mungu

  1. Nimeamua kumtengenezea yule njiwa kabox ili akaemo. Maana hata jana mchana alienda kupiga masafa akarudi tena kwangu. All in All nimeamuachia Mungu!

    Ngoja nimpe hifadhi tu jamani. Soma pia: https://www.jamiiforums.com/threads/njiwa-kaingia-nyumbani-na-wala-haoneshi-dalali-ya-machachari-na-wala-hataki-kuondoka.2318538/ https://www.jamiiforums.com/threads/jamani-yule-njiwa-alieingia-nyumbani-nikamtoa-nje-leo-tena-amerudi.2318795/post-53177554
  2. Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  3. Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

    Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume wake) sijui yupo? Sijui nitampata wapi?" Nikamwambia Aunty muombe Mungu sana, funga kwa wiki mara...
  4. Je Mungu wa wakristo, Budha, waafrika, Waislamu na wahindu ni yule yule mmoja?

    Nimetafakari na kugundua kuwa mafarakano ya kidini duniani hutokea kwa kila dini kumtetea "Mungu" asinajisiwe. Lakini ninajiuliza je sifa za Mungu Kwa dini zote zilizoko duniani ambazo ni maarufu, sifa zake zinafanana? Jee waumini wa hizi dini wanamuabudu Mungu yule yule mmoja ama miungu yao...
  5. Hii ndiyo ibada iliyo njema yenye kumpendeza Mungu.

    Habari za wakati huu wana jukwaa, poleni kwa mfungo wa Ramadhani na Kwaresma. Naomba kushare nanyi hili swala siku kadhaa zilizopita kuna mahali nilienda kuna mzee nilimsikia anazungumza kuhusu hili. Alikuwa anasema yeye ameshasafiri nchi mbalimbali hususani Japan, alisema wajapan wao hawana...
  6. Kumekucha salama! Karibuni kwa sala ya asubuhi, tumshukuru Mungu

    Mungu Baba, umetuagiza katika 1 Thes 5:18 kwamba tushukuru kwa kila jambo; maana hayo ni mapenzi yako kwetu katika Kristo Yesu. Tunakushukuru sasa Baba kwa kutulinda usiku kucha. Tumelala usingizi mnono na kuamka tukiwa na nguvu na uzima. Asante sana Baba kwa neema yako. Endelea kutulinda...
  7. Karibuni wote tuombe sala ya usiku - Mungu atulinde

    Mchana umetoweka, usiku umeingia! Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya. Yesu...
  8. Wasanii wa nyimbo za Injili acheni kumpigia Mungu kelele

    Naongea na nyinyi mnaojiita wasanii wa nyimbo za Injili (Gospel Artists), vikundi vya kwaya na bendi. Nyinyi mnaotunga na kuimba nyimbo za Injili, nyimbo za sifa na kuabudu lakini maisha yenu ni ya mchanganyo! Maisha ya uvuguvugu. Nyinyi mnaopenda kumwimbia Mungu lakini dhambi hamtaki kuziacha...
  9. Tabia ya kuwatishia matajiri na wafanyabiashara ijaanza leo wakiwa upande wa vyama pinzani

    Kama mnakumbuka:Hiki kisa cha Katika miaka ya 1990, kulikuwa na tukio ambapo serikali ya Tanzania ilimwaga shehena ya ngano na unga wa ngano wa mfanyabiashara maarufu, Said Salim Bakhresa, ikidai kuwa bidhaa hizo hazikukidhi viwango vya ubora vinavyohitajika kuingizwa nchini. Kutokana na hatua...
  10. Mungu ulikuwa wapi wakati wa biashara ya utumwa?

    Habari wana JF Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu uwepo wa Mungu lakini kuhusu masimulizi yanayo elezea matendo yake mazuri na huruma kuu Kwa viumbe wake. Mungu kupitia wajumbe wake hapa duniani na maandiko yanadai Mungu ni mwema na mwenye huruma sana lakini ukitafakari...
  11. Wakristo wengi wanadanganywa kuwa kupeleka pesa na mali kanisani ndio kumtolea Mungu sadaka!

    Kama kuna jambo ambalo wakristo wengi wanadanganywa na kuibiwa basi ni kwenye kitu kinaitwa Sadaka. Kila ujanja ujanja wa viongozi wa kikristo kutaka kuwatapeli waumini pesa na mali zao basi sadaka ndio kichaka cha kwanza na haraka sana kinatumika. Na jambo hili lipo kwenye madhehebu yote ya...
  12. F

    Mungu na shetani kushirikiana kumtesa Ayubu ni ushahidi tosha kama Mungu na Shetani ni Marafiki. ndio maana Mungu hamuui shetani mpaka leo

    Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu. Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
  13. R

    Hili ni umbo la Malaika wa Mungu akionekana Kwa macho ya Damu na nyama

    Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa mwanadamu ni mkubwa kuliko ulinzi apewao Mfalme wa tawala za WANADAMU. Turudi kwenye mada. ( 1 Mambo...
  14. Tunatumia nguvu nyingi kumtafuta mungu ambazo hata hazihitajiki

    Katika Siku 7 je? Dhambi zinaweza kuondolewa kwa sasaa matatu? Ukisema ufuate sheria zote za katoliki ufakufa masikini maana itakulazimu kila siku uhuhudhurie kabisani. Je? Kwanini walitunga sheria ambazo kabisa walijua watu hawatazitimiza? Kuna watu wanatembea na bibilia au vitabu vya Quran...
  15. Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  16. Mungu anipe uzima nimuone Rais Samia akiomba kura kwa wananchi akizunguka Tanzania nzima.

    Bila shaka kila mzalendo wa taifa hili, na mfuatiaji wa siasa za Tanzania mwaka huu October atakuwa anahamu sana kumwona Samia akiwaomba kura watanzania. Mm binafsi namwaonea huruma sana samia sipati picha nzuri kwake ,kwa sababu a. mvuto na ushawishi wa kisiasa hana,achilia mbali makabila...
  17. Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

    Jana usiku niliandika humu kuwa nipo mbezi, napata vyombo. Sasa mchana watu niliokuwa nao walikuwa wamezianzia pombe tokea mchana, hadi kufika jioni walishalewa. Tukatoka tukaenda G7 LOUNGE ipo kinyerezi nadhani sasa tulikuwa na magari mawili gari moja la mtu binafsi jingine ni la mtu mwingine...
  18. Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  19. Jamani kaka yangu; hayo unayomfanyia wifi yangu, Mungu anakuona!

    Kila siku wifi anaamka alfajiri, anakuchemshia maji ya kuoga. Anafanya usafi wa nyumba, anapika chai, anaogesha watoto. Anaenda kutafuta mkaa, anahakikisha familia imepata chakula. Sokoni anakazana—anauza maandazi ili watoto wapate ada ya shule maana wewe huwalipii. Jioni inamkuta bado kwenye...
  20. Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Nimezaliwa kwenye Ukristu na nimekulia kwenye imani ya kikristu ila baada ya kupata akili nimegundua kua Uislamu ndio dini ya haki Ukristu umekua kama kichwa cha mwendawazimu kila kanjanja anaingiza maigizo yake ukristu umekua dini ya ajabu mpk inafikia hatua mtu unaona aibu kujiita mkristu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…