mtu

  1. P

    Mamalishe wanatumia dawa ya Panadol kunogesha mapishi

    Utumbo, uwe wa mbuzi au wa ng’ombe kwa asili ni mgumu, hivyo kuhitaji muda wa kutosha wa kupika ili uive. Baadhi ya watu katika mapishi ya utumbo, hutumia viungo kama vile tangawizi, limao, papai bichi, siki na ajinamoto ili kuufanya uive mapema. Wapo pia wanaotumia sufuria isiyoruhusu mvuke...
  2. Chimbo la mabati na pvc bei mchina bila mtu kati

    Kama Title inavyosomeka. Ninatafuta Lilipo chimbo la Mabati, Misumali, PVC na Chuma(square Pipe, metal sheets na round pipe) bei ya jumla(kiwandani). Mwenye Chimbo atakula 50k( kunipeleka/ kunielekeza na kudhibitika ni valid). Nitashukuru sana kama ombi langu litafanyiwa kazi, asanteni na...
  3. Njooni Wanayanga tufurahie Ushindi hii Leo. Tunampiga mtu kipigo kibaya. Tukikosa points tatu Nipigwe Ban

    Team ya taifa ya Dar Young Africans leo inaenda kushusha kipigo cha mbwa mwizi kwa hawa Medeama hapa Uwanja wa Mkapa. Tayari kisu kimepata makali ya kutosha na ustaadhi anasema bao ni 3. Haina kuremba. Soka la kufa mtu na mabao makali ya ulaya yataonekana. Hakuna papatu papatu. Mpira...
  4. M

    Je, unamkumbuka huyu. Mtu pekee aliyejaribu kubishana na Jiwe

    Huyu mwamba yupo wapi siku hizi
  5. Tukielekea sikukuu jihadhari na kuacha chakula ama kijywaji mezani..Usimwamini mtu wamelia wengi

    WAPENDWA TUKIELEKEA SIKUKUU MUHIMU KUWA MAKINI HASA MNAPOENDA BAR KULA AMA KUNYWA KAMA HAUKO NA MWENZIO UKAVAMIA MEZA YA MTU JITAHIDI USIENDE MSALANI UKAACHA VINYWAJI AMA CHAKULA MEZANI UTALIA HII NIMEIKUTA MWAKAJANA MOSHI MTU KALIA VIZURI TUU NIKAMA WALISHAMJUA ANAGARI AKAJICHANGANYA...
  6. Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Wanaukumbi. #JoshuaMollel: 👉🏽Ukitazama video mmoja ya wanaoaminika kuwa wauaji anamuuliza Joshua kwa Lugha ya kiarabu kwamba yeye ni mmoja wa kundi la kigaidi la “Al-Shabaab”? Nina maswali: 1) Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)? 2)...
  7. M

    Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

    Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
  8. T

    Hivi inawezekanaje mtu huna kazi bado unasoma Master's Degree?

    Wakuu habari za Jumapili, Niseme, mwaka huu 2023 nimehitimu Shahada ya Umahiri ama Master's Degree kwenye fani ya uchawi na ushirikina chuo kikuu. Kwenye kuisoma hiyo fani, kilichonishangaza sana na bado nazidi kushangaa ni kuona vijana wakisoma Shahada za Umahiri huku hawana kazi. Najiuliza...
  9. Nyangumi anaweza kummeza mtu aliye hai?

    Kwenye Biblia, kuna habari ya Mhubiri aitwaye Yona kumezwa na "samaki" mkubwa na kisha kutapikwa siku ya tatu. Sijui kama kuna tukio jingine kama hilo Iilishatokea karne hii! Mwaka 2021, raia wa Marekani, Michael Packard, alinusurika kuwa kitoweo cha nyangumi baada ya kujikuta ndani ya kinywa...
  10. Mitandao ya simu inakata hela bila mtu kujiunga na huduma yoyote. Haya mambo wakati wa Hayati Magufuli hayakuwepo

    Huo ndio ukweli. Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea kwa sasa hapa nchini. Nadhani wahusika wanatamani watunyang'anye hata kidogo tulichonacho tubaki hatuna kitu. Gharama za maisha zipo juu na bado mitandao ya simu inakata hela kwa kisingizio cha ulikopa au ulijiunga na huduma fulani wakati...
  11. Nguvu za kumfanya mtoto wako awe mtu bora zipo kwako

    Wazazi daima tuna jukumu kubwa sana la kusisitiza maadili kwa kubwa kwa watoto wao hawa katika kipindi wanapokua na kuchunguza ulimwengu unaowazunguka, lakini lengo la msingi linaweza kuwa sio hilo bali ni kuwatengenezea msingi mzuri wa Maisha hapo mbeleni hata tukiwa hatupo karibu yao. Ingawa...
  12. Je, unaweza kumbadili mtu mzima tabia?

    Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe. Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo linauwezekano mdogo unaokaribiana na kushindikana. Na ikiwa utachagua kuamini kwamba haiwezekani kumbadilisha...
  13. Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  14. D

    Natafuta mtu wa kushirikiana naye mradi wa kilimo

    Habari ya sasa hivi Nina project ya Agriculture inajihusisha na wakulima wadogo, natafuta mtu ambaye tunaweza kufanya naye (partner) Document zote zipo vigezo financial free pia awe na interest na kilimo Mawasiliano 0757279834 0657888494 whatsap dgtafrica@gmail.com
  15. Tunahakikishaje kuwa ni yeye kweli au amekuwa Cloned? Amerudi mtu mwingine?

    Huu ulimwengu watu wanakuwa cloned. Unaweza kuta Makamu alishafariki huko alikokuwa. Wametumia huu mwezi mzima ku mclone na kum coach mtu mwingine kumrudisha TZ. Hii Dunia hii.... Kwa sasa kila kitu si kama kinavyoonekana. Macho yamekuwa yakidanganywa sana.
  16. Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  17. Huwa ni rahisi mtu kuwa na Tabia mbaya kuliko kuwa na Tabia nzuri.

  18. Usiamini sana watu, mtu ambaye hakuonei wivu ukimzidi ni Baba/Mama yako tu

    Sijui kama ni Bongo au dunia nzima. Adui wa kudumu wa kukufanya uwe na taadhari ni wivu kwa wanaokuzunguka. Usiwe mwepesi kufunguka kwa kula mtu. Hata aliyefanukiwa na tajiri akiona unapiga kahatua kidogo tu moyo unalipuka qnataguta namna ya kukupiga pini. Ujumbe ni kwamba Ukiacha Mjngu...
  19. Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  20. Kutokana na ugumu wa maisha, kila mtu anatafuta kibonde wake wa kumuangushia zigo la lawama

    Vijana wanawalalamikia wazazi! Wazazi wanawalalamikia watoto! Wananchi dhidi ya serikali na viongozi! Mbaya zaidi wadangaji kulalamika hakuna wanaume wa kuoa siku hizi! Waafrika kulalamikia wazungu waliowaletea dini! Hayo yooote tisa, mbaya ni wale wanaoingia kwenye mahusiano wakidhani kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…