MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Isaya 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu;
Sio kila kitu unatakiwa kuomba. Vingi unatakiwa kuamini unavyo, hivyo unaanza kutenda kwa msingi kuwa kabla hujaviomba Mungu ameshakujibu tayari.
Kwa hiyo, mfano ukitaka nyumba, badala ya kukesha na kufunga anza kuhulizia bei ya...
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue.
Ninachogopa ni kuwa kiwanja nilichopewaa na Baba mkwe wangu nitakosa nguvu kama kidume Cha familia...hata...
Kongamano la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limepinga vikali pendekezo la kuongeza muda wa Urais kutoka miaka 5 hadi 7 wakidai ni pendekezo la kibinafsi kutokana na tamaa ya viongozi wa kisiasa nchini humo Novemba 14, 2024
Seneta Samson Cherargei amefadhili Muswada wa Marekebisho ya Katiba...
Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida...
Njooni huku Uswahili kwetu mkute Misiba ya Watani zangu Washamba tupu akina Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi ikitokea halafu mtuone Watu wa Mara (Musoma) tunavyoinogesha kiasi kwamba hata Marehemu mwenyewe sometimes huwa anatabasamu Jenezani alipolala.
Misiba...
13 November 2024 Arusha, Tanzania
CHADEMA WANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MUDA HUU, tathimini kuelekea uchaguzi 2024
https://m.youtube.com/watch?v=GStMiPMklKs
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 13 November 2024, akiwa na Godbless Lema ambaye ni mwenyekiti...
Habari zenu wapendwa,
Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote!
Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu,
Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
Huu ndio ujumbe wangu kwa hawa waliowekeza kwenye majungu, uongo na uzushi wakiamini watafanikiwa kuwaaungusha miamba wa soka la Bongo kwa sasa(Dar Young African).
Wajiulize tu maneno haya katika misimu iliopita yaliwasaidia nini na Yanga ilikwamisha kwa haya?
1.Yanga anacheza kombe jepesi la...
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
Hii ni baada ya kuitwa kwenye kikao na Master Gamondi kugoma kutokea.
Uongozi umechoshwa na jeuri ya kocha huyo na sasa muda wowote ndani ya masaa 24 yajayo Gamondi atafutwa kazi
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali.
Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi zinazoitwa hujuma ndio kabisa zinanifanye nione usalama ni mdogo na ni swala la muda tu kabla la kutokea...
Kuna kila dalili kwamba Lissu akaondoka Chadema Muda wowote kuanzia sasa..
Nimekuwa nikifuatilia muenendo wa muda mrefu kati ya Lissu na Chama chake ni kama wameparanganyika..
Lissu ana support ya watu wanaojiita "Sauti ya Watanzania" kundi la wanaharakati ambao wanajipambanua kwamba wapo...
Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia ajira.
Kwa mujibu wa mmoja wa wafanyakazi hao ambaye hakupenda jina lake kuwekwa hadharani Wafanyakazi...
Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi
Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu?
Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu
Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari..
Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda
Mwanzo 1:1
[1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara.
Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh itakayokua na range ya 400 km.
Specifications nyingine hawajatupatia ila tutegemee kuiona 2025.
Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika
Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA Mtandao wa Manunuzi (NEST) una changamoto sana
Afisa Uhusiano wa Umma wa PPRA, Joseph Muhozi...
JINSI VIJANA WASIVYOJUA THAMANI YA MUDA
LIFE BEGINS AT 40.... HOW OLD ARE YOU?
Life Begins at 40....
Huo ni msemo wanao Waingereza wakimaanisha maisha yako ijapokuwa yanaanza toka milele iliyopita na toka umeumbwa au toka umefika duniani na toka umeanza kukua nk nk lakini bana maisha #halisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.