yanawaendea vibaya. 1...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Nobel ya Tiba ya mwaka 2026 (Nobel Prize in Physiology or Medicine 2026)

    KUTOKA MITANDAONI KILICHOIVUTIA: TECHNOLOGY HII INAWEZA KUTIBU UPOFU WA MACHO Tuzo ya Nobel ya Tiba ya mwaka 2026 (Nobel Prize in Physiology or Medicine 2026) imetunukiwa kwa pamoja wanasayansi watatu: Karl Deisseroth (kutoka Marekani), Peter Hegemann, na Georg Nagel (wote kutoka Ujerumani)...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mipeko - Mkuranga umeme ni mdogo, mwaka wa pili sasa TANESCO wameahidi kuweka Transformer kubwa

    Wakazi wa Mkuranga Mkoani Pwani maeneo ya Mipeko (MSIKITI wa KIPATI) tuna changamoto ya umeme, ni mdogo sana (low voltage) ni shida, ikifika Saa moja Jioni unakatika na kurejea Saa 6 Usiku. Giza linasababisha kutokuwepo kwa usalama katika baadhi ya maeneo, watu wanafanyiwa uhalifu. Umeme...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 1998 nilikosa kazi ya upolisi kwa kukimbia sana, nikaambiwa nina mbio za mwizi na wala sio za askari

    Mwaka 1998 nilienda kwenye majaribio ya kuwa askari police, tukakimbia nikashinda nikawa wa kwanza wenzangu nikawaacha mbali sana, wakufunzi wakaniambia hizo mbio ni za MWIZI sio za ASKARI.... Malume
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa mjibu wa wataalam hata mwaka 2023–2024, kulikuwa na El Nino kwanini mwaka huu tumeipa promo sana?

    Kila siku El nino Hizi mvua za El nino ni za kwanza kunyesha Tanzania? Wakuu kuweni serious
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha gari wakati umefungiwa leseni miezi 6, utafungiwa miezi sita mingine na faini ya Sh500,000 au jela mwaka mmoja

    Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3, kulingana na aina ya kosa. Points zikiisha, utafungiwa leseni kwa miezi sita. Ikiwa utaendesha chombo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…