MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.
Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake.
Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya chini ndiye anayepaswa kupewa na yule mwenye nacho. Lakini watoto hawa wametufundisha somo tofauti...
Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine.
Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote.
Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?
Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu .
Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time.
Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
Habari zenu wakuu.
Ninategemea kuanza process ya kubadili cheti changu cha zamani cha kuzaliwa kwenda kipya (Old to new) kwa njia ya online (eRITA).
Ila ninaharaka nacho ndani ya mwezi huu so nilikuwa naomba kwa yoyote mwenye experience au aliyewahi kufanya hii process kwake ilichukua muda...
Kuna muda kumtetea Ommy Dimpoz ni ngumu sana imagine Hii chuma inaitwa Mercedes Maybach G-Class ya 2023 na bei yake ni Tsh. 2.3B na Bongo inamilikiwa na DIMPOZ tu na jana ilikua Masaki inazurula ndiyo chuma ya BEI inayomilikiwa na Msanii EAC ni bei kuliko Rolls-Royce ya DIAMOND
Hamjambo wote!
Hili nitaendelea kulisema kila nikipata nafasi. Kwa sababu najua kile ninachokisema. Nakijua kwa sababu ndio usalama wa nchi yetu na future yetu.
Niliitambulisha sera ya uvamizi miaka kadhaa iliyopita. Nikiwasihi viongozi na wale wenye mpango wa kuwa viongozi waitafakari, kisha...
Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa...
Kwanza, napenda kuishukuru sana JamiiForums kwa kutupazia sauti sisi waombaji wa mikopo ya HESLB. 🙏🏽 Post yenu ya tarehe 14 Septemba ilisaidia suala hili kuwafikia wahusika, na hatimaye HESLB ikaongeza siku nne za maombi. Tunawashukuru sana kwa hatua hiyo.
Hata hivyo, bado kuna changamoto...
Anonymous (9c40)
Thread
application
bado
bure
changamoto
haipo
heslb
ila
kazi
kazi bure
kukamilisha
maombi
mfumo
muda
Wakuu..... imepita kama mwezi 1 na nusu tokea nipitie changamoto ambayo baadae ilinipa funzo kuhusu namna ya kuishi kwa mipango. Nilipuuzia sana kuhusu pesa ya akiba, sikuwa na bajeti ya matukio ya imejens.
Basi siku hiyo ikafika, nikamgonga mlevi mmoja alikuwa anakatisha barabarani, mlevi...
15 September 2026
Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani, yaliyofanyika leo Septemba 15
LIVE: JOHN HECHE ANAZUNGUMZA MUDA HUU MAKAO MAKUU YA CHADEMA
https://m.youtube.com/watch?v=lFT4XNZsv50
Hon. John W. Heche speaking at the World Democracy Day Celebrations, held today, September 15, 2026...
"napitia kipindi kigumu sana, Sina furaha yoyote kwenye maisha yangu, usiku silali nawaza furaha naitoa wapi kama wengine, sometimes watu wakiniona nje wana hisi ni mtu mwenye furaha ila ukweli ni kwamba nateseka sana Paula ndo anaelewa.
Mara watu wakuseme hivi mara vile, mara umri umeenda huna...