muuaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini itatakiwa imkamate muuaji Putin na kumpeleka ICC

    Mataifa yote 127 yaliyotia mkataba na ICC yanatakiwa yamkamate pindi akitua nchini mwao, Putin amepanga kuitembelea Afrika Kusini mnamo Agosti, anasubiriwa akamatweeee..... waumini wa Putin povu ruksa Russia's President Vladimir Putin will be attending the Brics Summit in August this year, on...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Je, Balozi Kipilimba ni mzalendo?

    Lissu kasema bila kupingwa kwamba kikosi kazi cha kumpiga risasi yeye, kutunga kesi, utekaji wote mpaka wa Dewji umefanywa chini ya maelekezo na usamamizi wa mtu mmoja ambaye ni Balozi Kipilimba. Hajawahi kutoka hata siku mmoja kukana chochote maana ni ukweli mtupu. Kuna wanaofikiria alikuwa...
  3. masai dada

    JamiiForums Tanzania Muhindi alieyeenda kukodi muuaji Afrika Kusini

    Katika hizi stori za mauaji huko bondeni siku mbili tatu nilipita Twitter huko naona Raia wa South wanalalamika kwamba kwa unaweza ukaua mtu na wala suala hilo lisitiliwe maanani hata ukifahamika. Kwa migano ya hapa na pale wakamtaja huyo Muhindi na nahisi kama nilishawahi sikia hiyo stori...
  4. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIMULIZI:JUMBA LA MUUAJI

    MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA MSITUNI-JIONI Hali ya utulivu imetawala, huku sauti za Ndege na mivumo ya matawi ya miti inayopulizwa na upepo ikisikika, mara unasikika MNGURUMO WA PIKIPIKI INAYOKARIBIA. Zinapita sekunde chache inafika PIKPIKI KUBWA NYEUSI na kusimama mita chache...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyetuhumiwa kuua kwa kukusudia, aiomba Mahakama imwachie huru

    Mkazi wa Mkwajuni, Ismail Ndage (27) ambaye anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imsamehe na imwachiee huru, baada ya kukiri shtaka la kuua. Ndage anadaiwa kumuua Beatrice Onesmo kwa kumchoma kisu tumboni baada ya rafiki yake kupiga...
Back
Top Bottom