muuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tetesi: Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kumburuza mahakamani Tundu Lissu kwa defamation case ya kumuita na kumtangaza muuaji.

    Uropokaji una gharama zake. Tulishudia miaka siyo mingi jinsi Musiba uropokaji wake ulivyomgharimu TZS 9 billion kwa kumukashifu Bernard Membe. Wanasheria wa Paul Makonda wanajipanga kuushughulikia kisheria uropokaji wa Tundu Lissu dhidi ya Paul Makonda. Hizo pesa za TIGO kama atazipata huko...
  2. Wanasheria Waelimisheni Viongozi Wetu Kitu Kinachoitwa "Vicarious Liability", Hata Kama Wewe Hujaua, Kama Muuaji ni Mtu Wako, Then Unawajibika Wewe

    Wanabodi Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao. Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui...
  3. PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
  4. U

    Kisa cha Muisrael aliyeuawa na wasiojulikana, wengi walituhumiwa, alipofufuka alimtaja kaka yake kuwa ndiye muuaji wake, ukweli Mungu ndiye anayejua

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa Kisa hiki Al-BaKisa cha Al-Baqarah (Ng’ombe)i kimetokea miongoni mwa Wana Israel enzi za Nabii Mussa nduguye Haruni Kwamba yupo Muisrael mmoja tajiri aliuawa na watu walianza kuwatuhumu baadhi kuhusika na mauaji yao na waliwaaminisha jamii nzima kuwa...
  5. P

    Wimbo Wa "Muuaji Samia Must Go" Je, ni ishara kwamba Demokrasia imekua nchini?

    Jana nilipowasikia wanachama wa chadema wakiimba Samia muuaji must go! mwili wangu ulisisimka. Watanzania wote na dunia kwa ujumla tunajua na tunashuhudia ni kwa namna gani rais wetu SSH anavyopambana kutuletea maendeleo. Rais anapambana kuhakikisha democrasia inashamiri nchini. Watu wako huru...
  6. Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
  7. Kijana wa Kinyarwanda anashutumiwa kwa mauaji UK

    Kufuatia mauaji ya watoto watatu nchini UK kwa kuchomwa visu mchana kweupe mjini Liverpool Kijana Axel Rakubana aliyezaliwa na kukulia Wales nchini Uingereza atajwa kama muhusika mkuu --- A 17-year-old boy who is charged with the murders of three girls killed in the knife attack at a Taylor...
  8. Kenya: Ilikuaje hadi mtu mmoja anaua watu 42 bila polisi kujua?? Je muuaji ni mwerevu kuliko vyombo vya usalama?

    Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa unagundulika ni wa kijana anaitwa…densel Omondi… raia wanadhan kua aliuawa na vyombo vya usalama...
  9. Wakatoliki radicals wanatia aibu katika tuhuma za paroko muuaji sakata la Asimwe, wanahitaji kukataliwa

    Baadhi ya wakatoliki wanatia aibu sana katika hili sakata la anayedaiwa ni paroko kukamatwa kwa shutuma za mauji ya binti albino Asimwe. Maoni yao hao wakatoliki naoweza kusema ni "radicals" yanatia kichefuchefu na kuonyesha jinsi gani dini bila kujali ni ya upande gani inavyoweza kutafuna na...
  10. Riwaya: Muuaji mwenye kofia nyekundu

    ..
  11. Kuna Wakili Mmoja Nguli kaniambia huyu Muuaji Kato Rasta aliyemuua Afisa JWTZ akijitetea hivi wala hatofungwa na ataachiwa Huru upesi

    "Kama unajuana na huyo Kijana Kato Rasta au Rasta Mayele aliyemchoma Kisu Afisa wa JWTZ Kanali Deogratius Muna mwambie akienda Mahakamani ajitetee kuwa baada ya Kupigwa Vibao na Afande huyo huku akitukanwa nae alimuona Afande Muna anajishika Kiunoni akiashiria kutaka kutoa Pistol hivyo kwa...
  12. Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  13. Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka

    Aliua Kawe Dar es Salaam tarehe 25 Oktoba, 2023 na Kakamatwa rasmi Juzi tarehe 29 Desemba, 2023 huko Mkoani Ruvuma. Na ili kuonyesha kuwa Intelijensia ya Jeshi la Polisi nchini ni Kali ni kwamba ndani ya Miezi hii Miwili Muuaji Rakesh Kato Mayele ( alias ) Rasta Kato au Rasta Mayele ( Dereva...
  14. Raia wa Kawe kupigwa kininja na MPs wa kambi ya Lugalo walaumiwe Polisi kwa kukaidi kumkabidhi muuaji Kato kwa hao MPs

    Kwa kifupi sana nasema hivi kama police wa Kawe wangemkabidhi muuaji ambaye ni Kato hayo yote yasingetokea. Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote. Kama unabisha sawa hayo ya Kawe yatakuwa sehemu ya maisha popote pale Tanzania. It is what it is, it pains but swallow it the hard way...
  15. Aliyepandisha gharama za Toto Afya kadi ni muuaji. Magufuli tunamkubuka kwa hili

    Kama unatibiwa india. Au unatoka familia yenye ukwasi huwezi kujua mateso wanayopata watanzania wa kawaida.. Watu wanatumia mitishamba au kwenda kwa mwaposa badala ya kwenda hospital kukwepa gharama kubwa za matibabu. Uongo mkubwa wanakwambia mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa bure. Hata kwa...
  16. Ujue mto Lukuga, mto wenye tabia zote mbaya, mto mwizi, mto jeuri, mto muuaji, mto hatarishi kwa kila aina ya mazingira

    Huu ndio mto LUKUGA, uliochipuka kutokea Ziwa Tanganyika (Nashindwa kupata kichwa cha habari kinachofaa kubeba maelezo haya) Mto Lukuga ni kijito cha 'Mto Lualaba' katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unaochota maji ya Ziwa Tanganyika na kuyamwaga kwenye mto Kongo, kisha Mto Kongo...
  17. J

    SoC03 Muuaji wa kimya aliezoeleka

    Msingi wa mafanikio na maendeleo ya mtu mmoja mmoja mpaka taifa zima ni afya bora, hakuna shughuli yoyote ambayo binadamu anaweza kuifanya pasipo kuwa na mtaji namba moja ambao ni afya. Katika jamii za kitanzania kumekua na mazoea mengi yanayohatarisha afya za watu lakini mazoea ya watumiaji wa...
  18. Muuaji wa Kilifi Paul Mackenzie, ni vigumu kumtia hatiani vinginevyo dini zote zifutwa

    Japo nalaani mauaji ya kinyama yaliyofanyika huko Kilifi Kenya, nina wasiwasi kama sheria zetu za kiingereza zinaweza kumtia hatiani. Zifuatazo ni sababu nuzuhu za kisheria: Mosi, si rahisi kuthibitisha kuwa Mackenzie aliwashawishi wahanga kutokula. Na kama aliwashawishi, si kosa kumshawishi...
  19. Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
  20. K

    Je, Balozi Kipilimba ni mzalendo?

    Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu. Kuna wanaofikiria alikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…