MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Wasanii watatu, Dj mmoja, Mc mmoja, Wageni wawili, Huna kombe la kuonesha, huna mchezaji wa kuringishia
kwanini shughuli isiishe mapema
Yani shughuli kama ya Ubarikio hakuna mambo mengi😂😂😂😂😂
Duniani kama hujafanya mambo makubwa hata MSIBA wako utakuwa mfupi yaani utasikia MAREHEMU alizaliwa...
Save this post!!!!!!
Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni.
Save the post!!!! Kinachosubiliwa ni muda tu ufike mheshimiwa tu save the date!!!
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.
Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
MPELELEZE KABLA HUJAANZA NAYE MAHUSIANO ILA ASIJUE KAMA UNAMPELELEZA ✍️
Wajuvi husema ukiona siti haikaliwi usikuikurupikie bali peleleza kwa kina kwanini inakwepwa? Ukijua sababu ndio jipime kweli utaweza kuikalia hiyo siti bila kuathirika?
Sababu zilizokimbiza wengi hata wewe zinaweza...
Musiba aliowatuhumu woote kwamba wanamhujumu Magufuli kwa kutaka kumpindua Magufuli na serikali yake alitwezwa na kubagazwa Sana lkn list yote aliyoitaja sasa iko nje ya Mfumo
January Makamba
Benard Membe (marehemu)
Nape Nnauye
Dulaa kinana
hongera Sana Musiba yametikis
January
Watafiti kutoka kituo cha utafiti wa usingizi cha Chuo Kikuu cha Loughborough Nchini Uingereza wamesema Wanawake wanahitaji muda mwingi zaidi wa kupata usingizi kwasababu wanatumia zaidi akili zao kuliko Wanaume.
Profesa Jim Horne kutoka Chuo hicho amenukuliwa akisema “akili za Wanawake...
Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka.
Yaani...
Zamu yangu ya kutesa imewasili. Binti flani hivi rangi ya chocolate, mwenye macho fulani hivi ya huruma, mtu wa kujishughulisha sana mara nyingi nalimuona katika hali ya u-busy, hakunipatia salamu tena tokea ile siku niliyomsifia kuwa anavutia
Basi bhana, kwa kuwa nilikosa muda wa kuonana naye...
Straight to the point.
Nimekuwa nikifikiria Jambo hili na kuona Kama haliko Sawa.
Kwanza ukisajili laini na kutaka kukopa muda wa maongezi papi hapo hawakubali.
Wanachotaka ni uwe umenunua muda wa maongezi (uwaingizie faida) mara kadhaa ndipo uruhusiwe kukopa.
Sasa Kwa kuwa tayar mteja...
Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana.
Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri.
Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana.
Sasa ni wapi Jamani mtu ueleze siri yako?
Mimi limewai nikuta nilimueleza mtu siri na akaenda kuisambaza mahali nilijuta...
Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu.
Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa.
Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao.
Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa.
Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi
Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa.
Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM.
1. Kama rushwa haiko.
2. Maneno aliyosema Nape kama si...
Hapo beirut kimewaka!
Mmoja akaambiwa kwa kuwa umehusika na jambo fulan basi kaa pembeni sana tupange upya ka karatasi ka kulinda Beirut yetu wakati wa kuangaliana Tel aViv wakagundua mpalestina ambaye kaangukia mikono ya wayahudi, wakasema kwanza tutakupa nafasi ukasimamie kule ambako alitokea...
Nina 'likes' nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii, lakini hizo 'likes' hazinisaidii chochote katika utatuzi wa changamoto zangu za kimaisha.
Nini kifanyike ili hizo 'likes' zibadilike na kuwa hela? Mfano mtu aki-'like' mada fulani, akatwe angalau 1000, si tutakuwa matajiri wakuu?
Najaribu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.