muafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Rais Samia kuanza safari za Ulaya na Marekani

    Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru. Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
  2. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ni Muda muafaka sasa Tanzania tuwe na Senate "Bunge la mabwanyenye"

    Wingu la siasa za nchi yetu limechafuka kwa mijadala mbali mbali kuhusiana na maswala muhimu ya kitaifa yaliyoibuliwa na ripoti ya CAG pamoja na comments za wadau mbali mbali kuhusiana na ripoti hiyo. Ripoti hiyo imegusia unaosemekana ni ufisadi uliotokana na mambo yanayohusiana na mikataba...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Marais wa EA wapata chanjo ya Corona, isipokuwa wa Tanzania

    Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia. My Take Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
  4. Masterplaner

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatakiwa iuze unga wa mahindi nje ya nchi, ni muda muafaka Sasa kulisimamia hilo tusililie kupeleka mahindi Kenya

    Kuhusu mahindi yetu kuwa Yana sumu au hayana sumu, mamlaka husika zihakiki ubora huo kwenye viwanda maalum vya kusaga mahindi yetu vitakavyo kuwa vimeidhinishwa angalau kila mkoa. Vilevile madawa yenye sumu yadhibitiwe yasiweze kumfikia mkulima ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kwa wakulima wetu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka uvaaji wa barakoa uwe jambo la lazima kwenye umma

    Watu huangamia kwa kukosa maarifa, lakini watu huangamia kwa upumbavu wao au kiburi chao. Sisi kama Taifa na dunia kiujumla tunalo la kujifunza kutoka Uchina na nchi za Asia, kulekule ambapo ugonjwa wa Korona ulianzia! Wao waliweka sheria ya lazima kuvaa mask ukitoka nje na hiyo sheria ilikuwa...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi. Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA. Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao. Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo Serikali ya awamu ya tano imeyafanyia kazi baada ya kubandikwa hapa JamiiForums

    Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums. Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia JamiiForums ambapo mengi...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
Back
Top Bottom