muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

    Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Survey ni muhimu sana kabla hujachimba kisima cha kisasa

    Kama unahitaji kuchimba kisima cha kisasa chenye matokeo chanya usichimbe bila kufanya survey Faida ya survey ✅itakupa uhakika wa kupata maji na yapo umbali gani kwa mita ✅utajua gharama halisi za uchimbaji Hasara za kutokufanya survey ✅kukosa maji au kupata maji machache yasiyokizi matakwa...
  3. JamiiForums Tanzania Ijumaa imekuwa siku muhimu sana kwa Waarabu kwa karne nyingi

    Historia inaonyesha Ijumaa kuadhimishwa kama siku muhimu kidini ni muendelezo wa karne nyingi sana wa utamaduni wa kiarabu ambapo siku hii hapo mwanzo ilikuwa ikitumika kama siku ya soko kubwa kwa makabila mbalimbali ya Waarabu waliokuwa wametawanyika mashariki ya kati. Siku hii ya Ijumaa...
  4. JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini sasa ni chanzo muhimu cha silaha kwa Urusi

    Wakati utawala wa Trump unatafakari kuhusu kutuma silaha zaidi kwa Ukraine, mmoja wa washirika muhimu zaidi wa Urusi anaongeza kiwango cha ushiriki wake. Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jon Un, ametoa "msaada wake usio na masharti" kwa Moscow, kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  6. JamiiForums Tanzania Njia muhimu za kufuata unapopitia misukosuko ya kifedha, kifamilia na ukosefu wa ajira

    Kukosa ajira au kazi maalumu, matatizo ya kimahusiano na ya kifamilia ni hali ambazo mara nyingi huambatana na maumivu ya kihisia, kukata tamaa na msongo wa mawazo. Hata humu ndani ya huu mtandao kuna baadhi ya Members wamekuwa ni wababe, wajeuri na hufikia hatua ya kutoa lugha chafu zisizo na...
  7. JamiiForums Tanzania Academically vs Naturally Intelligent person, nani muhimu kijamii na anayeweza mapambano ya Maisha?"

    Leo ngoja nikae kimya tu hapa ili nizisome Comments zenu kutokana na Mada husika ili nami pia nijijue nipo upande upi.
  8. JamiiForums Tanzania Mambo 4 Muhimu Usiyo yajua Kuhusu Mvurugiko Wa Homoni Kwa Wanawake

    Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%. Asilimia kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAPENDI KUYAONA

    MAMBO SABA MUHIMU AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI KUYAONA. 1. 💘❤️MWANAMUME HAPENDI KUFOKEWA Hata Kama amekosea; jaribu kumuonyesha kosa lake pasipo kumfokea au kumvunjia heshima💘💞. 2. 💘💞MWANAMUME HAPENDI KUULIZWA MASWALI MENGI KWA WAKATI MMOJA Ukimuuliza swali halafu yeye anakua kimya au...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Bima ya Gari ni Muhimu

    .
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho. Moja ya mafanikio makubwa ya bunge hili ni kuulizwa kwa maswali zaidi ya 20,300, kupitishwa kwa miswada 58, maazimio 922 na mikataba...
  12. JamiiForums Tanzania Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  13. JamiiForums Tanzania Muhimu: Aina 5 Za Simu Zinazopendwa na Vijana hasa Wanachuo Tanzania

    #mwanakidigitali najua pengine kuna muda unakuwa unapesa yako lakini unapatwa na kigugumizi sana hasa unapo fikiria simu gani unataka kununua na itakayo kufaa . Leo nitakutajia listi ya simu aina 5 ambazo vijana wengi wa Tanzania hupenda zaidi kutumia hasa kwa wanachuo wengi kwa sababu tofauti ...
  14. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  16. JamiiForums Tanzania 📘Somo la 7: Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza

    🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? 💭💰 Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna mambo maswali muhimu inabidi ujiulize. ❓Je...
  17. JamiiForums Tanzania Muhimu kwa Serikali ya awamu ijayo (2025–2030)

    "Serikali ya awamu ijayo (2025–2030) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haina budi kupunguza ukubwa wa baraza la mawaziri, na kurekebisha sheria za kodi ziwe jumuishi kwa kila mmoja. Zaidi ya yote, ni lazima kuwe na uwazi wa mali za viongozi. Kwa kuongezea, sheria ya kuwawajibisha wala rushwa...
  18. JamiiForums Tanzania Huyo ataachiwa rasmi Novemba 2025 baada ya Zoezi muhimu Malawi ya Kaskazini kumalizika na hizo Danadana za tarehe zitaendelea mno tu

    Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
  19. JamiiForums Tanzania Somo la 6: tarehe muhimu unazopaswa kuzielewa wakati wa gawio

    🔁 Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio — sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa. 📍 Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza gawio, ambazo mara nyingi huwachanganya wawekezaji wapya. 1️⃣ Dividend Declaration Date – Tarehe ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…