muongozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Tsh. Million 15, nahitaji muongozo

    Mimi ni kijana wa miaka 25, katika kupambana kwangu nimepata mtaji wa milion 15 nataka nianze biashara ya duka la vifaa vya umeme. Sasa naombeni muongozo (kupata mlango, kuagiza mzigo, maeneo mazuri ya kuchukulia mzigo Kwa dar, na location ya office za usafirishaji). Kwa anaye jua A to Z juu...
  2. JamiiForums Tanzania Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

    Habarini? Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda...
  3. JamiiForums Tanzania Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima, tunasubiri muongozo

    Mbowe alisema la DP world likipitishwa watakiamsha nchi nzima tunasubiri muongozo. Tunasubiri muongozo sasa maana washapitisha tayari ila nina wasiwasi na Mbowe atasitisha hili. Hakuna kosa ambalo mbowe alifanya limetucost hadi leo kama kusitisha operesheni ya UKUTA. Safari hii mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Muongozo wa kuanzisha biashara ya vitabu kwa Taasisi za elimu ya juu

    Wana jf naomba muongozo na ushauri wa kuanzisha biashara ya vitabu, vitabu hivi ni vile vya masomo vinavyotumiwa na vyuo vikuu na taasisi nyingine za elimu ya juu, naomba ushauri kwenye: Mtaji Jinsi ya kuagiza kutoka publishers mbalimbali. Vibali husika vya biashara Kodi za bandarini na tra kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  6. JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Lead Generation 101: Muongozo Kwa Wafanyabiashara Wanao Promote Bidhaa Zao Kupitia Mitandao ya Kijamii

    Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo kama unalenga kutangaza bidhaa au huduma zako kwenye mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mwongozo rahisi wa Kumtongoza Mwanamke unayekutana naye mara kwa mara

    Utapata urahisi zaidi ukiwa wa thamani katika jumuiya uliyopo. Jumuiya uliyopo inaweza kuwa ni kazini, shuleni, mtaani, kanisani au sehemu ambayo unakutana na mwanamke mara kwa mara. Hakikisha unajulikana na watu, ongea na watu wengi kadri uwezavyo. Hili litaongeza thamani yako kama...
  10. JamiiForums Tanzania Muongozo juu ya biashara ya rasta za kike

    Habarini wakuu,nipo Mkoani huku na baada ya kuhangaika sana kutafuta biashara kwa ajili ya kipato cha ziada. Nimegundua kua biashara ya rasta za wadada inatoka sana,ninaomba mwenye abc juu ya biashara hii tuwasiliane kwa namba hapo chini, lengoni kujuzwa wapi kwa Dar ntapata mzigo wa jumla na...
  11. JamiiForums Tanzania Unaishiwa Cha Kuongea Na Mazungumzo Yanakua Mafupi Ukiwa Na Mwanamke? Fuata Muongozo Huu...

    Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
  12. JamiiForums Tanzania Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  13. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  14. JamiiForums Tanzania Tupeane muongozo jinsi ya kufungua biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe

    Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Kwa sasa makazi yangu ni Iringa mjini hapa Kihesa. Shughuli niliyokua nafanya kwa kiasi kikubwa inategemea jua kuwaka mchana na sasa ni kipindi cha mvua ivyo kazi haifanyiki Kwa wajanja janja wa huu mkoa nina akiba ya 500K naweza kufanya mishe gani kwa kipindi cha mvua ila tu isiwe kilimo
  16. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo katika hili

    Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia simu ananiambia kuna tenda ya kukata miti pori kwa ajili ya uchomaji wa mkaa, mimi namiliki chainSaw...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa kupata vibali vya kusafirisha nyama

    Habari, Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote zinazohitajika katika biashara hii. Na namna nzuri ya usafirishaji na kufanya packing. Asante.
  18. JamiiForums Tanzania Muongozo wa namna ya kuoshea viatu vya ngozi kama hivi

    Wakuu nipeni ujuzi hapa.. viatu vya ngozi kama hv naosha kwa kutumia maji ya kawaida, valve/spay, au Sabuni..? Nipeni utaalamu maana naweza kuviharibu hv viatu paso kujua..
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hii pcmcia kwenye TV atupe muongozo

    Hii Slot nimeona kwenye TV Yangu Aina ya LG Lakini Hadi Sasa Sijajua Matumizi Yake Wenye Ufahamu ni Slot ya PCMCIA Atupe Muongozo
  20. JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…