mtu

  1. Huyu mtu anayejiita Mwijaku, amesoma Vyuo gani?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wakuu nimekuwa nikimuona huyu jamaa Anayejiita "MWIJAKU" (Sijui kama ni jina lake halisi,ufupisho wa jina lake au ni a.k.a yake) kwenye Platform mbalimbali za mitandao ya kijamii akijinadi Kwa sifa kedekede na kuwadhoofisha wapinzani wake akiwemo "Baba...
  2. L

    Ni Kwanini Watanzania hufurahia mtu akipatwa na matatizo au kuyumba kiuchumi au kutumbuliwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma...
  3. CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  4. E

    Ukikutana na mtu akakuita Mwanaume wa Dar es Salaam, jitahidi upigane mpaka ushinde hilo pambano

    Jiji hili limedumaza sana ujasiri ,ueledi na uanaume kwa ujumla . Kuna tukio nimekutana nalo nimewaza sana I stand to be corrected labda tukiwasema watabadilika .
  5. F

    Kazi za mtu wa IT

    Nisaidieni kazi ambazo mtu aliyesoma IT anazifanya kwa upana zaidi.
  6. PreGE2025 Mtu kama huyu anawezaje kusimamia uchaguzi CHADEMA wakapata haki yao?

    Sijui mahakama yetu huwa inashindwaje kuelewa hoja rahisi kama hii? Au kuwa msomi maana yake ni kuwa mtu usiyefuata mantiki? Unaikumbuka ile kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchaguzi. Na si unakumbuka kuwa hoja ilikuwa wengi wa wakurugenzi hao ni CCM hivyo hawawezi kutenda haki Kwa vyama...
  7. Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia:

    Mtu tajiri wa Kiarabu alikwenda kusoma Ujerumani. Baada ya mwezi wa masomo, alimwandikia baba yake barua akimwambia: “Baba, Berlin ni jiji lenye kupendeza sana, na watu wananihurumia sana, lakini ninajisikia aibu ninapofika chuo kikuu kwa gari langu la Range Rover. huku maprofesa wangu wakuu...
  8. Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimepata mwanaume mwingine nae ni mme wa mtu

    Mume wa mtu miaka 5 hataki kunioa nimapata MWANAUME mwinagine naye ni mume wa mtu! Niko kwenye mahusiano na mume wa mtu kwa miaka 5 na tuna mtoto mmoja. Ni mwanaume ambaye ananihudumia kwa kila kitu, ananijali na sijawahi kukutana na mke wake, hata sijui kama ananifahamu kwani huyu mwanaume ana...
  9. Mfahamu mtu hatari zaidi Yanga

    Anaitwa Moussa N'Daw Msenegal ambaye aliwahi kuwa Striker hatari sana wa Wydad ac na Al hilal ya Saud Arabia. Pia amewahi kuwa Manager msaidizi pale Wyadad Ac 2021/22. Yaani ile Wydad ya moto iliyochukua ubingwa CAFCL jamaa alikuwepo. Uhatari wake haupo pale anapokuwa ameketi. Shida huanza...
  10. M

    Muogope mtu ambaye ni maskini ila anaishi kitajiri, kimahusiano atakufilisi

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
  11. Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

    Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
  12. M

    MUOGOPE MTU AMBAYE NI MASKINI ILA ANAISHI KITAJIRI, KIMAHUSIANO ATAKUFILISI.

    Muogope sana mtu ambaye bajeti zake za kuishi tu ni kubwa zaidi ya uwezo wake kujimudu yaani yupo radhi aishi kwa madeni ili nje aonekane tajiri. Muogope sana mtu ambaye yuko tayari kumiliki simu ya laki tano ila kipato chake kinamruhusu amiliki ya laki moja, mtu huyu ambaye ana simu ya laki...
  13. M

    Nahitaji mtu wa kuanzisha biashara ya kuagiza magari nje ya inchi

    Kama ujumbe unavyojieleza natafuta mtu mwenye wazo la biashara ya kuagiza magari mtandaon
  14. Haki ya mtu

    Elewa tu sisi wengine hatuna maisha mazuri ila mioyo yetu ipo tayali kukosa kuliko kuzulumu haki ya mtu.
  15. Usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu!

    Huwa nasema kila siku humu, usihatarishe maisha yako kwa kuwatetea wapumbavu! Watanzania wangekuwa wanajielewa CCM ingeshang'olewa kitambo. Ona Lissu kapata ulemavu sababu ya kutetea wapumbavu. Ona Msigwa leo yuko CCM, upumbvu mtupu! Watanzania wanachoweza ni ngono, uchawi, majungu na umbea...
  16. Hivi mitihani ya Wizara ya Online tunafanyia kila mtu nyumbani kwake au Tunaenda kwene hizo venue walizopanga? Na kama online si online

    Wakuu hebu nisaidie hizi kazi za Afya zilizotoka saizi za online interview
  17. Tofauti kati ya Fortunatus Buyobe na Waziri Gwajima itasababisha mtu aliwe kichwa karibuni

    Baada ya Fortunatus Buyobe kutaka mtoto nayeumwa asaidiwe na wizara huku akishindwa kutofautisha baina ya wizara aya afya na ile ya jinsia na ulemavu na mwishowe kuambiwa afate utaratibu jamaa amekuwa mbogo na kuaishia kulumbana na waziri. Hizi dili za kuchangisha harambee mitandaoni imekuwa...
  18. M

    Mtu anayetaka kukutawala baada ya kukusaidia

    Aug 26th, 024 Dar es Salaam, Tanzania Saa 5:27 asubuhi ------------------------------- Habarini madada, makaka, na wazee wenzangu! Leo nivunje ukimya niongelee suala nyeti kidogo. Umewahi kusaidiwa katika point ya maisha yako, na aliyekusaidia akataka uwe mtumwa wake? Hiki kitu ni kansa...
  19. Ukiona hujakipata ukitakacho elewa bado hujakitaka haswa. Ulimwengu unatoa chochote atakacho mtu.

    Katika hali ya kustua ni ukweli kuwa tumekuwa na tabia ya kujiridhisha na kujiliwaza kuwa tumetiabidii sana ila hatujayapata tuyatakayo lakini uhakika ni kuwa hatujataka haswa tuyatakayo. Ulimwengu una kila tunachotaka na unaweza kutupa ila ni mpaka tutake haswaa. Hakuna mtu aliyetaka kitu kwa...
  20. Hii nchi ina matahira wa kutosha. Inakuwaje mtu ajivunie pesa za msaada wa COVID-19?

    Hello! Miaka 2, 3 iliyopita tulipata billions and billions kutoka kwa Wazungu ili tukabiliane na athari za COVID-19. Pesa zile nyingi zilikwenda kwenye elimu. Zilijenga vyoo vya shule na kujenga madarasa mengi hapa nchini. Wachache tuliona ni jambo jema lakini tulitoa kasoro. Inamaana bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…