mtu

  1. Dfw_1k

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba laana, kutamkiwa maneno mabaya huja baadae kumuathiri mtu

    Hivi jamni kweli laana kutoka kwa mtu mzima aliye kuzidi umri mzazi pamoja na kutamkiwa maneno mabaya huweza kumkuta mtu? Na kama mtu huweza kukutwa na maneno hayo ya laana je ,Kuna njia ya kuiondoa au mtu akiamini ndo yanamkuta au ni akili zetu tu hamnaga kitu kama hicho.
  2. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Unaoaje mtu hajui kupika wala hataki kukaa karibu na maji?

    Tunajua mkiwa wenyewe mtakula vibandani sasa sisi wageni tukiwatembelewa inakuwaje? je mtatupeleka huko vibandani au mtatuagizia chipsi kwa mangi? halafu mtu uyo gani anaogopa maji au dume hilo? maana navojua hao watu na maji inatakiwa wao na maji, maji na wao yani kama pipa na mfuniko wake
  3. Magical power

    JamiiForums Tanzania Vile nina mipango yangu ya kununua kiwanja alafu mtu ajipitishepitishe

    VILE NINA MIPANGO YANGU YA KUNUNUA KIWANJA ALAFU MTU AJIPITISHEPITISHE😜😜😜😜😜😜😜
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanaamini kuwa upinzani ni utakatifu na kuwa CCM ni unajisi. Ukweli ni kuwa chama hakimfanyi mtu kuwa Mtakatifu au najisi

    Habari za Sabato! Kuna watu wanaamini kuwa watu wote wa CCM ni Najisi, wezi, majambazi, mafisadi yaani kitendo cha kuwa CCM wanaamini wewe ni muovu. Jambo ambalo sio kweli Wakati huohuo wanaamini kuwa chama cha upinzani kama CHADEMA ndio kuwa Mtakatifu au mzalendo wa taifa. Jambo ambalo sio...
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu anakutawala, anakuibia anakunyima haki yako anakuwa amekuzidi akili na maarifa

    Vyama vya upinzani vinakosa visionary people and great thinkers. CCM hawana mbinu za kutawala, kuongoza wala kutoa mwelekeo sahihi wa nchi . Ila unfortunately vyama vya upinzani vinakwama sehemu moja. Wanashindwa kuelewa watu wanahitaji nini na ni aina gani ya akili za wananchi. Natoa...
  6. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Waliooa/kuolewa na mtu ambaye alikuwa kwenye ndoa nyingine kabla, mnaendeleaje?

    Hebu tupeni ushuhuda wale ambao mlioa mwanamke ambae alikuwa na ndoa yake akaachana na mumewe kwa ajili yako, je, unaishije nae? Mko happy au jinamizi la ndoa ya Kwanza linawatesa? Pia wanawake na nyie kama ukiolewa na mwanaume aliyemuacha mkewe kwa ajili yako hapo mjengoni unapumua vizuri...
  7. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Mtu mbinafsi mwenye kujipenda peke yake(narcissist)

    MTU MBINAFSI MWENYE KUJIPENDA PEKEAKE(NARCISSIST) Narcissist ni mtu ambaye ana tabia ya kujipenda kupita kiasi na kujiweka mbele ya wengine. Watu hawa mara nyingi wana mawazo ya juu kuhusu nafsi zao, wanahitaji kupewa sifa nyingi, na wanaweza kuwa na shida katika kuelewa hisia za wengine...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mtu mshamba ( mpori mpori) Kwa matendo

    Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori 1. Kuvaa Yebo na soksi Hapa usiulize sana 2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata kama anaijua Kuna mtu ni msukuma anasalimiwa mwadila akiwa Dar anajibu salama jua huyu jamaa ni...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Najua kila mtu ana fikra zake ila tukiamua kusimama na facts mwanaume anae mwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha

    Najua kila mtu ana opinion yake ila tukiamua kusimama na facts wanaume hasa wazinzi na wale wakujichua wanaomwaga oili kila siku, Mshindo moja unatosha. Wanaostahili kupiga 2, 3 na kuendelea ni wale ambao hawamwagi kila siku, ni kundi la wanaume walio bize na mishe, wanosafiri na hawana...
  10. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kusafiri umekaa siti moja na mtu anayependa kula hovyo.

    Habari wakuu, Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus. Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja nikashindwa kumuelewa alikua na appetite ya namna gani. Kila bus likipiga break yeye lazima anunue...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu maarufu namtumia meseji IG hazifiki. Nifanye nini zimfikie?

    Wakuu ni muda Sasa nimekuwa nikimtumia mtu maarufu Instagram mweye followers zaidi ya 1M lakini meseji hazifiki! Hivi ni kwanini? Nifanye vipi aweze kuona text zangu? Naomba kuwasilisha
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kukutana na soulmate wako wakati tayari una mtu na mshazaa mtoto. Je, ni sahihi kuendelea na anayekupa furaha?

    Wadau, Kuna jamaa yangu anaomba ushaur. Ni hiv..miaka miwil iliyopita alikutana na mdada single mama,(divorced) wakaanzisha mahusiano huyu single mama baada ya mwaka akapata ujauzito wa mwana. Huyu single mama ana vitabia flan ambavyo mwana havikubal.. Anasema demu ni controling sana.hasira...
  13. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu, japo maudhi yapo ila sio mengi kama mazuri

    Uzi tayari
  14. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

    Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
  15. Magical power

    JamiiForums Tanzania Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  16. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Vitasa vya mlango kuchezewa na sioni mtu

    Mambo vipi? Kuna sehemu nimepanga ghetto room Moja vyumba vya nje ya nyumba kubwa ila Kuna uzio na nyumba kubwa wenyewe hawaishi wapo Tanga mjini ila uwa wanafikia wakija uku Bush Mimi nipo chumba Cha nje ya nyumba kubwa Leo bhana mida ya saa 3 nikiwa nimetulia ghetto tulii nikawa naskia kama...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Samia MzumbeUniversity: Ni muda muafaka lecturers watembee katika vyombo vya habari kuelezea kiasi gani kozi zao au topic zinamfanya mtu ajiajiri?

    Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa. Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
  18. appoh

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio alama za mtu alieathirika na ukimwi kwa macho tu utamgundua

    Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk Hii hutokea kwa wanawake na...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rodri: "Cristiano Ronaldo hana kipaji asilia. Mtu yoyote anaweza ku-train na kuwa kama yeye"

    Naona huyu jamaa tangu amepata ballon d or uchwara analopoka lopoka tu.
Back
Top Bottom