mtume muhammad

  1. Castle_Lite

    Quran ya Allah ni kitabu kisichokuwa na shaka

    Mtume alishushiwa Quran miaka 600+ baada ya Uyahudi na Ukristo kuwepo. Kwa mtindo wa Wahyi na mara 2 kwa kuonana ana kwa ana na Jibril. Swali langu, 1. Imewezekanaje Quran kuwe na visa vya wana wa Waisrael. Ina maana na vywenyewe Mohamed alikuwa anaoteshwa?. (Yona au Yunus, ibrahim , sodoma na...
  2. M

    Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
  3. Dollar hermees

    Kwanini Wakristo Hukataa Ushahidi wa Mtume Muhammad ﷺ Lakini Hukubali Mambo Yasiyo na Maneno ya Yesu Mwenyewe?

    1. Utangulizi Wakristo mara nyingi hudai kwamba Mtume Muhammad ﷺ alipokutana na Jibril pangoni Hira hakuwa malaika bali shetani. Hoja yao hutokana na simulizi kwamba Mtume aliingiwa na hofu kubwa. Lakini hoja hii haiko sawa, kwa sababu hata katika Biblia na mafundisho ya Kikristo, kuna mambo...
  4. Webabu

    Waarabu wa leo wala hawafanani na babu yake mtume Muhammad rehma na amani ziwe juu yake

    Baitul haram iliyopo Makka ndiyo nyumba ya mwanzo duniani kujengwa kwa ajili ya kumuabudu Mungu (Allah). Nyumba hii iiinuliwa kuta zake kwa mara nyengine na nabii Ibrahim na mwanawe Ismaili.Katika historia ndefu ya nyumba hii ni kwamba imewahi kupitia mikononi mwa makafiri na washirikina...
  5. excel

    Je Mtume Muhammad (S.A.W) ametajwa katika Biblia kwa namna yoyote ile?

    Kama Qur'an inavyomtaja Yesu na Mama Yake Bi. Mariam, Je Biblia imemtaja mtume wa Muhammad na kazi zake kwa namna yoyote ile?
  6. Dhul Qarnainn

    Je, Injili Ilitabiri Ujio wa Mtume Muhammad (Rehema na Amani za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake)?

    Katika historia, kumekuwa na mijadala kuhusu kama maandiko ya zamani yalitabiri ujio wa nabii wa mwisho. Watu wengi wamechunguza vitabu vya kale wakitafuta dalili zinazoelezea mtu atakayekuja na mwongozo wa kiroho kwa mataifa yote. Katika makala hii, tutaangalia aya mbalimbali kutoka Injili...
  7. M

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi, Na sio Nail Armstrong kama watu wanavyosema , Wazungu ni waongo

    Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME MUHHAMAD NDIE MWANASAYANSI WA KWANZA AMBAYE ALIANZA KUFIKA MWEZINI KABLA YA NAIL AMSTRONG
  8. MK254

    Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  9. M

    Leo ni Siku ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W.)

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa na sifa nyingi za kipekee ambazo zimekuwa mfano wa kuigwa kwa Waislamu na wanadamu wote. Baadhi ya sifa zake kuu ni: Uadilifu na Uaminifu (Al-Amin) Mtume Muhammad alijulikana kwa uaminifu na uadilifu wake tangu utoto. Alipewa jina la "Al-Amin" maana yake ni...
  10. Muuza madafu wa Ikulu

    Baraza la Sanaa lasimamisha shughuli zote za sanaa na burudani kupisha Maulid Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar (BASSFU) limesimamisha shughuli zote za sanaa na burudani Visiwani Zanzibar kupisha usiku wa mkesha wa kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) Maulid ya Mtume, leo Jumapili September 15,2024 kuamkia kesho September 16,2024 (Maulid...
  11. F

    Je, ni kweli Mfalme wa Nchi ya Jordan anatoka kwenye Bloodline ya Mtume Muhammad?

    Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad. Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume. Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali. KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
  12. Webabu

    Vitabu vya shule Kenya vyamtukana Mtume Muhammad

    Kitabu cha kufundishia habari za uislamu cha darasa la pili nchini Kenya imebidi kuondolewa kwenye muhtasari baada ya wazazi kukishtukia kikimtusi Mtume Muhammad s.a.w. Katika kitabu hicho kuna picha iliyotajwa ndiyo ya Mtume s.a.w ambapo watoto wanatakiwa waikamilshe kwa kuipaka rangi ili...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  14. BAKIIF Islamic

    Mualiko kwa wana JamiiForum: Tarehe 12/12/2022 tutakuwa na Mawlid ya Mtume Muhammad (S.A.W) hapa BAKIIF ISLAMIC

    السَّلاَمُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُهُ Kama mjuavyo uislamu sio dini ngumu, thamani ya Biriani, Pilau na Ubwabwa, viliwe katika mjumuiko wa kheri ambao MUNGU anauridhia, hivyo tunachukua fursa hii kuwatangazia waislamu wote wa JamiiForum kwamba Tare 12/12/2022 siku ya Jumamosi saa...
  15. BAKIIF Islamic

    Waislamu msikae kizembe, Mtume Muhammad (S.A.W) amecheza michezo mingi ya burudani katika maisha yake

    Uislamu sio dini ya kununa au kukunja uso na userious muda wote hadi kuanza kuogopeka na watu. Uislamu ni dini ya wastani isiyo na aina yoyote ya itikadi kali au ulegevu. Inakataza burudani isiyo na faida na isiyo na manufaa ya kidunia au ya kidini, na wakati huo huo inahimiza kupumzika kwa...
  16. BAKIIF Islamic

    Tumebakisha siku 4 kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.a.w): Niulize chochote kuhusu Mtume Muhammad (S.A.W.) Nitakujibu

    Yeye (Muhammad Ibn Abdullah) alizaliwa katika nyumba ya ami yake, Abu Talib, katika “mtaa wa Bani Hashim” huko Makka, tarehe 12 Rabil-awal ya ule Mwaka wa Tembo, tarehe ambayo inaoana na tarehe 8 Juni 570. Mama yake na mtume Muhammad (s.a.w), Bi Amina, alituma habari za uzazi huu wa kheri kwa...
  17. J

    Watu watatu wahukuiwa kifo kwa kumkashifu Mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii

    Watu watatu wamehukumiwa adhabu ya kifo kwa kumkashifu mtume Muhammad kwenye mitandao ya kijamii. Kitendo hicho ni kufuru kwa mujibu wa Katiba ya Pakistan na adhabu take ni kifo. ======== Pakistan court sentences three to death for blasphemy Fourth accused, a college teacher, sentenced to...
  18. M

    Mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi anitafute

    Tanzania ya viwanda inawezekana, mwenye proposal ya namna ya kutengeneza bidhaa za tambi, namna ya kutengeneza, Ratios, NA rasilimali zingine muhimu za kuzingatiwa wakati was kutengeneza bidhaa hii muhimu. Uweza nicheck via sadickjaphari2@gmail.com
Back
Top Bottom