muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Muda umefika FIFA kuhamishia makao makuu yao Tanzania

    Kila mtu ni mchambuzi wa soka. Kila mtu anajua sheria za FI FA Watu wanakula na kuishi kupitia mpira. Tunasubiri nini
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ihakikishe madereva wanaoendesha mabasi usiku wanapata muda wa kutosha kupumzika.

    Sera zinazosimamia masuala ya usalama barabarani zimeweka Sheria na kanuni za kufuatwa. Uendeshaji magari ya abiria una Sheria na kanuni zake. Mojawapo ni dereva wa Magari ya abiria anatakiwa awe na utimamu wa mwili na akili wakati wote aendeshapo magari. Nilikuwa naongea na dereva mmoja wa...
  3. JamiiForums Tanzania Wa Tanzania tuna katiba Bora kuliko ya wa kenya

    Sheria za wakenya ni za kijinga . Hivi kumuondoa makamu wa Rais mpaka kuchoma resources za nchi , Bunge lipoteze muda kwa midahalo isiyo na faida . Tanzania Rais wetu ana mamlaka kamili anacheza na karamu tu kufanya maamuzi. Katiba yetu idumu
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa TBS ili kuzuia matumizi ya kemikali ya Ethylene katika kuivisha ndizi kwa muda mfupi na kuokoa afya za walaji

    Kwa yeyote anayefuatilia vyombo vya habari nchini Tanzania bila shaka atagundua kuwa siku chache nyuma kumekuwa na taarifa kwamba kuna baadhi ya wafanyabiashara wanatumia gesi ya Ethylene kuivisha ndizi zao. Sasa kama kuna mamlaka ambayo inahusika ina jukumu muhimu katika kuhakikisha usalama na...
  5. JamiiForums Tanzania Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Itengenezwe application tupige kura kwa Simu zetu tusipotezeane muda

    Hivi wafrika ni lini tutadhamini muda wetu Kwenye foleni saa kadhaa eti nasubiri nimpigie diwani kura. Twendeni na technology inavyotaka watu wapige kura wakiwa nyumbani ofisini Serikali inapoteza fedha nyingi eti kuweka mawakala waandikishe watu wachague wenyeviti!!!! Hii SI sawa zaidi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mabasi ya mikoani inabidi muwe na muda maalum wa kuwasha na kuzima TV

    Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu. Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je ngazi ya certificate chuoni kuna muda ina expire.?

    Habar wakuu! Naomba kuuliza je latesay ulimaliza certificate miaka mi5 au 6 iliyopita nasasa unataka kuendelea na diploma je inawezekana kuendelea kupitia hiyo certificate yako au nilazima uanze upya ngazi ya cheti?? Kuna mtu ameniambia chet chako kikizidi miaka mitatu huwez kuendelea nacho...
  9. JamiiForums Tanzania Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

    Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi. Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote. Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Muda wa kwenda chuo mwezi huu vitu gani vya msingi kwa mwaka wa kwanza kuwa navyo hasa kwa Kozi za Udaktari

    Na kuhusu vyuo vya udaktari Bora
  11. JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

    Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena. Naamini muda sahihi wa kumuaga mtu mara ya mwisho ni wakati akiwa hai, kama hutapata nafasi basi jitahidi kukumbuka...
  12. JamiiForums Tanzania Tutumie muda mwingi kumuombea Rais Samia kuliko kuimba mapambio

    Wakati wa utawala wa mzee JPM, watu wenye kujinasibu ni wazalendo, walitumia muda mwingi kumsifu, kumpa utukufu uliovuka UBINADAMU, kiasi kwamba akina Nape wakitabiri kuwa Edo angefia ikulu, ila JPM mpiga push up hafi 😭😭 that was blasphemy against the almighty God, 😭😭 conscious foolishness...
  13. JamiiForums Tanzania Visa hivi ni vya kuvipa muda

    Katika muda huu wa mchana, bwana Cllint, mmiliki wa kampuni ya ujenzi, yuko kazini kama kawaida. Anapopata nafasi anampigia simu mkewe, Joanna, na kumweleza ya kwamba leo atawahi kurudi nyumbani ili wawe pamoja kwasababu mwanamke huyo hatokuwepo weekend. Haipiti muda Clint anampokea mgeni...
  14. JamiiForums Tanzania Israel vs Iran: Inaenda kutokea "Holly War" ambayo itasababisha "WW III" ambayo italeta "New World Order"

    Haya mambo hayatokei hivihivi tu, kuna injinia wako nyuma yake wanasuka mipango yao waijuayo wao. Sisi huku duniani tupotupo tu tunashangilia na ku take sides bila kufanya uchambuzi yakinifu wa "Reason Behind" ya yanayoendelea. Mwaka 2025 huenda ukawa mgumu sana kwa dunia nzima, tujipange kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nimevumilia muda mrefu sasa nakaribia kuuteka mtaa hamasa kwa wanaoanza biashara

    Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo pesa ambayo nilikuwa naifanya toka nikiwa chuoni hasa tukifunga chuo au nikiwa mwanzoni mwa semester...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Niutabiri ambao nilazima niuseme yakuwa baada ya masaa machache Ayatollah Khamenei kuliutubia Taifa nakuapa kuifuta Israel. Nikama alitangaza kiama kwa Taifa lake na yeye mwenyewe. Natabiri huwenda saa chache zijazo mkasikia tukio lakushangaza sana duniani. Israel amemtwaa mchezesha ngoma na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama huna hela utazingatiwa na wachache japo nao kuna muda watakuchoka ila watakuficha usijue 😔

    KAMA HUNA HELA UTAZINGATIWA NA WACHACHE JAPO NAO KUNA MUDA WATAKUCHOKA ILA WATAKUFICHA. USIJUE 😔 Dunia ni katili sana kwa mtu ambaye hana pesa kuna muda utaona kama mwenye pesa anapendelewa ni kweli ndivyo ilivyo Dunia. Waliosema mwenye nacho huongezewa haikuwa nadharia bali walijionea kwa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nikajua Israel huwa inajibu mapigo muda huohuo. Leo ni siku ya nne

    Nilivyoizoea Israeli kule Syria inavyowatandika , nikajua hii ya kushambuliwa na Iran isingepita hata masaa mawili ingejibu , LAKINI LEO NI SIKU YA NNE. Kwa maoni yangu ninaamini Israeli italipiza kisasi tena huenda itapiga mapigo makali sana. Sema ninaona hii tayari ni WEAKNESS imeonekana kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Tulienda shule kufanyaje kama hata hizi kazi za muda wanapewa watumishi wa serikali

    Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki Haya hata hizi kazi mbalimbali za muda ambazo zingekuwa hata kifuta machozi kwetu Kwa kupunguza machungu ya kukaa mtaani bila ajira...
  20. JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…