mujibu wa sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Hukumu ya kosa la uhaini kwa mujibu wa sheria ni kufungwa kifungo cha maisha, kunyongwa hadi kufa au vyote kwa pamoja

    Hakunaga msamaha kwenye kosa hilo la wazi kabisa. Ikiwa mtuhumiwa atapunguziwa adhabu, basi itakua ni adhabu ya kifungo cha maisha badala ya kunyongwa hadi kufa, na si vinginevyo. Ni vema wanao panga au kuhusika kufanya aina hii ya uhalifu kuelewa vema jambo hili, lakini pia kwa wale ambao...
  2. DuaZaMama

    Responded Jiji la Dar: Watumishi wa Mapato Wanalipwa kwa Mujibu wa Sheria na kwa viwango vilivyowekwa Serikalini

    Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha kukusanya mapato wanalipwa mishahara midogo, kwa kuchelewa, hawana siku ya mapumziko na baadhi hupewa...
  3. Just Pray

    Je, unajua Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Tanzania Mke na Mume wanapoachana, ndoa haivunjiki?

    Watu wengi wanachanganya kuhusu mke na mume kuachana, na kuvunjika kwa ndoa. Kwa mujibu wa sheria, mke na mume wanaweza kuachana na kila mtu akaendelea na maisha yake, lakini ndoa inakuwa bado ipo. Mke na Mume wanapoachana, kwa lugha ya kisheria 'wanatengana', maana yake kila mmoja anakuwa...
  4. Bawabu wa pili

    Prof. Abdallah Safari: Kiswahili sio lugha Taifa kwa mujibu wa sheria, tunatumia kimazoea tu

    prof. Abdallah Safari ambae ni Profesa wa sheria na muandishi nguli wa vitabu ambae amewahi kuandika vitabu kama vile riwaya ya Joka la Mdimu katika mahojiano yake ameeleza kuwa lugha ya kiswahili sio lugha ya taifa bali tunaitumia tu kimazoea akirejelea kuwa katiba haina kifungu kinachobainisha...
  5. P

    DHULMA TUNAZOTENDEWA NA BENKI YA CRDB ILHALI BENKI KUU YA TANZANIA , INAONYESHA KUWA UPANDE WAO KWA KUSHINDWA KUJIBU "REVISION" KWA MUJIBU WA SHERIA.

    TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
  6. President of China

    Je, Askari anaruhusiwa shoot to kill bila kupokea order yoyote kwa mujibu wa sheria ya Tanzania na za UN

    Ukisoma sheria za jamhuri ya muungano wa Tanzania tukianzia na ile sheria na Penal Code, CAP. 16 R.E. 2022 kifungu cha 18. Kinaeleza kuwa katika kulinda mali za umma au za mtu binafsi zinaweza kutumika nguvu za ziada na yule ambaye atahusika kumuua mtu yeyote katika tukio hilo hatakuwa na kosa...
  7. ELI COHEN

    Je ni kweli kwamba Wale waliosilimu na kutaka kurejea katika imani yao ya asili lazima wauawe kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu?

    hamis77
  8. R

    Msaada wa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria

    Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine. Anaamua kutokwenda. 1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje? 2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
  9. P

    TISS fanyeni kazi kwa mujibu wa Sheria na Maslahi Mapana ya Nchi

    Kwa mujibu wa Sheria jukumu la Idara ya Usalama wa Taifa ni kukusanya, kuchakata na kutoa taarifa kwa mamlaka husika kuhusu mambo ya usalama wa ndani na nje ya nchi. Lengo kubwa ni kuweka mtangamano wa taifa. Pamoja na ukweli kuwa kwa nchi yetu tiss imekuwa karibu na chama tawala Ila kwa muda...
  10. funaku

    Vyama vya siasa vinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria vinapokiuka viwajibishwe bila kuogopa kelele za majukwaani

    Huu ni wito kwa vyombo vinavyosimamia vyama vya siasa nchini. Kamwe hakuna chama kisichoweza kupiga kelele kupitia mikutano. Hoja muhimu ni je chama au vyama hivyo vinakiuka kanuni,sheria na taratibu tulizokubaliana?kama ni hivyo mamlaka husika zisitishwe na kelele za kwenye mikutano bali...
  11. Tlaatlaah

    Kushiriki mapenzi ya kinyume na maumbile ni kosa kwa mujibu wa sheria

    Kushiriki mapenzi kinyume na maumbile ni pamoja na kutumia via visivyo vya uzazi kufanya mapenzi, kwa mfano kutumia sehemu ya haja kubwa kufanya ngono, kutumia midomo, vidole n.k Kasi ya uovu huo inatisha kote nchini. Imefikia mahali imekua kama fashion. Usipofanya huo uchafu mnapokua faragha...
  12. Roving Journalist

    Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  13. C

    Huduma ya kujitenga (self exclusion) kwenye makampuni ya kubashiri iwe kwa mujibu wa sheria

    Huduma ya kujitenga kwa muda ama moja kwa moja (temporary self exclusion or permanent self exclusion) kwenye makampuni ya michezo ya kubashiri (online) haipaswi kuwa ni huduma ya hiari kwa watoa huduma bali itengenezewe sheria na kuwa ya lazima. Katika nchi duniani huduma hii inasimamiwa kwa...
  14. B

    SoC04 Mafunzo ya Ufundi Stadi kwa Mujibu wa Sheria kwa wahitimu wa kidato cha nne wasio na vigezo vya kujiunga kidato cha tano na vyuo shirikishi

    UTANGULIZI Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
  15. TRA Tanzania

    TRA inawakumbusha walipa kodi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria

  16. LAZIMA NISEME

    MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  17. R

    Kwa mujibu wa sheria ukifanya mambo haya haihesabiki kama umefanya uchochezi

    Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya; (a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea katika mwenendo wake wowote; (b) Kuonyesha makosa au mapungufu katika serikali au Katiba ya Jamhuri...
  18. MGUBA

    Kwanini posho za mujibu wa sheria ni tsh.50,000?

    Posho ya vijana wa mujibu na vijana wa kujitolea huwa sawaa nadhani hii huchangia kwa kiasi fulani kupitia kwa baadhi ya Vitu vya vijana wa mujibu wa sheria (kuluta). Mana vijana wanao jitolea huwa hawana kazi extra kwaajir ya kuendesha maisha na kujikimu wenyew katika nguo,mafuta na maitaji...
  19. Street Hustler

    Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  20. UMUGHAKA

    Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
Back
Top Bottom