Manyara: Mjamzito anyang'anywa Vitu vya ndani kwa madai ya Mumewe kuuza Simu ya Wizi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,599
9,532
Ila Viongozi wetu jaman kuna tunakubali mnavyotunyanyasa ila kuna muda mnapitiliza Masikio kuzidi Kichwa

Kwa hiyo Siku hizi Mtu akiuza Simu ya Wizi basi mnaenda kuchukua Vitu vya ndani vya anapoishi au makusudi tu
 
Aahhh nadhan Vitu hivo sio vya Mwanamke, ni vya Mwanaume.

Na maamuzi ya Mwenyekiti yalikua sahihi kabisa kua kwakua wee umeiba Simu ya MTU na kuuza, na Hauna Hela, nasisi tunachukia TV yako, Sofa yako na Bufa.

Sasa Mjamzito kaamua kutumia Ujauzito wake kutafuta huruma ya kwamba vile vitu ni vyake.

Kwan TV, Bufa, vinahusiana vipi na Ujauzito?? Wamempiga Mjamzito??.

Sasa huyo Mwizi ( Mumewe ) alopatikana na Mali ya wizi, afikishwe mbele ya Sheria, afungwe hata miezi sita .

Alafu Mjamzito arudishiwe TV yake, Bufa na kochi , tuone kama atatoboa !!.

Utashangaa hapo usikie, na kwenye BUFA Kwa Ndani kulikua na Milioni 3 .
 
Sipendi mtu kutumia kitu fulani kama fimbo ungesema mtu au mtanzania ingepungukiwa nini mpaka useme mjamzito? Au utakuta mtu anasema mlemavu kafanyiwa hivi
 
Aahhh nadhan Vitu hivo sio vya Mwanamke, ni vya Mwanaume.

Na maamuzi ya Mwenyekiti yalikua sahihi kabisa kua kwakua wee umeiba Simu ya MTU na kuuza, na Hauna Hela, nasisi tunachukia TV yako, Sofa yako na Bufa.

Sasa Mjamzito kaamua kutumia Ujauzito wake kutafuta huruma ya kwamba vile vitu ni vyake.

Kwan TV, Bufa, vinahusiana vipi na Ujauzito?? Wamempiga Mjamzito??.

Sasa huyo Mwizi ( Mumewe ) alopatikana na Mali ya wizi, afikishwe mbele ya Sheria, afungwe hata miezi sita .

Alafu Mjamzito arudishiwe TV yake, Bufa na kochi , tuone kama atatoboa !!.

Utashangaa hapo usikie, na kwenye BUFA Kwa Ndani kulikua na Milioni 3 .
Je ikiwa hivyo vitu ni vya mwanamke,na amenunua kwa pesa zake. je kunaridhaa yoyote kutoka kwake!!? Mali ya mwanamke ni yake Mali ya mwanaume ni ya familia.
 
Wakati anapokea hela za matumizi chanzo chake wizi hakuwa anaona shida.

Wacha wachukue kufidia madeni ya mumewe ndio akome kupokea hela za wizi na yeye,
 
Back
Top Bottom