mungu

  1. Setfree

    Tumeumbwa kwa mfano wa Mungu - hakuna mtu asiyependa kusifiwa

    Msifie mwanafunzi shuleni uone atakavyofanya vizuri zaidi. Msifie mke wako au mme wako uone jinsi upendo wake utakavyoongezeka kwako. Isifie timu yako ya mpira, uone kama haitacheza vizuri zaidi... Kitabu cha Mwanzo 1:27 kinatufundisha kuwa "Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake." Ndio...
  2. J

    Nashukuru Mungu amenisaidia nisiaibike Leo kwenye daladala

    Habarini wakuu Back to the topic,Leo nimeamka zangu asubuh na mvua mvua za dar hizi plus uchovu wa Jana kwenye kuchek fainali ya Portugal..mzee nikajiandaa chap mida flan ivi ya saa mbili asubuhi niwahi kituo Cha daladala Ili niende zangu job .kufika nikapata daladala imejaza kinoma imetoka...
  3. third eye chakra

    Chagua kufikiri kama Mungu na utaishi kama uliyemuumba kuwa

    Katika mistari hii ya kina ya Seneca, tunaalikwa kuutafakari msingi wa maisha yetu—siyo kwa matukio ya nje, bali kwa namna tunavyoyatafsiri kupitia fikira zetu. Hii ni falsafa ya kweli ya kiungu, inayotufunza kwamba akili ni mlango wa maisha, na kwamba furaha, huzuni, amani au mateso—vyanzo...
  4. Expensive life

    Bila kuzivunja amri kumi za Mungu hauwezi katu kumiliki hii chuma

    Wakuu, kama mada inavyojieleza hii chuma kwa sisi ngozi nyeus,i bila kuzivunja amri kumi za Mungu tutaendelea tu kuiona barabarani.#noreformnoelection🇹🇿🇹🇿
  5. Mshana Jr

    Mungu wangu dunia inaenda wapi?

    Kuzaa kuna mengi 🤔🤔 https://www.facebook.com/share/16QrnEtdUo/?mibextid=xfxF2i Mtoto anapigana na mzazi wake? Hii ni zaidi ya laana na mikosi kwenye familia.. Lakini pia kuna shida kubwa kwa mzazi kwakuwa mtoto umeavyo ndivyo akuavyo Hii video imeniumiza sana...
  6. Just Pray

    Mchungaji Abiud Misholi: Enyi watawala unaiba matrilioni ya fedha na masikini wanaangamia hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako Mungu anataka haki

    "Mali mnazoziiba leo mtazifaidia kwa muda mchache, enyi watawala hamtakufa nazo, utakufa na nguo zako, huna adabu utahukumiwa. Mnatesa mayatima, mnatesa wajane, mtaibia wanyonge, Mungu anataka heshima, Mungu anataka haki. Naongea na viongozi mnisikilize viongozi wa nchi, mlio wezi mnisikilize...
  7. B-2 STEALTH BOMBER

    Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  8. Just Pray

    Mchungaji SDA: Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana, akoleza moto asema anayeua na kubambikiza kesi ni sinagogi la Shetani

    "Mtu mmoja akasema kiongozi fulani ni Mungu, nikashika mkono Tanzania hapa? Kiongozi anayesikia anasifiwa Mungu akatae anatafutiwa laana" "Yoyote anayejua kwamba kuua ni dhambi na akaaua akachukua roho ya mtu, amegeuka kuwa sinagogi la shetani, yeyote anayedhani kufunga mtu bila kosa ni dhambi...
  9. Pascal Mayalla

    Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  10. Setfree

    Mungu amekataza wanaume kuvaa kofia wanaposali. Kwanini wanaume hawa wanakaidi agizo la Mungu?

