Mnaoamini hakuna Mungu kwanini mnasikitika watu wakiuana?

Mnaoamini hakuna Mungu kwanini mnasikitika watu wakiuana?

Hii vita ya Urusi na Ukraine na Sasa Iran na Israel imenifanya niwaze baadhi ya mitizamo (siyo misimamo) ya wasioamini kuwa kuna Mungu.

Kwa mfano kinachowafanya wasioamini kuwa kuna Mungu wasikitike watu wakiuana ni nini? Msingi wa masikitiko yao ni nini?
Kwani kuna uwiano wowote kati ya kusikitika na kuamini au kutoamini uwepo wa Mungu?
 
Wengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.

Kama hakuna uhusiano na kuamini kama Kuna Mungu au lah, ni kwa nini basi mtu asikitike mwingine akiuawa?
Kwasababu hakuna Mungu unadhani kufanya jambo baya ni vizuri kwako? Kutokuamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity
 
Utu au kutenda wema na kufuata kanuni njema zinazo Jenga mustakabali wa amani Nikanuni ambayo ipo tu Duniani Kwa ajili ya power imbalance Wala Haina uhusiano wowote Ule na uwepo wa mungu

Yaani wewe na akili zako timamu hapo ulipo Unahitaji Kuambiwa na the so called Mungu kuwa usiibe maana kuiba sio jambo jema kwakua utakuwa unachukua kitu cha mtu alicho kitolea jasho bila ya ridhaa ya mwenyewe na kufanya hivyo ni dhulma , Hiyo si kanuni ya kawaida tu ya maisha , na Ina apply hata Kwa wanyama ndio maana ni rahisi kukuta kuku au mbwa wakipigina Kwa kugombania chakula , Kwa sababu nature the way ilivyo Ina mfanya Kila kiumbe kuwa mbinfsi

So hizo kanuni zimewekwa mahsusi ili kupunguza ubinfsi wa binaadamu walau Dunia Iweze kupunguza matukio ya kutendeana unyama baina ya mwenye nguvu na asiye na nguvu ,

Wala sio issue ya ithibati kuwa Kuna Mungu
 
Wengine wanasikitika kwa kuwa wanaamini ni dhambi kumwaga damu ya mtu asiye na hatia.

Kama hakuna uhusiano na kuamini kama Kuna Mungu au lah, ni kwa nini basi mtu asikitike mwingine akiuawa?
Kuna jamaa hapo chini amekuqoute kwamba kutoamini uwepo wa Mungu hakuondoi humanity, kwahiyo ukiachana na imani kuna ubinadamu ambao upo ndani ya mtu.
 
Utu au kutenda wema na kufuata kanuni njema zinazo Jenga mustakabali wa amani Nikanuni ambayo ipo tu Duniani Kwa ajili ya power imbalance Wala Haina uhusiano wowote Ule na uwepo wa mungu

Yaani wewe na akili zako timamu hapo ulipo Unahitaji Kuambiwa na the so called Mungu kuwa usiibe maana kuiba sio jambo jema kwakua utakuwa unachukua kitu cha mtu alicho kitolea jasho bila ya ridhaa ya mwenyewe na kufanya hivyo ni dhulma , Hiyo si kanuni ya kawaida tu ya maisha , na Ina apply hata Kwa wanyama ndio maana ni rahisi kukuta kuku au mbwa wakipigina Kwa kugombania chakula , Kwa sababu nature the way ilivyo Ina mfanya Kila kiumbe kuwa mbinfsi

So hizo kanuni zimewekwa mahsusi ili kupunguza ubinfsi wa binaadamu walau Dunia Iweze kupunguza matukio ya kutendeana unyama baina ya mwenye nguvu na asiye na nguvu ,

Wala sio issue ya ithibati kuwa Kuna Mungu
Exactly 💯
 
Ndugu yangu, hata kabla ya dini hizi zilizoleta dhana ya 'Mungu' kuja watu walikuwa wanasikitika.

Kusikitika ni mwitikio wa mwili/ akili yako mwenyewe kunakosabavishwa na kemikali ndani ya mwili (hormones).

Mwili wako umekuwa programmed kuzawadia mambo mazuri yanayokufanya ustawi kwa kukupa furaha, lakini mambo mabaya yanayohatarisha uhai wako basi mwili una react kwa kukupa maumivu/ huzuni.

Lengo ni kukupa motisha ya kufanya yale yanayokufanya ustawi na kutofanya yale yanayokuweka hatarini.

Kitu kuwa kibaya au kizuri haisabishwi na "Mungu".
 
Utu au kutenda wema na kufuata kanuni njema zinazo Jenga mustakabali wa amani Nikanuni ambayo ipo tu Duniani Kwa ajili ya power imbalance Wala Haina uhusiano wowote Ule na uwepo wa mungu.
Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?

Maana Simba mwituni wanakula wanyama wenzao na inaonekana ni sawa. Sisi binadamu tunachinja maelfu ya wanyama Kila siku kwa ajili ya vitoweo na inaonekana kuwa ni sawa tu.

Sasa hiyo kanuni ya kuona si jambo jema kuua binadamu wenzetu imetokana na nini. Kwa binadamu akimuia mwenzake anakuwa amekiuka kanuni gani ya maisha?
 
Hiyo kanuni ilianzaje kuwepo. Kilitokea nini hadi binadamu wakawa na kanuni ya kujua jambo jema na baya?

Maana Simba mwituni wanakula wanyama wenzao na inaonekana ni sawa. Sisi binadamu tunachinja maelfu ya wanyama Kila siku kwa ajili ya vitoweo na inaonekana kuwa ni sawa tu.

Sasa hiyo kanuni ya kuona si jambo jema kuua binadamu wenzetu linetokana na nini. Kwa binadamu akimuia mwenzake anakuwa amekiuka kanuni gani ya maisha?
Kanuni ya maisha inayokua imekiukwa haijui !??

Mfumo wa maisha ya binaadamu una tegemea uwepo wa tawala mbali mbali na tawala zipo kwaajili ya kikundi cha watu Fulani kuweza kunufaika na uwepo wa watu wengine so ili weweze kunufaika ni lazima wa maintain peace na maadili

Ni kutolee mfano mdogo do you think kama hakuna peace maadili Kutawala uliopo madarakani utaweza vipi kuwatawala wananchi wake ??

Jibu ni kwamba haitowezekana that's why hizo kanuni zikaundwa ili kuwafanya binaadamu waweze kuwa watulivu na watawala na watu wenye power wapate kunufaika Kwa wepesi na mapato yanayo Toka Kwa wananchi etc
 
Back
Top Bottom