mume wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

    Habari wanajamii, Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara, lakini cha kushangaza zaidi ni kwamba dada wa kazi humkaribisha mume chakula. Je, hili linaashiria nini...
  2. Mke asimulia alivyompoteza mume wake vurugu za Oktoba 29,2025

    Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo, wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
  3. Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  4. Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  5. Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake? Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
  6. Ndani ya hisia kali, machozi yakimtoka Zari wakati mume wake akipigwa kwenye ulingo wa ndondi

    Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana. Unamshahuri nini Zari. *** Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
  7. Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

    Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
  8. S

    Bimkubwa wangu hataki kurudi kwa mume wake

    Bimkubwa HATAKI KURUDI anasema Hana Imani tena na Timu aliyonayo na waliomzunguka, anasema kwanza hajasema kama anataka Ila walimlisha maneno maneno. Kwanza anawaza asijerudi ikawa safari ya mwisho kama alienda zake, ni busara zilitumika alivyorudi Ilibidi atafutwe mlimbwende aonekane karuka...
  9. Hii imekaaje wakuu. Amhudumia mume wake aliyepooza kwa miaka sita, alivyopona akapewa talaka

    Wakuu, Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke...
  10. PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  11. Muhamad alimuoa Safiya Myahudi baada ya kumuua Mume wake kwa Mahari ya Tende na Samli

    Naendelea kutoa masomo kuhusiana na Muhamad na Quran ili watu waufahamu Uisilamu. Watu wengi wakiwemo waisilamu wenyewe wamekuwa hawamfahamu Muhamad na hawaufahamu Uisilamu ulivyoanzishwa. Hawamfahamu vizuri Muhamad na matendo yake ambayo ndo msingi wa Uisilamu. Tunaenda kwa maandiko hakuna...
  12. Money Penny ana bonge la wowowo, ivi mume wake nani huyu mama?

    Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi Like why? Mmeniona wapi? Wowowo gani tena? Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz, Wowowo kwiyoo?
  13. Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

    Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea. Maisha...
  14. I

    Namuonea huruma mume wake

    Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana...
  15. Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Wakuu heshma kwenu. Habari za jioni. Nimeona ni vyema kuwa update kuhusu mwenendo wa suala ambalo nilileta hapa jukwaani siku ya jumatatu katika uzi huu...
  16. S

    Kuhusu mwanamke mjamzito aliemwambia mume wake akatumie kisu na mikasi kumzalisha, Chalamila ametoa utetezi hauna kichwa wala mdomo, wa hovyo kabisa!

    Nimesikiliza utetezi wa Chalamila kuhusu kauli yake kwamba yule mama mjamzito aliemwambia kama hatoi Tshs 50,000 achukue bajaji aende kwa mume wake atumie kisu na mikasi kumzalisha ni wa ovyo, usio na lojiki na ambao hata mtu asieenda shule angeweza kufanya vizuri zaidi. Ni afadhali hata...
  17. S

    CHADEMA amsheni watu kwa kauli za kina Chalamila kwa mjamzito kwamba kama hatoi Shs 50,000 arudi nyumbani mume wake amkate kwa kisu na mkasi ajifungue

    Jambo moja nililoona kuhusu Chadema ni kwamba mnashindwa kutumia matukio ya kila siku kuwafunua macho wananchi kwa nini serikali ya CCM haipo madarakani kwa faida yao. Hii ni pamoja na matumizi ya kifahari ya fedha ya hivi karibuni ya Mkutano Mkuu wa CCM na kadhalika. Lakini pale ambapo...
  18. Geita: Mwanamke auawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake

    Mapenzi na migogoro ya ndoa imeendelea kuleta shida na hata kutoa roho za watu kila kukicha jamaani! ================== Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Ludete wilayani Geita, Adventina Nicolaus (37) amefariki baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mume wake, huku tukio hilo likihusishwa...
  19. U

    Mwanamke jina Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake kwa kukataa asisome sms kwenye simu yake baada ya kuchelewa kurudi nyumbani

    #Repost @wasafifm —— Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Happyness Khalfan amekatwa mkono na mume wake Charles Peter kwa kosa la kukataa asisome ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yake mara baada ya kuchelewa kurudi nyumbani. Tukio hilo limetokea mnamo tarehe Desemba 15, 2024 katika kata ya...
  20. Kumbe Mke wangu ana mume wake wa kazini!

    Juzi ijumaa nikawa nimempitisha wife kazini kwake.wakati naondoka nimefika kama meter 200 hivi mbele nikakumbuka kuwa kasahau mkoba wake kwenye gari,basi ikabidi nimrudie kimya kimya,kufika reception nikamuulizia akaitwa,so hakujua kama mimi niko pale reception namngoja,nikasikia kwa masikio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…