mungu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Wanaufufuo na watu wote mnakaribishwa kesho tujumuke kwa ajili ya bwana Mungu wetu

    Ndugu zangu wapendwa huu ndiyo wakati wa kuwa imara zaidi kuliko wakati wowote. Simama na mathayo 10:28 HATISHWI MTU Kumbukeni hili msije kusahau hata siku moja! Mungu yupo pamoja nasi wakati wote, Yeye mwenyewe Alisema DUNIANI MNAYO DHIKI LAKINI JIPENI MOYO, MIMI NIMEUSHINDA ULIMWENGU (Yohana...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Walikuwa Mungu mtu 2016-2020 sasa wako wapi?

    Tubadilishe mifumo ya demokrasia na haki. Bila hivyo mabaya yatawarudia. Vyombo vya unyanyasaji na utekaji unavitumia leo lakini kesho utatekwa wewe Hawa walikuwa Mungu mtu Mungu katuonyesha walikuwa binadamu leo wote wako wapi
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia

    Mwambieni Polepole Aogope Mungu na Teknolojia
  4. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Bado Mungu anakupenda

    Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watibeli tunaapa kwa Mungu pekee na haki; hatunaga kiapo kingine. Ukifuata Haki tutakulinda na kukutetea.

    Habari za Ijumaa! Moja ya vitu vinavyotutofautisha Watibeli na watu wengine ni pamoja na hili. Sisi hatunaga cha mzazi. Hatunaga cha Mke/mume Hakunaga cha Mtoto Hatunaga cha Sijui Boss, sijui Mkurugenzi. Hatunaga cha sijui Rais, sijui Rais, sijui Waziri. Hatunaga cha Sijui kamanda wa jeshi...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaosema Israel ni taifa la Mungu:- Je Mungu anaweza kupiga nyumba yake kwa bomu na kuuwa watu wake?

    Baada ya jeshi la Israel kupiga kanisa na kuuwa watu waliokuwemo ndani, sasa huu umekuwa muda wa watu kufunguka macho na kuanza kuhoji huo utakatifu wa ardhi ya Israeli. https://www.bostonglobe.com/2025/07/17/world/israel-strikes-gaza-church-pope-used-call-nightly/
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Mungu akashusha mvua dunia nzima kwa siku 365 mfululizo nini kitatokea?

    Naomba kufahamu wanasayansi mnasemaje?
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kifo ni kifo tu isitumike kuwakebehi Machawa wa Mama na CCM tumuachie Mungu

    Nina uhakika hao machawa wa CCM wao mtu kupotezwa au kuuwawa kama mzee Ali Kibao sio ishu kubwa kwao maana chawa anajali tumbo lake kuliko uhai wa Mtanganyika. Tumuachie Mungu. Tuache kuwakebehi wanapofiwa. Ipo siku Mungu ataikomboa Tanganyika
  9. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nabii wa MUNGU amuonya Rais Samia Kujitenga na Machawa, aelezea Kinagaubaga Kwa Mifano Machawa , Athari yao na jinsi ya kuwaondoa !!.

    Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!. Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!. https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu ukweli mtupu ungesemwa nasi Wakristo tungeambiwa hatuwapendi, nashukuru Mungu kausema Mwenzao anayejua vyema Uislamu

    Kudadadeki.....
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ninamwomba Mungu sana sana TAL au MwanaCCM yeyote baada ya Mama asijefanya haya!

    Hata kama mimi ni MCCM damu damu ukweli moyoni ni binadamu bado. Tunachomfanya TAL hakika ninamwomba Mungu ama yeye mwenyewe TAL akija bahatika akaingia madarakani au MwanaCCM mwingine yeyote akimpokea mama asije akakifanya. Asitokee mwanaCCM au TAL akaamua tu kumwanzishia tuhuma mtangulizi...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania "Mimi sitegemei binadamu namtegemea Mungu pekee"

    Mimi namtegemea Mungu pekee, sitegemei binadamu...alisema Ninajiuliza huyo Mungu atashuka kukufanyia wewe jambo fulani? Sio kwamba anapotaka kufanya anafanya kupitia hao watu? Ulipoumwa si mtu daktari alikutibu? Huo mshahara si mimi mtu muhasibu nilikulipa? Sasa iweje useme hutegemei watu...
  13. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Angalia mengi yamefichwa kwenye Bible

    Instructions ⚠️Acha uvivu Mwenye Akili atasoma hadi mwisho wa haya maelezo na maswali yanayokuguide na utaona kuna kitu. Na Tumia imagination Anayetumia imagination kwenye haya maswal ataelewa haraka na kugundua kitu (vuta picha🤔) Kuna siri kuhusu Biblia Majibu nitakuja kuyatoa baadaye sana...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nabii Denis: Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania

    Nabii Denis Asema :Watanzania hamtalia tena, Mwakani Kuna Sura mpya za Uongozi, Kuna Matukio yataendelea kutokea kwakua Mungu kawakumbuka Watanzania https://youtu.be/-V_qMCCuYFE?si=gVQU5_fSwHiIgutx
  15. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kati ya Yesu na Yehova nani ni Mungu?

    Nipo njia panda kabisa aisee wakuu hivi kati ya Yesu na yehova nani ni Mungu? Maana kuna watu wengine wanamtaja kama yehova ni mungu wao na pia kuna wengine wanamtaja yesu kama ni mungu wao tafadhali msaada wakuu.
  16. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni mpango wa Mungu. Ni unabii ambao ni lazima utimie

    Wanasiasa huja na kuondoka, lakini wachache huacha alama za kudumu.Ni yeye tupende tusipende kwa maana imeandikwa. Safari yake ina mkono wa Mungu. Ndiyo maana tunasema yeye ni mpango wa Mungu ni unabii ambao lazima utimie. Yeyote atakaye jaribu kumzuia hatafanikiwa.
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuelewa kwa nini Mungu anaruhusu watoto wadogo kuteseka

    Katika mambo ya imani ambayo kwangu yamekuwa ni magumu mno kuyaelewa ni kuhusu mungu kuruhusu kuteseka kwa watoto. Watu wazima wakiteseka unaweza kusema labda wamestahili kwa sababu hadi mtu afikie kuwa mtu mzima lazima kuna maovu na dhambi atakuwa ametenda mahali fulani tu, wengine wanasema...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu

    Kwa Imani yangu, kwa hofu ya Mungu niliyonayo, kwa misingi ambayo nikuzwa na kujifunza na kwa itikadi ambayo nimeiamini, imenibidi kufanya uamuzi huu. Historia itatoa tafsiri sahihi ya uamuzi wangu. Mungu ibariki Tanzania. Ahsante Ndugu Polepole.
  20. PLOII

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mungu hajalala, tukiendelea kuteua waovu anaweza angusha mtungi maji yote yakamwagika

    Amani iwe nanyi Wana Jukwaa , Nitaandika Kwa kifupi ili kila mmoja atoe mtazamo wake. Nchi yetu inaelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais. Tumeshuhudia wafanyakazi wa Serikali ngazi mbalimbali wakiachia nafasi zao wakikimbilia kuomba kupendekezwa na Chama cha...
Back
Top Bottom