museveni

Yoweri Kaguta Museveni (pronunciation ; born 15 September 1944) is a Ugandan politician who has been President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled notorious Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before capturing power in the 80s. In the mid to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success in battling HIV/AIDS. At the same time, Uganda remains a country suffering from high levels of corruption, unemployment and poverty. Museveni's presidency has been marred by involvement in the civil war in the Democratic Republic of the Congo and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017), thus enabling the extension of his rule.

View More On Wikipedia.org
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

    Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni. Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu. Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
  3. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda hali si shwari: Mlinzi mkuu wa Bobi Wine aliyetekwa na mtoto wa Museveni afichua mateso zaidi ya 15 aliyoyapitia, hawezi kutembea wala kulala,

    https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128 Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi ) tarehe 27 Aprili 2025. Leo hii kafikishwa mahakamani akiwa kwenye hali mbaya sana anabebwa. Haya...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni aikaribisha Starlink Uganda, avutiwa na utoaji wa 'internet' kwa gharama ndogo

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema Jumanne kuwa amefanya kikao "chenye mafanikio" na wawakilishi wa kampuni ya intaneti ya satelaiti ya Elon Musk, Starlink, ambayo inapanua huduma zake barani Afrika na sasa inalenga kuanzisha uwepo rasmi nchini Uganda. Kupitia ujumbe alioutuma kwenye...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake

    Tofauti ya Lisu na CHADEMA yake na Mpinzani mkuu wa Museveni, Bob Wine na chama chake Bob wine alipohojiwa na BBC swahili kuwa uchaguzi mkuu Uganda unafanyika mwakani je atagombea pamoja na kuwa mara nyingi akigombea amekuwa akishindwa Akajibu akasema yeye watu wanaompenda na wako tayari...
  6. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda President Museveni gifts MPs Sh100 million each

    KWA KIGANDA - KWA UFUPI Abamu ku Babaka ba Uganda okuva mu NRM, ab’ebyobufuzi abatalina kyebegattako wamu n’ab’ennyingiza yaabwe bagambibwa nti baweebwa obukadde 100 za Uganda buli omu okuva eri Pulezidenti Museveni nga ssente za mukwano n’okwebaza, era nga n’omubeezi ku bibuzo by’ensimbi...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mtoto wa Museveni dishi lake limeyumba nini?

    Huyu Kaneirugaba naona kama vile hazijamkaa sawa kichwani! https://youtu.be/geBJ2Qb-ytM?si=W_d1_OSATPupROkp
  8. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Besigye, mwanaume anayeteswa na Museveni kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke

    Biblia inapotukumbusha tuishi na wanawake kwa akili, siyo bahati mbaya, humaanisha. Wanawake ni viumbe hatari mno hapa Duniani! Chanzo cha ugomvi wa wawili hao ni mke wa Kiza dada Winnie ambaye awali alikuwa mpenzi wa Museveni wa ujanani. Museveni, kwa hiari yake mwenyewe, aliamua kuachana na...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tshisekedi aliingia mkataba na Museveni, Odinga na Kagame kabla ya uchaguzi wa 2018 alioushinda

    MKATABA WA KUMWEKA FELIX TCHISEKEDI MADARAKANI Mnamo Tarehe 22/11/2018, siku ya Alhamisi katika eneo la Upper Hill kwenye ofisi ya Mzee RAILA AMORO ODINGA kulifanyika mkutano, Ajenda kuu ya mkutano huo ilikuwa ni jinsi ya kuchukua madaraka ya Congo baada ya JOSEPH kumaliza muda wake;na pia...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine: Mtoto wa Museveni anatishia kunichinja, Muhoozi asema Baba yake ndiye anayemzuia kumchukulia hatua

    Mkuu wa Majeshi nchini Uganda (CDF), Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye pia ni Mtoto wa Rais wa nchi hiyo Yoweri Museveni, amesema mtu pekee anayemzuia kumshughulikia Mwanasiasa mashuhuri wa Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) ni Baba yake Rais Museveni ambapo...
  12. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Museveni awashawishi Marais wa Afrika Mashariki kwa hoja ya historia ya miaka 1000 ya Muungano wa Kibiashara Afrika Mashariki Arusha Tanzania

    29 November 2024 Makao makuu ya EAC Arusha, Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni asema mbali ya kuadhimisha miaka 25 ya kufufuliwa EAC hapo mwaka 1999 https://m.youtube.com/watch?v=V3Uim1f150s Tunapoadhimisha miaka 25 ya EAC iliyofufuliwa, nilipendekeza katika hotuba yangu leo kwamba pia...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kizza Besigye, mkosoaji maarufu wa Rais Museveni atekwa akiwa Nairobi, Kenya, Mkewe atoa tamko!

    Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda, Kizza Besigye (68), anadaiwa kukamatwa na kuwa chini ya ulinzi wa kijeshi akiwa nchini Kenya. Mke wa Besigye, Winnie Byanyima, ambaye pia ni mtetezi wa haki za binadamu, alieleza kuwa mumewe alikamatwa mjini...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Je, ni lini Marekani itaanza kushughulika na Museveni kama ilivyodeal na Gadaffi mwaka 2011?

    Wakuu habari zenu. Its no longer news kuwa siku ya jana kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine alipigwa risasi ya mguu na vikosi vya usalama vya Uganda. Soma pia: Boby Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi We also know kwamba kwa miaka ya hivi karibuni, mahusiano ya...
  16. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni akemea kitendo cha Trump kushambuliwa kwa risasi, ampa pole

    Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni. Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole. Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣 Yapi maoni yako...
  17. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni: Kuna nchi wanaita watu wawekeze na wakodi hadi maliasili zao

    Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu, Maneno ya Rais museven akiongea na vijana wa NRM, katika karamu ya jioni iliyoandaliwa ikulu, Utajiri wa waganda ni rasilimali na ndio maana nimeweka sheria kali kwenye copper, dhahabu hakuna kuja kujichotea na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Museveni alishatuonyesha kuwa anajua Kucheza Mpira na Juzi Kagame nae kakipiga huko Rwanda tunawaomba na wengine waonyeshe walicheza hata Netball tu

    Na tukiamua kucheza 'Netball' hatutaki kusikia Kukohoa na Kupumua kwa juu na Sharti Kuu ni Kuvaa Bukta au Gauni.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
Back
Top Bottom