muafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Serikali, huu ndiyo muda muafaka wa kubadilisha sheria za wafanyakazi; Nyongeza ya mishahara iwe ni kwa wafanyakazi bora au maalum tu

    Naomba kutoa Rai kwa serikali! "Ukicheka na nyani Utavuna mabua" TUCTA must watch out! Kuna HAKI na WAJIBU wa kila MTU Haki ya mfanyakazi ni kulipwa ujira wake kama kanuni zinavyosema! LAKINI wajibu wa mfanyakazi ni kufanya kazi bora ili mwajili awe na sababu ya kulipa ujira huo hata Zaidi...
  2. CK Allan

    SoC02 Ni wakati muafaka sasa wa Jamii kuelewa ukweli kuhusu Ndoa

    Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na tusipochukua hatua basi ni milele!! Pamoja na kwamba naandika makala hii katika mashindano lakini...
  3. Cobra70

    Ni muda muafaka kwa sasa kufunga mipaka janga la njaa linakuja kwa kasi

    Watu wakila wakashiba amani inakuwepo. Ila ukiruhusu taifa lako liwe na njaa amani hutoweka kila mahali na ikizidi taifa huangamia. Bora mfumuko wa bei uwepo mana ni janga la dunia ila njaa njaaa sijui.
  4. jiwe angavu

    Ni muda muafaka sasa tuwe na Wagombea Binafsi

    Wakuu nawasalimu Ifike hatua sasa katiba mpya iweke wazi kipengele cha mgombea binafsi katika ngazi zote za uchaguzi kuanzia serikali za mitaa hadi ngazi ya urais. Vyama vya siasa vingi vimejaa wakanjanja na walaghai na vimeshapoteza mvuto mbele ya jamii..wamebaki wale masikini njaa ambao...
  5. J

    Vyama vya siasa vidai Tume Huru ya Uchaguzi, suala la Katiba Mpya liachwe kwa Wananchi muda muafaka ukifika

    Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa Mungu ni mwema wakati wote
  6. I

    Ni wakati muafaka sasa Mbowe kuachana na mikutano ya Rais Samia

    Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu...
  7. comte

    Haya ndiyo maneno muafaka kwa nyakati hizi-siyokutafuta mtu wa kulaumu

  8. R

    Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

    Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia. Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025. Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
  9. M

    Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  10. Kipenzi Changu

    Makonda kughushi vyeti: Ni wakati muafaka kwa mamlaka kushughulikia madai haya

    Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona. Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
  11. Analogia Malenga

    Chongolo atupa vijembe, asema mwanasiasa mzuri hupambana wakati muafaka

    Daniel Chongoro ameonekana kuwalima vijembe wale wanaojipanga kwa ngazi mbalimbali za uongozi kwa kusema mtu anayeandaa watu mwaka huu kwa ajili ya 2025 sio mwanasiasa mzuri. Amesema mwanasiasa mzuri ni yule anayepambana muda husika, kujipanga mapema sio sahihi kwa kuwa huwezi jua ya kesho...
  12. Olaigwanani lang

    Fasihi ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kuhusu Miafaka vs Muafaka

    INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja. 1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
  13. GENTAMYCINE

    Neno la Msamiati wa Leo katika Gazeti Habari Leo limekuja muda muafaka kabisa

    Kisonoko: Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo. Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha...
  14. Mwl.RCT

    Tundu Lissu: Walionipiga risasi ni Kikosi Kazi cha Ofisi ya Rais chini ya Mkuu wa TISS, Balozi Kipilimba

    Mh. Tundu Lissu awataja waliohusika kumshambulia. Tundu Lissu amesema Walionipiga risasi ni Kikosi kazi kilichopo chini ya Rais kikisimasimaiwa na Mkuu wa TISS Kipilimba. Kikosi kazi kimeua watanzania wengi sana. Kimeua watu wengi sana, Kilijumuisha watu wa Usalam wa taifa, Watu wa Jeshi la...
  15. M

    Ni muda muafaka sasa kwa shule za serikali kuwa "english medium"kwa sababu...

    1. Tayari sasa ni mwaka wa saba tangu serikali ilipo anza kuanzisha shule za majaribio ili kuona ufanisi wa tija juu ya mabadiliko hayo ambapo hadi sasa mafanikio yameonekana kuwa makubwa zaidi kwa shule zilizo katika majaribio ikilinganishwa na shule za kawaida (zinazo tumia kiswahili) 2. Hadi...
  16. Fundi Madirisha

    Zitto ataiua ACT-Wazalendo

    Kwa jicho la kawaida sana nakiona hiki hakina maisha marefu. Kina mtaji mkubwa wa wanachama kule Zanzibar lakini kwa siasa anazofanya kiongozi wake mkuu, sioni kabisa maisha marefu ya chama hiki. Anataka kutumia usanii katika kukiendesha chama hawezi kufika mbali. Huwezi kuwa mstaarabu kwa...
  17. B

    Sasa ni wakati muafaka kila mhimili yaani Bunge, Mahakama na Urais kuwa na makao yake ktk miji tofauti ?

    Makala maalum toka maktaba ya JF: https://www.jamiiforums.com/threads/hamuoni-inavyopendeza-rais-samia-akiwa-magogoni-na-dkt-mpango-akibaki-dodoma.1873766/#post-39142626 KURUDISHA UHURU WA MIHILIMI MITATU YA DOLA TANZANIA, KATIBA ITAMKE KILA MHIMILI UWE NA MAKAO YAKE KTK MIJI TOFAUTI Dodoma...
  18. konda msafi

    Sasa ni wakati muafaka wa bunge kuonyesha weledi na ukomavu wake

    Kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya hii mihimili miwili sasa ni wakati muafaka wa watanzania kujua weledi wa bunge lao. Kwa hali iliyopo bunge makini lina options mbili tu nazo ni 1. kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais 2. Kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge. Bunge kuwa...
  19. Zanzibar-ASP

    Ni wakati muafaka sasa kwa ACT (Zanzibar) kuachana na Zitto

    Ukweli ulio wazi ni kuwa Zitto kwa sasa hana mchango wowote kwenye siasa za upinzani za kutaka mageuzi hapa Tanzania, zaidi anachopambania ni maslahi yake binafsi kupitia serikali ya CCM chini ya utawala wa mama Samia. Jambo hilo sio afya kwa mustakabali wa malengo ya ACT hususani kwa upande wa...
  20. Artificial intelligence

    Ushauri: Serikali ni wakati muafaka wa kuwa na "Desalination plants" kutoka baharini

    Tanzania ni nchi iliyozungukwa na maziwa na bahari, huku ikiwa na mito mbali mbali yenye kutiririsha maji nchini. Tanzania kwa kiasi kikubwa kuanzia mijini hadi vijijini utegemea sana maji ya mito na mabwawa kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na viwandani. Kutokana na shughuli za binadamu...
Back
Top Bottom