mturuki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maghayo

    Jinsi Meli ya kivita ya Urusi ilivyochanganywa na Drones za Mturuki kabla ya kulipuliwa na kuzama

    Mzuka wanajamvi! Fahari ya Urusi katika black sea jinsi inavyojulikana iyo Meli manowari iliyopachikwa jina la Moskva au Moscow mji mkuu wa urusi ilivyolipuliwa na kuzamishwa katika operesheni ya aina yake kutoka kwa 'Defenders' makomandoo wa Ukraine waliotumia ujanja wa aina yake. Ni hivi...
  2. luangalila

    Mturuki anaye fanya PVC windows installation pale Goba

    Wadau Hawa waturuki waliopo mbezi Goba Wana sikika Sanaa Je huduma zao NI kweli nzuri Kwa yeyote aliyewahi kupata huduma zao
  3. Linguistic

    Harun Aydin: Mfanyabiashara Mturuki Rafiki wa DP Ruto afukuzwa Kenya

    Mfanyabiashara raia wa Uturuki, Harun Aydin anayehusishwa na Naibu Rais William Ruto ametimuliwa nchini. Aydin alikamatwa katika uwanja wa ndege alipokuwa akiingia humu nchini kutoka Uganda, Jumamosi, Agosti 7. Mturuki huyo alikuwa anatarajiwa kufikishwa katika Mahakama ya Kahawa West hii leo...
Back
Top Bottom