muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna muda wa kupoteza, YANGA inatakiwa icheze mechi za kirafiki za kimataifa kipindi hiki Cha mapumziko mafupi

    Ni ushauri tu. Ili kuwaongezea morali wachezaji wa Yanga kuelekea mechi ya hatua ya Kwanza, zidi ya Al hilal, Yanga icheze mechi za kirafiki angalau mbili ili kujiridhisha na ubora wa kikosi Cha team yake kimataifa. Tumeona jinsi Tp mazembe alivyopania kuvuka hatua hii maana tayari Jana kacheza...
  2. JamiiForums Tanzania Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

    Mzee baba Putin alitumia nguvu ya kutosha kuhakikisha kwamba analifagilia mbali kabisa jeshi la Ukraine kwenye ardhi ya Donbass na kherson akilenga kuwasaidia raia wanaoishi maeneo hayo ambao wengi wao ni wa asili ya Kirusi.. baada ya kufanikisha hilo hakutaka tena kuendele kutumia nguvu...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  4. JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke mwenzangu achaga hizi mambo utazaa kabla ya muda wako

    Wana wa mama tozo hopeful mnapambana ipasavyo... Basi bwana mwezi uliopita nikiwa benk flan ya kikulima kikulima nikakutana na ndugu yangu kwenye ukoo tulipotezana mda sana. Huyu ndugu alikuwa na mkewe pamoja na rafiki wa mkewe. Hawa wanawake wote walikuwa na vibendi vikubwa tu vya kujifungua...
  5. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: TFF ni muda sasa umewadia wa kuanzisha Reserve league (Professional development league)

    Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha wachezaji vijana kutoka academies za timu zinazoshiriki ligi kuu za nchi husika,hujumuisha vijana wa...
  6. JamiiForums Tanzania R&B na Hip Hop zilizotamba kwa muda wote Tanzania

    Kwa sisi tuliozaliwa karne iliyopita ambayo karne hii tulikuwa na uelewa kidogo na kufuatilia music tutakubaliana kuwa nyimbo hizo enzi zake zilibamba sana na mpaka sasa zikipigwa sehemu lazima shangwe 1. Dilemma-Nelly ft Kelly 2.Make it rain-fat joe 3.In da club-50cent 4.Ineed a girl -p diddy...
  7. R

    JamiiForums Tanzania NMB wire transfer zinatumia muda gani?

    Habari wakuu. Kama kuna mwenye uzoefu wa kupokea pesa kutoka nchi za Ulaya kupitia benki ya NMB anijulishe inachukua siku ngapi. Nilikuwa natumia CRDB zamani ilikuwa inaingia ndani ya masaa 24.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Asante kwa aliyetuletea Fiston Mayele, Yanga tulikosa mshambuliaji wa aina yake kwa muda mrefu kidogo

    Habari wanamichezo, Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Njia za asili kuhifadhi vyakula kuokoa pesa na muda

    Kuna njia mbalimbali za kuhifadhi vyakula ili visiharibike mapema vitufae kwa misimu mingine ambayo vyakula vinakuwa adimu sokoni na bei kuwa ghali au kutopatikana na pia kuokoa matumizi makubwa ya fedha na muda. Mimi nitazungumzia njia za asili ambayo hazihitaji gharama na hata mtu wa chini...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  11. JamiiForums Tanzania Karume, Dar: Ghorofa linaungua muda huu

    Mliopo Karume mtujuzee zaidi, nyuma ya Sheli kuna ghorofa floor ya pili inaungua. Mtatujuza, maana nipo highway nawahi Muhimbili.
  12. JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao mpo single muda huu njooni tufarijiane hapa

    Masingle tusiwe wapweke Sana,njoon tufarijiane
  13. JamiiForums Tanzania Mwanza kuna nyumba huwa inaungua kila baada ya muda fulani

    Ndio hivyo bwana. Kuna nyumba huwa inaungua, gari ya zimamoto inakuja inazima Moto, kisha jamaa anafanya ukarabati baada ya muda fulani tukio linajirudia tena. Mpaka Sasa majirani tumeshazoea kabisa. Udhurumati sio kitu poa wadau. Tafuteni vitu vya halali.
  14. JamiiForums Tanzania Tafakuri: Tozo ni kete inayotumika kuelekea Mabadiliko ya kweli tuliyoyatamani kwa muda mrefu

    Poleni kwa tozo, Mwenye akili timamu kabisa hawezi fikiri KUWA Mama kaanzisha Tozo kupitia waziri wa fedha Ili kuwaudhi watanzania Ili waje wamchague tena MWAKA 2025. Pia kwamba Mwigulu nchemba kaanzisha Tozo Ili wananchi wamchukie Halafu ategemee eti MWAKA 2025 achukue fomu ya urais Ili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kutoishabikia Simba SC kwa muda na kuisema vibaya mpaka Kocha Msaidizi Matola ang'olewe Simba SC

    Kuanzia sasa MINOCYCLINE nitakuwa Naipamba tu Yanga SC huku Nikiichana mara kwa mara Simba SC na nitaacha kufanya hivi pale tu Kocha Msaidizi Matola atakapong'olewa (atakapofurumushwa).
  16. JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa wa kuajiri Psychologist kila Tarafa na baadhi ya Idara za Serikali

    Nawiwa kusema kila siku matukio ya ajabu ya kutisha na ya kikatiri yanazidi kuota mizizi nchini mwetu. Sababu kubwa ya haya matukio yanatokana na msongo wa mawazo wa muda mrefu wenda mtu amefanyiwa hujuma, usaliti, magonjwa ya muda mrefu, kipato duni, kufukuzwa kazi, kukosa ajira, ugomvi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Makamba atatenda anayoyazungumza kuhusu umeme ni jambo la muda, tutarajie umeme bora siku za mbeleni

    Nianze kwakusema mimi ni muhanga wa huu umeme wa Tanzania kwani nilishawahi kupata hasara ya mamilioni mara kwa mara kwasababu ya low voltage. Mimi ni mjasiliamali mwenye kiwanda kidogo hivyo kutokana na umeme kuwa mdogo ilikua inalazimu kuwasha machine mojamoja kwani mbili kwa wakati mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Idugunde nimekuwa very wise. Muda wote convern yangu ni juu ya mustakabali wa taifa langu. Masuala ya mpira wa Ulaya hata Bongo sifuatilii

    Mimi nakula Balimi lager siku za weekend kama leo. Siwezi kupoteza muda kushabia Man U au Arsenal. Taifa letu lina changamoto nyingi. Tozo zimekuwa kama mwiba wa Gogogo kwa watanzania. Wanaumia kila kona. Nawafuata na kuwauliza na kila mtanzania analalamika. Anaona sasa ni kumizwa na mwiba wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TBS yateketeza Vipodozi vyenye viambato sumu na bidhaa zingine zilizokwisha Muda wa matumizi zenye thamani ya takribani Sh. Milioni 400

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yateketeza bidhaa zenye thamani ya takribani Sh Milioni 400 bidhaa hizo hazikidhi Viwango vya ubora na kuisha Muda wake wa matumizi. Kwa upande wa Vipodozi ni vile vyenye viambato sumu zisizofaa kwa matumizi kwa binadamu. Dk. Kandida P. Shirima (Kaimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…