Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
Habari wanaforum!
Je inahitaji siku ngapi kabla ya safari yako kuomba kibali cha kusafiri nje ya nchi kama mtumishi kwenye mfumo wa e-vibali?
Na documents gani zinahitajika?
"Mimi ni mtumishi hapa Kituo cha Afya Sabasaba Health Center, Morogoro. Ningependa kueleza kero kubwa inayotuumiza na inayohitaji uchunguzi wa dharura kutoka mamlaka za juu.
Ndani ya kituo chetu, kuna uonevu unaoendelea; watumishi wote wanaothubutu kuhoji au kudai haki na stahiki zao za msingi...
Anonymous
Thread
kuhusu
mazingira
morogoro
mtumishi
sabasaba
stahiki
uonevu
watumishi
zake
Habari za wakati huu!
Mimi ni mtumishi wa umma , ambaye nimekuja kuwakilsha watumishi wa chini ya Tamisemi ambao ni Afya na Elimu ambao kwa sasa wapo chini ya Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni. Naleta kilio changu hapa jukwaani nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa sana moyoni mwangu...
Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
OFISA mmoja wa serikali anadaiwa kujipatia kiasi kinachokadiriwa kufikia shilingi bilioni 4, kwa njia ya rushwa. Anayepewa tuhuma hizo ni Ofisa Uvuvi Msaidizi Mkuu, anayesimamia Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, Masanja Kadashi.
Tuhuma dhidi yake zinadaiwa kuanza muda mrefu ambapo Machi 31, mwaka...
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila katika salamu zake za Meimosi amesema ingawa sheria ya kumlinda mtumishi wa Umma dhidi ya matumizi mabaya ya madaraka kutoka kwa viongozi waovu, Lakini kwa sasa imekuwa mzigo kwa walipa kodi kwa sababu ugumu wa kumwondoa mtumishi...
Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo.
Aidha Tunawahimiza...
Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa wito kwa Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Sekou Toure kufanua uchunguzi juu ya tuhuma za Mtumishi wa Mochwari hospitalini hapo kudaiwa kutumia nafasi yake kujineemesha binafsi na kuwakwaza wenye uhitaji wanaofika kazini kwake, Mkuu wa Mkoa...
Binafsi nimetulia sehemu napata kinywaji hasa baada ya leo kumaliza kikao cha bodi ya wakurugenzi salama bila mushkeli.
Nipe uzoefu wako wewe mambo huwa yanaendaje baada ya jambo ambalo huwa linakupa presha kupita salama
Mimi ni Mwananchi kutoka Katavi Wilaya ya Mlele naomba Serikali iongeze Watumishi Idara ya Afya Kitengo cha Mionzi, kwani kuna Mtumishi mmoja tu naye anapitia changamoto za ajali ya mguu, hivyo Wananchi wanakosa huduma kwa wakati.
Kibaya zaidi kuna Zahanati Inyonga B na Zahanati Ilunde na...
Anonymous (d932)
Thread
afya
kitengo
mionzi
mmoja
mtumishi
serikali
watumishi
watumishi wa afya
wilaya
Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu!
=======
Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa halmashauri ya wilayani humo kwa nyakati tofauti.
Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 12, 2026 Kamanda wa...
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali wagonjwa walio mbele yake, amekuwa na kawaida ya kufanya hivyo na hajali wanaohitaji kuhudumiwa.
Mbali...
Anonymous (f836)
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
huduma
huduma nzuri
kitengo
mapokezi
mbeya
mtumishi
nzuri
rufaa
sana
simu
wagonjwa
MIMI : Nikuulize jambo, askofu?
ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba
😀.
MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani
aliyemdanganya Mtu pale
bustanini?
ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya
mwanadamu. Mungu...
Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa.
Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu.
Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
Kama unataka upate pesa ndani ya lisaa limoja omba NMB, nimewaombea wengi mkopo NMB yaani kama HR wako yuko chap ndani ya dk 5 ushapata mkopo. NBC ndani ya masaa 24 uhakika, Azania ndio benki bora zaidi, makato nafuu kuliko benki zote ila kidogo wako slow. Ila haivuki wiki unapata pesa .
CRDB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.