    Je, ni sahihi kwa mwanaume kuvaa kofia au kufunika kichwa chake anapokuwa katika ibada? Biblia inalo jibu la wazi kabisa. Katika 1 Wakorintho 11:4, Mtume Paulo anaandika: “Kila mwanamume, asalipo, au anapotoa unabii, naye amefunikwa kichwa, anaaibisha kichwa chake... Kwa maana kweli haimpasi...
  11. matunduizi

    Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  12. The Father of All

    Kwanini hekalu la Mungu lilijengwa na Mfalme Suleiman na tunajifunza nini kwa mtu wa hovyo kama huyu?

    Kwa mujibu wa ngano za Biblia na Quran, Mfalm Suleiman alikuwa na vipaji 666, wake 700, nyumba ndogo 300, na zaidi, alijenga hekalu lake au "nyumba ya Mungu" kana kwamba alikuwa Mungu au hapakuwa na watu safi wa kufanya kazi hii. Kwa uzinzi wake, tunajifunza nini? Je ilikuwaje Mungu...
  13. Killing machine

    Mungu kutupa ubongo/akili huenda alimaliza kila kitu

    Habari gani wakuu? Kama kinavyo jieleza kichwa Cha uzi hapo juu kwamba... Kama ilivyo kwa gali mpya uinunuapo Basi lazima utapewa tool box ambayo itakuwa na vifaa vyote mhimu kwa ajili ya kuitengenezea gali yako itakapo pata tatizo la kiufundi Basi hivyo ndivyo ilivyo kwa ubongo juu ya...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Lengo la Mungu kuwatoa Wana wa Israel Utumwani na kuwaua jangwani Kwa maelfu lilikuwa ni lipi?

    Mods Uzi huu usiunganishwe popote unajitegemea. Kitabu Cha mwanzo sura ya 40 ndo mwanzo halisi wa Wana wa Israel kuingia misri na kuwa watumwa rasmi Kitabu Cha kutoka sura ya 3 Mungu anajitokeza na kumuamru Musa aende akawakomboe Wana wa Israel kuwatoa Utumwani. Maandiko yanasema.... Kutoka...
  15. Setfree

    Vijana takriban 40 wauawa baada ya 'kumzodoa' Mtumishi wa Mungu!

    Habari hii ni ya kweli kabisa. Sio chai wala udaku. Taharuki imetanda katika mji mmoja baada ya tukio la kutisha lililowahusisha vijana zaidi ya 40 walioshambuliwa na wanyama wakali wa porini. Kwa mujibu wa mashuhuda waliokuwepo karibu na eneo la tukio, kundi la vijana zaidi ya 40 lilijikuta...
  16. Q

    Ushuhuda wangu kwa mtumishi wa Mungu Askofu Gwajima

    Mwaka 2014. Ulikuwa mwaka WA kumaliza chuo kikuu Moshi... Nilianza first year Na GPA 3.8 kufika mwaka WA pili ilishuka had 2.9. Na kuanzia kulemewa Na masomo Na kuchukiwa Na ma lecture KWENYE kila course pale chuo. .. Kufika mwaka WA Tatu wenzangu wanapoenda nyumban Nina sup ya masomo ma NNE...
  17. R

    Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like! Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement! Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa! Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu! LEO WAMEITWA WATUMISHI...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Ukristo ni siasa ya kimwili na kiroho; Ukristo ni umoja; Kama Kristo na Mungu walivyo wamoja. Umoja katika Haki ya Mungu

    Hamjambo! Falsafa ya Yesu ni Mungu katika Ukristo haipo katika personality na ID. Wakristo huamini Yesu ni Mungu sio kwa sababu Mungu ni Mtu au alizaliwa na binadamu. Uungu wa Kristo ni umoja wao katika baadhi ya Majukumu na utendaji. Kwa wasioelewa, nitawapa Mfano rahisi, Mwanamke na...
  19. Friji la mtumba

    Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

    Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote. Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na akili ya binadamu. Swali linakuja: Kama Mungu yupo kweli, kwa nini kuna mateso, vita, magonjwa...
  20. Setfree

    Kama unafanya mambo haya, hata ukifunga na kuomba siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka

    Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka. Kama unafanya mambo...
Back
Top Bottom