mufti

A Mufti (; Arabic: مفتي) is an Islamic jurist qualified to issue a nonbinding opinion (fatwa) on a point of Islamic law (sharia). The act of issuing fatwas is called iftāʾ. Muftis and their fatwas played an important role throughout Islamic history, taking on new roles in the modern era.Tracing its origins to the Quran and early Islamic communities, the practice of ifta crystallized with the emergence of the traditional legal theory and schools of Islamic jurisprudence (madhahib). In the classical legal system, fatwas issued by muftis in response to private queries served to inform Muslim populations about Islam, advise courts on difficult points of Islamic law, and elaborate substantive law. In later times, muftis also issued public and political fatwas that took a stand on doctrinal controversies, legitimized government policies or articulated grievances of the population.Traditionally, a mufti was seen as a scholar of upright character who possessed a thorough knowledge of the Quran, hadith and legal literature. Muftis acted as independent scholars in the classical legal system. Over the centuries, Sunni muftis were gradually incorporated into state bureaucracies, while Shia jurists in Iran progressively asserted an autonomous authority starting from the early modern era.With the spread of codified state laws and Western-style legal education in the modern Muslim world, muftis generally no longer play their traditional role of clarifying and elaborating the laws applied in courts. However, muftis have continued to advise the general public on other aspects of sharia, particularly questions regarding religious rituals and everyday life. Some modern muftis are appointed by the state to issue fatwas, while others serve on advisory religious councils. Still others issue fatwas in response to private queries on television or over the internet. Modern public fatwas have addressed and sometimes sparked controversies in the Muslim world and beyond.The legal methodology of modern ifta often diverges from pre-modern practice. While the proliferation of contemporary fatwas attests to the importance of Islamic authenticity to many Muslims, little research has been done to determine to what extent the Muslim public continues to acknowledge the religious authority of muftis or heeds their advice.

View More On Wikipedia.org
  1. Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Tatu

    https://youtu.be/iCuOj7ppe5E?si=QeKMvxp0WqOpAzUi
  2. Historia ya Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan Bin Ameir Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/CeBBijxdjwg?si=3wUQnU1BEJOgcM_N
  3. Historia ya Sheikh Hassan bin Ameir Mufti wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZY0ozVzGzXo?si=7u9N3U8Ky8qlgefs
  4. LGE2024 Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Bin Ally: Twendeni tukachague viongozi tunaowataka

    Wakuu, Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally awakumbusha wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa wanaowataka.
  5. Mufti Sheikh Hassan bin Ameir (1880 - 1979) Mchango Wake Katika Uasisi wa TANU na Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/WdiQykUgOys?si=fcaPooTUouxWutKI
  6. Mufti Mkuu Dkt. Abubakar: Tusisumbuliwe na fikra za Watu au kikundi cha watu. Muislamu haambiwi jambo akaenda tu, msifuate mkumbo

    Mufti na Shekh Mkuu wa Tanzania Alhaji Dkt. Abubakar Zuber Bin Ally Mbwana amewataka Waislamu kote Nchini kuendelea kuhubiri amani na kuachana na vitendo viovu vitakavyopelekea uvunjifu wa amani ya Nchi. Mufti amesema hayo katika Sherehe za Maulid ya Kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya...
  7. Hawli ya Aliyekuwa Mufti wa Tanganyika Sheikh Hassan bin Ameir Imesomwa Nyumbani Kwake Magomeni

    Mufti Sheikh Hassan bin Ameir Katika masheikh waliosomesha Tanganyika Mufti Sheikh Hassan bin Ameir ameacha historia ya pekee kabisa. Licha ya kuwa Ulamaa mkubwa wa kutegemewa alikuwa pia mpigania uhuru na mmoja wa wanachama wa mwanzo wa TANU. Sheikh Hassan bin Ameir anakumbukwa kwa kuuza...
  8. MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  9. O

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
  10. U

    Mufti afungua rasmi dua kubwa ya kimataifa

    Hatimaye siku adhimu na tukio muhimu, nyeti na lenye kupendeza kwa Allah na mtume wake, Muda wa kuanza dua kubwa umewadia. Samaha Mufti wa Tanzania, Mujaddidul Asri, amefungua Dua Kubwa ya Kimataifa leo Alhamisi Alfajiri kwenye msikiti mkuu Bakwata makao makuu, msikiti wa Mfalme Mohammed...
  11. Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  12. U

    Hotuba nzito na muhimu ya Mufti Shekh Abubakar Zubeir

    HOTUBA MZITO NA MUHIMU YA MUFTI SHEKH ABUBAKAR ZUBEIR Kutoka Ukurasa wa Sheikh Ibrahim Ghulaam Asema BAKWATA ndiyo mama wa Taasisi zote za Kiislamu nchini Taarifa kwa hisani ya Harith Nkussa Mwandishi maalumu wa Mufti 🔷Ofisi ya Mufti yawataka Viongozi wa taasisi za kiislamu kote nchini na...
  13. Neno la Mufti wa Oman kuhusu Sweden

    Neno la Mufti wa Oman Samaahat Sheikh Ahmad Bin Hamad Al-khalil (Rahimahullah), kuhusu Sweden
  14. Wajukuu wa Ibrahimu katika picha, Kuhani na Mwalimu Musa Richard Mwacha na Sheikh Mkuu Mufti Abubakar Zubeir

    Upendo + Umoja + Mshikamano = Amani MWANZO 17: 1-22 "Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi. Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la...
  15. Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  16. Mufti Al Khalil: Mapambano ya Rais wa Uganda dhidi ya ushoga

    Allah amjaalie Mufti huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi, Aamiin! Museven, Mwenyezi Mungu akubariki, hakika upo 💪🏽 huyumbishwi na wamagharibi. Moderator kwa hisani yenu, mmeshanifutia nyuzi zangu zaidi ya moja, nimeongea hamkunielewa, basi kwa leo nawaombeni muiache hii Waabheja sana bhabhaa
  17. Viongozi wa Tume ya Marekebisho ya BAKWATA wajiuzulu. Mufti Abubakar Zubeir adaiwa kuiendesha kama genge

    Mufti Abubakar Zubeir amedaiwa kuwa hajui namna ya kuendesha BAKWATA kiutawala na kwa hivyo tokea ameingia madarakani amekuwa akiendesha ofisi yake na BAKWATA kama duka lake au genge. Endapo mamlaka ikiamua kufanya uchunguzi wa kina itaona kuwa hiyo ndio hali ilivyo ndani ya BAKWATA...
  18. T

    Rais Samia: Nilipoingia ofisini tu Mufti alinijia na furushi la migogoro ya mali za BAKWATA, ila tatizo wamelitengeneza wenyewe

    Nilimsikia Rais akihutubia Baraza la Eid alisikika akisema alipoingia madarakani tu Mufti alimjia na lundo la mafaili ya migogoro ya mali za Waislamu. Akasema kwa bahati mbaya alipochunguza mafaili yale yana utata kwa kuwa wahusika wakubwa wa hizo sintofahamu ni wahusika wenyewe. Naomba kwa...
  19. Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…