mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,246
- 49,893
Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi.
Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote.
Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kushindanisha vyama vyote, katiba iwatambue rasmi sasa kuondoa ukakasi.
Au mnaonaje??