mumewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka kuhusu jane alipigwa risasi na mumewe dada yake bella afichua haya

    Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
  2. JamiiForums Tanzania Arumeru: Mwanamke achomwa maji ya moto na mumewe

    Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Upendo Shabani, mwenye umri wa miaka 38, mkazi wa kitongoji cha Engorika, kata ya Kiutu, wilayani Arumeru, mkoani Arusha, anadaiwa kuchomwa maji ya moto na mumewe, Gibson Alfred, na kusababisha majeraha ya vidonda sehemu mbalimbali za mwili wake, ikiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Vijana wa Vyama vya Upinzani Wamtumia Pole Rais Samia Kufuatia Kifo cha Mumewe

    Umoja wa Vijana wa Vyama vya Siasa vya Upinzani nchini umemtumia salamu za pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mumewe, Marehemu Hafidh Ameir Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Umoja huo, Masoud...
  4. JamiiForums Tanzania Chanuo ataka kurudi kwa mumewe YJ aliyemdhilisha mitandaoni, hii dunia hii

    Mama aliniambia mwanangu kuwa uyaone, Kwa kweli mama nayaona. Bhana mi ni mtu wa kupost matukio mitandaoni, sasa katika kukusanya habari huku na kule nikapata hii eti yule dada alie tangaza kuvunja ndoa na mumewe, akasema jamaa kafulia hana hela kama alivo kua Dubai, janaume linakoroma, Lina...
  5. JamiiForums Tanzania NJOMBE: Amuua mumewe kwa kumpiga na chuma kichwani

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga na chuma kichwani. Hayo yameelezwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Unamuonea huruma mtu kufiwa kufiwa na mumewe unakuta kumbe huyo bibi fudenge anashiriki mapenzi ya jinsia moja.

    Unakuta bibi fudenge amefiwa unamuonea huruma na wengine kufurahi kumbe huyo bibi fudenge alisha move on kitambo na anafurahia mapenzi ya jinsia moja kwa kuwahonga vibinti vidogo na ni mlevi kupindukia. Bibi fudenge makazi yake yatakuwa jahanamu milele na milele.
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia msiba wa mumewe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu kajifungua, hana uhakika kama mtoto ni wangu au wa mumewe

    Wakuu Mimi na mchepuko wangu tuko dilemma. Kajifungua mtoto,ila hana uhakika ni wangu au wa mumewe as mtoto anafanana na yeye. Tunasolve vipi hii case wataalamu?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Samia ateue aidha Mchengerwa, Wanu siyo Tulia

    Nimependa kujiuzulu kwa Nchimbi ili kupisha utawala wa kifalme . Afanye hivyo kama mfadhili na rafiki yake Museveni kieleweke. Sasa naamini Tanzania ni shamba la bibi tena mwenyewe kiziwi na kipofu. Kwa ufupi, hao hapo juu ndo napendekeza wateuliwe mmojawapo tumalizane na kianze kuumana kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaemcontrol mumewe huyo hana mungu hata mume awe mhuni maskini kiasi gani ...

    Ntd Na hawa "Tutawafwatilia" https://www.facebook.com/share/v/1KeEJXEcwe/ Hahaha
  11. JamiiForums Tanzania Mke adaiwa kumuua mumewe kwa sindano yenye sumu

    Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha kali. Taarifa iliyotolewa Mei 26, 2026 kwa vyombo vya habari na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe...
  12. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: EX-Wife auza kiwanja cha mama mkwe baada ya aliyekuwa mumewe kushindwa kuhudumia Watoto

    Bibi mwenye umri wa miaka 66 anayefahamika kwa jina Julia Albin mkazi wa Tarafa ya Useri wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya eneo lake lenye makazi yakudumu kuuzwa kwa amri ya mahakama, kutokana na mwanae kushindwa kutoa matumizi kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Usimuwekee dawa ya kienyeji kwa siri mtu bila kuijua zaidi hiyo dawa, ndo chanzo cha yule dada kumuua mumewe

    Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba. Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu. Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto. Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
  14. JamiiForums Tanzania Malaika wa kwenye uislamu humlaani mwanamke usiku kucha akimnyima mumewe unyumba

    Ni kama hawa malaika hukaa mkao wa kusubiri kutazama show, ila sasa mke akigoma kumfuata mume kitandani, wanamlaani huyo mwanamke usiku kucha.... Sio maneno yangu ila andiko hili hapa.... sahih al-bukhari 3237 Allah's Messenger (ﷺ) said, "If a husband calls his wife to his bed (i.e. to have...
  15. JamiiForums Tanzania Mke ajipiga selfie wakati mumewe anafariki ili kumtumia mchepuko

    Mwanadada alihaamua kujipiga Selfie Na Mume Wake Aliyefariki , Na Kumtumia Mpenzi (mchepuko)Wake Kama Uthibitisho na kumwambia. Hatimaye tumekua huru kwenye mahusiano yetu mapya.. kabla ya hapo mdada huyu aligundua kua mume wake Hana maisha marefu na hakuna kitu anaweza kumfanyia tena kwaio...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mwanadada Cherry Hollister na mumewe wamepatikana wakiwa salama

    Cherry Hollister amepatikana akiwa salama Cherry baada ya kunusulika kuuwawa na watu waliovamia nyumbani kwake wakiwa wamevalia kininja na kumkosa kisha wauaji hao wakachukua CCTV Camera na kuondoka nayo. Soma pia PostGE2025 - Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Queen Masanja asema Bora arudi kwa mumewe kuliko hawa vijana wanakula viboga bila kuchoka

    Queen Masanja: "Bora nirudi kwa Mume wangu kuliko hawa Vijana wa siku hizi!". Msanii maarufu wa Bongo Movie, Queen Masanja, ambaye pia ni aliyekuwa Mke wa Dkt. Juma Mwaka, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kufunguka wazi kuhusu maisha yake ya uhusiano. Kupitia mahojiano yake, Queen...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi.

    Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
  20. JamiiForums Tanzania Eti mwanamke anaweza kumkubalia mumewe akimuomba kuzalisha kwa mwanamke mwingine mwenye sifa nzuri sana

    Eti kwa mfano mwanaume alikuwa na ex wake waliopendana ila akazinguaga mwanamme wakaachana na mwanamke alikuwa anampenda Sana huyu mwanamme yaani Sana alijitoa ila jamaa akaleta mawenge.sasa baadae jamaa akapata mke mwingine na wakazaa ila baada ya kama Miaka mitatu wamekutana tena na ex na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…