mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    JamiiForums Tanzania Namuonea huruma mume wake

    Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kusubiria matokeo ya Mechi ya Mume Mtemi na Hawara Mlaini wakati unajua Hawara Mlaini atagawa tu Uroda ni kupoteza muda

    Kila la Kheri wale ambao Jumatano hii wana Jukumu la Kitaifa na kuanzia Wiki mbili zijazo watakuwa na Jukumu la Nje.
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania JAMVI LA WANAWAKE: Baada ya kumuoa anataka wawe wanafanya mapenzi kinyume na maumbile, afanyaje?

    Nimeshirikishwa mkasa wa binti mdogo wa miaka 23 ambaye ameingia kwenye ndoa wiki kadhaa zilizopita. Baada ya ndoa, mumewe ameanza kumuomba wafanye mapenzi kinyume na maumbile, jambo ambalo hakuwahi kufanya hapo kabla. Ilipotokea siku ya kwanza hakusema moja kwa moja, ila katikati ya kushiriki...
  4. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni kufokewa kweli?🤔

    Eti wakuu mume aliyesahau kinga (kondomu) kwenye mfuko wa suruari yake ni wa kufokewa kweli? Unarudi home mtu kaiona tu basi imeshakuwa nongwa anabwata siku nzima hadi majirani wanasikia. Hivi wakuu huyu mume si wa kupongezwa huyu, maana anamaanisha anaijali familia yake hataki kuiletea...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

    Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe. Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ananipa laki 5 kila mwezi mama anadai hazitoshi nirudiane na x wangu

    Mume wangu ananipa Laki 5 k Kabla ya kuingia kwenye ndoa, kulikuwa na mwanaume niliyekuwa naye—ni mume wa mtu. Yeye ndiye aliyekuwa analipia ada yangu ya chuo, alikuwa ananipa pesa pamoja na kuhudumia wadogo zangu. Yaani, hata ada za wadogo zangu alikuwa akilipa. Nyumbani kila mtu alifahamu...
  8. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Mwanamke msomi ni faida kwa ndugu zake na sio mume

    Bro, chukua hii. Usijidanganye huyo mwanamke msomi na mwenye kazi uliyeoa kwamba hiyo elimu na kazi yake itakuwa na faida kwenye ndoa yenu Bro, wanawake ni wachoyo na wabinafsi kupita maelezo, huo mshahara wake utaenda kwa wazazi na ndugu zake, kinachobaki atakitumia kwenye vipodozi, nguo...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tiwa Savage: Mchepuko ulinidanganya, najuta kuvunja ndoa yangu, nampigia magoti mume wangu anisamehe

    Aman iwe kwenu akina mama na akina Baba wote wa jamiiforum Huko kwa wakuitwa TIWA SAVAGE kimeumana Baada ya mchepuko kumpiga sound naye akajaa leo ndo kaanza kulia Lia na kumkumbuka mume wake wa ndoa --- Msanii maarufu wa muziki kutoka Nigeria, Tiwa Savage amesema anajutia kuachana na mume...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Mume na Mke mbaroni kwa tuhuma za kuiba mtoto wa miezi 11

    Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia mume na mke, wakazi wa mtaa wa Mji Mwema manispaa ya Songea kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 11 (jina limehifadhiwa). Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Marco Chillya amesema tukio hilo limetokea Novemba 4, 2024...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Geita: Mwanamke auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake

    Mapenzi na migogoro ya ndoa imeendelea kuleta shida na hata kutoa roho za watu kila kukicha jamaani! ================== Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Ludete wilayani Geita, Adventina Nicolaus (37) amefariki baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake, huku tukio hilo likihusishwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Shoga yangu alitegesha chupi yake chumbani ili nimuache mume wangu

    VISA NA MIKASA; Shoga ya Nimetoka zangu kujifungua narudi nyumbani nakuta nyumba ni safi, yaani nawaza huyu si mume wangu kwakweli! Naingia ndani nawaza nani kafanya huu usafi! Jicho la kiukaguzi, yaani kuchunguza kama kuna kitu. Basi nikawa sina amani, mume ananiuliza vipi namuambia kuchoka...
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kati ya mume na mke nani anauma zaidi akiibwa?

    Mi naona kama mke ndo anauma zaidi. Au wakuu nyie mnasemaje?
  16. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

    Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Zambia, Mwanaume aamua kuvunja ndoa baada ya mke wake kulipia milioni 2 kupiga picha na Chris Brown akimkumbatia na kumbusu

    Imetokea Zambia hii, Chris Brown alienda Sauzi kupiga show wiki iliyopita, Mke wa mtu akafunga safari kwenda kumuona, haikuishia hapo akalipia meet and greet, hiki ni kiingilio kwa wale wanaotaka kumuona msanii kule back stage na kupiga nae picha, Chris Brown huwa anatoza dola elfu 1 (shilingi...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

    Kwema Wakuu! Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi. Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana. Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
Back
Top Bottom