mungu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Utujaalie Ushindi Mechi ya Leo dhidi ya Al Masry, Inshaallah

    Ewe Mwenyezi Mungu, Muumba Mbingu na Ardhi, ulisema ombeni mtapewa, nami nasimama mbele yako hapa uwanjani kwa Mkapa mvua ikiwa inanyesha, nakuomba allah jalali, mungu wa viumbe wote duniani, utujaalie ushindi wa kishindo leo uwanja wa Taifa ili roho zetu zipate kutulia. Mwenyezi Mungu, wewe...
  2. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: Tundu Lissu ni Mpango wa Mungu, NRNE ni Mpango wa Shetani, ni li Pepo! Limemkumba Lissu!, Akiachana Nalo, Anatinga Ikulu 2025!

    Wanabodi, Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。 Ulimwengu wa Mwilna Ulimwengu wa Roho Haya mambo ya mtu kusikia sauti, sio mambo ya ulimwengu huu wa mwili, haya ni mambo ya ulimwengu wa Roho. Kusikia Sauti Hii ni thread...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kikwete apewe maua yake walau alikuwa anamwogopa Mungu, CDM kupata wabunge 75 kwa tume hii!

    Nimemsililiza mhe. Lema akitoa mfano wa jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi wanavyopatikana na waimamizi wanavyoteuliwa. Hakika Kikwete ni muislam. Japo ana mapungufu yake mengine lakini walau ana hofu ya Mungu.
  4. JamiiForums Tanzania Part 1: Ukuaji wangu

    Anaandika jonhson✍🏻✍🏻 Kwa jina naitwa jonhson ni mzaliwa wa mkoa wa mara ukuaji wangu umekuwa na mapito mengi ya kuumiza sana. Nilizaliwa miaka 33 iliyopita nikiwa na afya nzuri ila baada ya miezi kadhaa niliugua sana mpaka nafikisha miaka mitatu nilikuwa nimekonda mno, yani kwa maelezo ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  6. JamiiForums Tanzania Nilivyo Jariwa na Mwenyezi Mungu

    Mimi ninaa amini ktk Ukuu wa Mungu, ila siwezi to ufafanuzi mpana ktk hilo. Ila katika Maisha yangu binafsi Huwa namshukuru Mungu kwa Kunijaria Bahati Hii Bahati ninayo toka kuzaliwa. 1. Biashara Nikifanya Biashara huwa inafanikiwa, na popote, Jambo lolote ni ninalolifanya kwa Nia ya Biashara...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Je, bado kuna Waafrika wenye akili wanaoamini kuwa Uislam na Ukristo ndiyo dini za kweli za Mungu?

    Habarini, Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini. Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Shetani ni mtumishi wa Mungu, siyo adui wa Mungu

    Najua hoja yangu itaibua ukinzani wa kitheolojia na niko tayari kwa hilo hata kama majibu hayatakuwa timely kwa sababu ya majukumu mengine. Mungu ametuumba na kutupa FREE WILL. Kazi ya kuona free will inafanya kazi amemuachia malaika huyo tuliyembatiza majina mengi tu likiwemo jina la SHETANI...
  9. JamiiForums Tanzania No Reform No Election ni Mpango wa Mungu kuiponya Tanzania. Anayeuliza itafanikiwaje? Muoneshe Picha hizi!

    Kikundi kinachofanya siasa za kitapeli wakiungana na mabwana zao CCM wanajaribu kuwakebehi CHADEMA eti watafanikishaje No Reform No Election? Wasichojua hakika ni kwamba, No Reform No Election sasaivi si tena ajenda ya CCM bali ni ajenda ya Watanzania baada ya Mungu kuamua kuiponya Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo, basi ndiye aliyeruhusu Waafrika tutawaliwe na wazungu

    Uhali gani mwanaJamii Forum? Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...
  11. JamiiForums Tanzania Nimethibitisha: ukimuomba Mungu jambo lolote atakupa – ukitimiza vigezo na masharti haya

    Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea Nasi Sasa?

    wakati wa usiku usingizi mazito uwajiapo wanadamu.Mungu hunena na sio mara moja.lakini watu hawayatilii maanani yaliyosemwa naye. Nirudie Mungu anasema kila siku na kila anaitwa mwananadamu.Ukipuuza Sasa ukiwa na pumzi puani. Utaelewa kwa lazima ukiwa haupo tena katika mwili.Ni lazima uone...
  13. JamiiForums Tanzania Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

    Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe! Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu Je, haoni...
  15. JamiiForums Tanzania Chanzo cha ulimwengu na Mungu bado ni fumbo kwenye fikra za mwanadamu!

    Natumai mu buheri.. Mada yangu leo nitapenda kuangazia misimamo mbalimbali juu ya uwepo wa Mungu/Miungu pamoja na chanzo cha ulimwengu na kisha nitagusia mtazamo wangu kutokana na mitazamo hiyo.. kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya hizi hoja mbili lakini binafsi nionavyo katika mitazamo yote...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
  17. JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: 'Leo na kesho (Watu wa Mungu hawaogopi)

    Luka 13:32 (Yesu) Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha (Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Historia: Je, wajua historia ya taifa la Thamud? kwanini watu wa mji huu waliangamizwa na Mungu?

    Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini moto wa kuzimu usianze na wazungu waliotumia jina la Mungu kuuwaua Waafrika wana wa Mungu kupitia ukoloni?

    Habarini, Hili nalo linafikirisha WAAFRIKA wanakosa gani mbele ya MUNGU WA KWELI hadi waandaliwe moto wa kuwaunguza wakati wazungu waliowatawala na kuwanyonya wanastarehe tu ma kula mema ya ulimwengu kila kukicha??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…