mugasha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  2. Msanii

    Mwenye CV ya Jaji Stella Mugasha atuwekee

    Jaji wa Mahakama ya Rufani, Stella Mugasha Mhe. Jaji Stela Mugasha ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania. Siku mbili hizi ameteka headline kwa barua aliyoandika kukosoa kuongezewa muda Jaji Mkuu. Naomba mwenye CV ya Jani Mugasha pls ashare nasi hapa Pia soma Profesa Ibrahim Juma...
  3. Z

    Kitendo cha Jaji Mugasha kukosoa mamlaka hadharani ni utovu wa nidhamu, sio ushujaa

    Kitendo cha Jaji wa Mahakama ya Rufaa cha kuandika barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu au Kukosoa Kitendo cha Rais kumuongezea Jaji Mkuu muda wa kuendelea kuwepo kwenye kiti ni kitendo cha ukosefu wa nidhamu kwa mamlaka zilizo juu yake. Kutoa maoni ni...
Back
Top Bottom