Ukitoa Dar ni majiji gani mengine yana kumbi za cinema atleast Kila weekend WATU wanaweza jipoza.
Aya Kwa music wapi UNAWEZA sikia Kuna burudani ukiacha bar za mbagala kule atleast kama ni music ya injili au ya Dunia in a weekend tunaweza PATA burudani?
Kama zipo Dar, vipi majiji mengine...
Version 1.0
Release Date: September 2025
Authors: BFC Core Team
Website: www.bongoflavorcoin.com (Placeholder)
Contact: info@bongoflavorcoin.com
1. Abstract
In the pulsating heart of Africa's music scene, where rhythms like Bongo Flavor echo the continent's spirit, lies an untapped revolution...
Kwa uchache tu mfahamu Mtayarishaji wa mziki au kwa kimombo Music Producer
Music Producer au Mtayarishaji wa muziki ni mtaalamu anayehusika na kusimamia na kuratibu mchakato mzima wa kutengeneza wimbo au albamu. Mchukue kama meneja wa mradi (kwa kimombo unaweza kumuita Project Manager) na pia...
Mnamo mwaka 2016, nchini Iraq, kijana Ayham Hussein alikamatwa na wanajihadi alipokuwa akisikiliza muziki wa Kimagharibi katika duka la baba yake.
Alifikishwa katika mahakama ya Sharia ambayo ilimhukumu kunyongwa. Kijana huyo alikatwa kichwa hadharani kabla ya mwili wake kurejeshwa kwa familia...
Wakubwa nimecheki huko Mjini Facebook, kuna wakenya huko wanatamba na hizi Sound System za magari wanaweka majumbani mwao hii idea imekaaje, make sote tunajua mziki wa gari huwezi linganisha na Sabufa za hapa na pale.
Habari wadau,
Nina kiu ya kuwekeza kwenye muziki wa Injili lakini sina pa kuanzia. Nina maono ambayo naamini ninaweza kumshawishi mwekezaji tukafanya kitu kwa mkataba maalumu.
Nimeandaa album kamili yenye nyimbo zaidi ya 12. Bado nipo kwenye tafakuri aidha nianze na album au EP (Extended...
Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini wasanii karibu wote wameuiga, suala la kuperforme huku bodyguards na videographers wao...
Ninachojiuliza ni kwamba hawakujua au hawakufanya Survey ya eneo kabla ya kuweka Jukwaa
—————————————
Tuzo za Trace kwa wasanii wa Afrika zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Visiwani Zanzibar, Tanzania, zilikatishwa kutokana na maji kujaa karibu na jukwaa.
Tuzo hizo zilizoonekana kuchelewa...
Jioni ya leo February 26 kutakuwa na kilele cha msimu wa pili wa tuzo za muziki zinazojulikana kama Trace Awards huko visiwani Zanzibar.
Tukio hilo litakalofanyika viunga vya hadhi ya juu kistarehe, Mora Resort zitahudhuriwa na mastaa wakubwa Afrika wakiwemo Davido, Rema, Fally Ipupa, WizKid...
Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump
Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa
Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country 🤣🤣
Inamaana wamarekan...
Hello!
Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii.
Washindi wa vipengele mbalimbali wamepatikana kutokana na utafiti na ukusanyaji wa maoni mbalimbali...
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi.
Malengo siku moja, sisi wanachama...
Hello the Bosses and Roses.
Katika kuelekea kuufunga mwaka wetu huu wa 2024, embu twende pamoja katika kuwapa tuzo wasanii wetu wa Muziki kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kuhakikisha jamii yote inaburudika, inaelimika na pia inafuraha kutokana na talanta za sauti zao walizopewa na Mungu.
JF Music...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.