muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Taasisi ya TAWA iwafikirie Vijana waongoza watalii (Tour Guides) wanaojitolea muda mrefu bila kupewa ajira

    Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
  2. A

    KERO Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) imetutelekeza Vijana wa JKT 2024 baada ya awali kutuahidi ajira

    Kero yangu ni walichotufanyia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (Tanzania Airports Authority – TAA) vijana 40 kutoka JKT 2024 OP Mabeyo, walituchukua tukiwa vikosini wakatupeleka kama Maafisa Usalama wa Viwanja vya Ndege, Airport Security Officer (AVSEC) bila kuomba nafasi hiyo, wakatushawishi kuwa...
  3. Isipopigwa kwa muda mrefu

    Huwa inarudi kwenye upya wake... Kwa hiyo nawashauri muwe mnazitunza.... Pia mkila mboga za majani inaifanya iwe na afya...... Kaika kuiosha usitumie sabuni ...piga maji tu kwa wingi....kwani sabuni inawaua wale bacteria wazuri...... Ile harufu yake ya asili hutupa mshawasha na...
  4. A

    KERO Waombaji "Ajira Portal" tunakaa muda mrefu bila majibu, bora wasitangaze nafasi za kazi kama hawajajipanga

    Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview. Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
  5. Ulishawahi kuwa mbali na nyumbani kwenu/kwako kwa muda mrefu bila mawasiliano uliporudi ukakuta jambo la kuogopesha/kudikitisha?

    Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza. Mimi wakati...
  6. Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

    Na Morning Joy Motors +255797113153 Kaloleni, Arusha Tanzania Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine Basi Leo sisi Morning Joy...
  7. Sheria ikoje rais akipata mental health problem na madaktari wakathibitisha itachukua muda mrefu kurudi kawaida au asirudi kabisa.

    Je rais wa nchi akipata tatizo la afya ya akili sheria inasemaje kuhusu yeye kuendelea kuongoza nchi? Kikawaida mtu mwenye tatizo la afya ya akili (sio lazima awe chizi kabisa ) ni ngumu kugundua kama ana hiyo shida, ila walio karibu yake wakishirikiana na madaktari ndio wanaweza kugundua hilo...
  8. Mfalme ‘akiuawa’ huwa inachukua muda mrefu sana Taifa kupona

    Mwaka 235 A.D kule Roma aliuwawa Kaisari aitwaye Severus Alexander. Aliuwawa kwa hila za majasusi wake waitwao The Praetorian Guard ambao walikuwa ndiyo kikosi cha ulinzi na ujasusi cha watawala wa Roma. Mtu ulikuwa huwezi kutawala Roma bila kutumia hichi kikosi. Makaisari wa Roma walikuwa...
  9. W

    Njia gani mnatumia ili karoti zisinyauke wa kuharibika, hasa kipindi hiki tumenunua vitu vingi kwa hofu?

    Well for me natumia hii njia na zinakaa kwa muda mrefu sana, naziweka kwenye container au organizer kama hapo nazijaza maji😊 njia ziko nyingi wewe unafanyaje?
  10. Ipo siku Watanzania watampuuza Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi yao yote baada ya kutaabika kwa muda mrefu

    Siku yaja hivi karibuni Watanzania watawapuuza walioungana na makundi ya Mange Kimambi pamoja na wenzie na makundi mengine yote ya kihuni baada ya kutaabika kwa muda mrefu Taabu hizo zitatokana na adhabu kali za Serikali kwa makundi hayo ya kihuni kwasababu ya makosa ya uvunjifu wa Katiba na...
  11. Angalizo: Saa ya ukombozi ni sasa or else ukombozi wa nchi yetu utaendelea kuwa ndoto kwa kipindi kirefu sana kijacho

    Watanzania, tulikotoka ni mbali. Nitashangaa kama safari yetu ya kujikomboa itaishia hapa. Tukiishia hapa, wanamtandao hawaendi kuendelea kutumia mikakati na mbinu zao za sasa. Watajipanga upya na kuusuka vizuri zaidi mtandao wao. Needless to say, our future attempts won’t make a significant...
  12. Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  13. Joel Nanauka anaenda kuibomoa heshima na hadhi aliyoijenga kwa muda mrefu

    Asipojitafakari atageuka kuwa kama akina Msukuma, Kibajaji na wasomi wengine wa CCM.
  14. Wizara ya ardhi hili mkalitazame limekua kero kwa muda mrefu sana

    Habari wakuu wote nawasalimu Kumekua na changamoto kwenye swala upatikanaji wa hati miliki kutoka wizarani, Kwa utaratibu uliopo ni hivi Mtu anapotaka kumilikishwa ardhi inabidi awe na 1) Mkataba wa mauziano + Mkataba wa asili Hii mfano kama umenunua kiwanja kutoka kwa kampuni ama mtu...
  15. M

    Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  16. Life Code: Ukitaka kuishi muda mrefu duniani tumia life style za kizamani

    Code 001.
  17. GE2025 Heche akiri kama kutakuwa reforms ndogo zinazowezekana CHADEMA itaingia kwenye uchaguzi, asema kuna mambo ya kikatiba yanaweza kuchukua muda mrefu

    "Kuna watu waliniuliza kama mna minimum reforms ambazo zikifanywa mnaweza kuingia kwenye uchaguzi, nikaambia Yes, kwa sababu sisi sio watu wa kuongea ongea, tumeandaa paper iko serikalini, Lakini vilevile sisi sio vichaa kwa sababu tunajua kuna mambo ambayo ni ya kikatiba yanaweza kuchukua muda...
  18. X

    Hatimaye Ronaldo amvisha pete GF wake wa muda mrefu Georgina. Je, amejifunza yaliyomkuta Birdman kwa Toni Braxton?

    Mimi sio nabii ila kama Ronaldo hajamsainisha babe mama wake Georgina mkataba wa prenup kulinda assets zake kabla ya kufunga ndoa na mrembo huyo. Yatamkuta yale ya Birdman kwa mshangazi Toni Braxton au ya mastaa wengine wa kiume. Birdman alijaa kwenye mfumo. Baada ya kuwa kwenye mahusiano na...
  19. KERO Mbolea za YARA zimekuwa changamoto kupatikana kwa RUZUKU muda mrefu sasa hasa ukanda wa pwani.

    Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana kulipwa. Ukiwapigia YARA sio rahisi kuwapata hata simu zao ni changamoto kupokelewa na wakipokea kwa...
  20. P

    Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…