mungu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Nabii GeorDavie wanamjua Mungu? Wana roho ya kikatili wanaweza kummaliza mtu, tuwaombee

    Nimeangalia clip ya wanaojitahidi waumini wa GeorDavie au wafanyabiashara soko la Samunge Arusha utagundua binadamu wanapenda kumsingizia Mungu. Kwanza kwao, tishio la mauaji, as long haligusi watoto wao, siyo shida. Wanaona kama Lema anaigiza kisa kugusa milioni mia moja. Hakuna mcha Mungu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

    Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI! Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete. Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA...
  4. JamiiForums Tanzania Nick Cannon asema Mungu ndiye ataamua idadi ya Watoto atakaokuwa nao

    Mtangazaji #NickCannon akifanya mahojiano na kipindi cha #EntertainmentTonight, amesema suala la idadi ya Watoto halimhusu yeye na hivyo hawezi kusema kama amefikia mwisho wa kupata wengine. Kuhusu malengo ya Watoto wake hapo baadaye, Rapa na Mwigizaji huyo amesema wakikua wataamua wenyewe kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Kipi Mungu anachoweza kukifanya kikanisaidia?

    Tukiachana na hadithi nzuri tunazosimuliwa kuhusu nguvu za Mungu, nahitaji kufahamu ni kipi anachoweza kunisaidia maana kila kitu nafanya peke yangu. Naamka asubuhi naenda kupambana nikipata pesa namshukuru Mungu, kwanini Mungu asinipe pesa mimi nikae? Je, hawezi? Au hataki? Kuna kipindi...
  6. JamiiForums Tanzania Nimrudishie nini Bwana?

    Nimrudishie nini Bwana kwa ukarimu wake wote alionitendea? Nitakipokea kikombe cha wokovu na kuitangaza amani ya Bwana kwa neno lake, Zaburi 116:12. Mungu wangu u mwaminifu sana kwangu hata sasa umenipa makumi mawili matatu hapa kwenye ardhi yako nikiwa timamu na afya tele, ahsante Mungu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ijue dawa ya kuua limbwata tuliyopewa bure na Mungu wetu kwa wema wake

    Hakika hakika Dunia ni watu. Ndugu makomredi na wanafamilia nichukue fursa hii kama mpambanaji na mwanafamilia wa ukweli wa jukwaa hili kusaidiana inapobidi nyakati zote ni muhimu sana sana. Hasa sisi wachatakaji, wazagamuaji, wakali wa msakalanyo, wazee wa kutimba aidha uwe umeoa au hujaoa...
  8. JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili alishawahi kumdhihaki MUNGU kisa Mwanamke

    Malipo ni hapa hapa. Ulimbukeni wa kupata mwanamke mzuri, ulimfanya Nikki wa Pilli kusema, "Mwanadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa ni mwanamke, na sio mwanaume kama Biblia inavyosema" - hio ilikuwa ni 2019. Watu wengi walijaribu kumkanya afute kauli yake -akiwemo Bill Nas na Pastor Mmoja hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Nawatakia Kwaresma Njema, Mungu akajibu hitaji lako

    Kesho mwezi wa toba unaanza, ni kipindi cha kulia, kujuta na kutubu! Naomba kuchukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema! Na Mungu akajibu Kila lililohitaji jema la moyo wako, kama ni ugonjwa, familia, mahusiano, masomo, changamoto za kiuchumi na mengine, basi Mungu akakuonekanie katika kipindi hiki.
  10. JamiiForums Tanzania Naipenda CCM, Mungu aibariki

    Msema kweli mpenzi wa mungu, naipenda CCM sababu imenifanyia mengi na imenipa mengi. Wakati vijana wengine mnailalamikia CCM ila akina sisi tunamshukuru Mungu kuileta CCM chama chenye kutoa fursa kwa vijana kama sisi. Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Mchungaji Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameomba msamaha kwa Kanisa zima la KKKT, Maaskofu, Wachungaji na Waumini wote Askofu Malasusa amemtangazia msamaha Askofu awataka Waumini waache Ushabiki kwa sababu wanaligawa Kanisa na huo siyo Ukristo Tukio lilikuwa mubashara KKKT Kinyerezi Chanzo...
  12. JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu, nimekamilisha kazi tatu mpaka sasa.

    Wakuu kwema! Napenda kuwashukuru nyote Kwa namna ya pekee. Mmekuwa sehemu muhimu katika kazi zangu na Maisha yangu. Mungu awabariki Mno. Katika Kampuni yangu ya Taikon Publisher ambayo inahusika na mambo ya Uandishi katika program yetu ya WritingLife Coaching Programs ambayo imesaidia Vijana...
  13. JamiiForums Tanzania Huku ni kumtafuta Mungu katatizo

    Unawdzaje kuandika sentence hii. Kuna watu wanakosaga Cha kuandika.
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  15. JamiiForums Tanzania Manusura wa utawala wa awamu ya tano waliokimbilia nje wote ni kama Mwenyezi Mungu amewabariki

    Huwezi amini fadhili za Bwana ni za milele. Manusura wote wa mkono wa chuma wa awamu ya tano waliokimbilia nje ya nchi kuokoa roho zao Mungu hakuwatindikia wao na familia zao. 1. Tundu Antipas Mughway Lissu. Anapanda mwewe daily mitoto iko USA unyamwezini. Yani lisu huyu kawa more international...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Ukipewa maisha duniani tambua ya kuwa Mungu amekuamini

    Maisha unayoishi hauishi Kwa bahati nasibu, Mungu amekupa nafasi adhimu, wengine ni wagonjwa,wengine wamejufa lakini wewe upo hai ,una afya njema, huna cancer, huna tatizo la Figo lakini masikini ya Mungu wewe ndiyo unafanya dhambi ya hovyo hovyo, unalawiti au kulawitiwa. Fahamu ya kuwa Kuna...
  18. JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni. Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ndio kitu bora kabisa Mungu alichowahi kumpa mwanadamu

    Kukatia tamaa suala la ndoa, ni kukatia tamaa sababu ya kuishi. Mungu kwa akili yake timamu alisema si vyema mwanaume akae peke yake. Shetani ndiye amebrainwash watu kuona ni vyema kuachika, kuwa single mama/baba, kupiga na kuacha, punyeto, na lgbtq. Usikatishe tamaa. Ndoa ni kitu bora na safi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mwamposa: Fuateni Mafundisho ya Neno la Mungu na siyo Maombezi ya Miujiza ya Uwongo na Kweli

    Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania. Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…